Viongozi wakuu Tanzania wanafanya kazi nzuri sana wapongezwe, waombewe kwa Mungu

Huruma gani?

Yani kodi za wananchi zinapigwa na majizi wachache unasema wahurumiwe?

Watu hawana maji safi, umeme wa uhakika.

Mama anafariki na kichanga kwa kukosa 150k , halafu majizi yameweka kibindoni Trillion 1 yanajenga mijengo ndani na nje ya nchi?

Huruma ya hao wezi ni gerezani tu sio vinginevyo labda useme huyo mungu anafundisha wizi !

Nakuhurumia kuumia na huo uharibifu, nawahurumia hao unaosema hawana maji, wala umeme wa uhakika..
kwa Mungu yote yanawezekana.

Mwenyezi Mungu awapokee wote mahali wanapostahili wale wote aliowaita kwake kwa namna mbalimbali, ikiwa ni pamoja huyo mumama na kichanga, unae dai ameaga dunia kwa kukosa 150k. Mungu wa rehema awajalie subra na ustahimilivu wanafamilia wote.

I yafanywe maboresho mazuri zaidi, tuwaombee viongozi wetu.

Huo uharibifu na ubadhirifu mwingine lazima Tumuombe Mungu sana katika roho na kwel, Mungu awajaalie viongozi wakuu wa nchi hekima na busara, lakini pia awajalie ujasiri na uthubutu katika kudhibiti na kuchukua hatua stahiki na za haki dhidi ya wanaostahili kuchukuliwa hatua.

Mungu, Aepushe roho za mihemko, ghadhabu, kuzira na kukata tamaa, bali ahuishe mawazo mazuri mbadala, maneno na matendo ya kuunganisha jamii kuwa na sauti moja dhidi ya waharibifu....
 
Duniani kote majizi mahali pao salama ni nyuma ya nondo.

Sijaomba huruma yako umeona mahali nimehitaji kuonewa huruma?

Think.
 
Duniani kote majizi mahali pao salama ni nyuma ya nondo.

Sijaomba huruma yako umeona mahali nimehitaji kuonewa huruma?

Think.
pole sana,
Na nitaendelea kukuombea baraka na neema za Mungu akujalie utulivu, ustahimilivu, subra na moyo wa kutokukata tamaa. upende usipende na nitafanya hivyo kwa hiari...
 
Halafu wewe ndio unasema ni waziri?

No wonder nchi haipigi hatua sababu from the top the woman is mediocre,ambiguous and empty .

To hell with your magnaminous oratory.

Mwenyezi Mungu atusamehe na atusaidi sote, tumrudie na kumtumainia yeye pekee...
hiyo ya waziri na kiingereza mingi si muhimu saaana...

Ile Muhimu zaidi ni kuwaombea viongozi na nchi yetu Amani, bila choyo wala kujibakiza...
 
You're nothing but a SOCIALITE BIMBO

Hiyo pamoja na kiingereza ningi si shida pande hii.

Ile ya Maana sana, Mungu atuepushe na majivuno bali aendelee kutujaalia hekima kuwaza, kusema na kutenda, busara, utulivu wa fikra, ustaarabu na kwa upendo tufurahie zawadi ya uhai na afya alizotupatia bure.
 
Lucas Mwashambwa Tuongoze Kwa Sara Fupi
 
Sawa kwa akili yako na urefu wa kamba walizonazo! Umeina wanavyolizana bungeni. Waziri Chawene naye analia rushwa! Huo upongezaji unautoa kwenye idara gani.
 
Sawa kwa akili yako na urefu wa kamba walizonazo! Umeina wanavyolizana bungeni. Waziri Chawene naye analia rushwa! Huo upongezaji unautoa kwenye idara gani.
Serikali makini na sikivu, ina ibua na kubaini makosa na kasoro, inachukua hatua. Inajirekebisha na kujisahihisha. Inasonga mbele kuwatumia wananchi kwa kasi zaidi, ari zaidi na nguvu zaidi...

ustahimilivu na subra ni muhimu sana...
 
Akubariki kwanza wewe upate akili
Namshukuru sana kwa baraka hiyo, naipokea kwa moyo mkuu.Aimen..

Nazidi kukuombwa wew na wengine wote, akuajalieni afya njema na imara ya akili, mwili na roho, utulivu, hekima, busara ustahimilivu na subra, sasa na hata milele...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…