Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huruma ya Mungu iambatane nawe daima, pole ndugu mwenzangu...
ni katika Roho na Kweli, tunamshiriksha Mungu katika maumivu, hasira, na ghadhabu zetu dhidi ya uharibifu. Na Mungu mwenyezi atupendae, hawaachi waja wake wakilia tuuu.. na kunung'unika bali huwaonyesha njia ya kupita kwa salama na Amani,
Usiogope, usikate tamaa..
Muombee tuu... hata kama ni adui yako, ili aishi siku nyingi, ili unapobarikiwa wewe ajionee kwa macho baraka na neema alizokujalia Mungu wew uliekua ukiteseka...
Nakuhurumia kuumia na huo uharibifu, nawahurumia hao unaosema hawana maji, wala umeme wa uhakika..Huruma gani?
Yani kodi za wananchi zinapigwa na majizi wachache unasema wahurumiwe?
Watu hawana maji safi, umeme wa uhakika.
Mama anafariki na kichanga kwa kukosa 150k , halafu majizi yameweka kibindoni Trillion 1 yanajenga mijengo ndani na nje ya nchi?
Huruma ya hao wezi ni gerezani tu sio vinginevyo labda useme huyo mungu anafundisha wizi !
Duniani kote majizi mahali pao salama ni nyuma ya nondo.nakuhurumia kuumia na huo uharibifu,
nawahurumia hao unaosema hawana maji, wala umeme wa uhakika..
kwa Mungu yote yanawezekana...
mwenyezi Mungu awapokee wote mahali wanapostahili wale wote aliowaita kwake kwa namna mbalimbali, ikiwa ni pamoja huyo mumama na kichanga, unae dai ameaga dunia kwa kukosa 150k. Mungu wa rehema awajalie subra na ustahimilivu wanafamilia wote.
I yafanywe maboresho mazuri zaidi, tuwaombee viongozi wetu...
Huo uharibifu na ubadhirifu mwingine lazima Tumuombe Mungu sana katika roho na kwel, Mungu awajaalie viongozi wakuu wa nchi hekima na busara, lakini pia awajalie ujasiri na uthubutu katika kudhibiti na kuchukua hatua stahiki na za haki dhidi ya wanaostahili kuchukuliwa hatua...
Mungu, Aepushe roho za mihemko, ghadhabu, kuzira na kukata tamaa, bali ahuishe mawazo mazuri mbadala, maneno na matendo ya kuunganisha jamii kuwa na sauti moja dhidi ya waharibifu....
pole sana,Duniani kote majizi mahali pao salama ni nyuma ya nondo.
Sijaomba huruma yako umeona mahali nimehitaji kuonewa huruma?
Think.
pole sana,
Na nitaendelea kukuombea baraka na neema za Mungu akujalie utulivu, ustahimilivu, subra na moyo wa kutokukata tamaa. upende usipende na nitafanya hivyo kwa hiari...
Mwenyezi Mungu atusamehe na atusaidi sote, tumrudie na kumtumainia yeye pekee...Halafu wewe ndio unasema ni waziri?
No wonder nchi haipigi hatua sababu from the top the woman is mediocre,ambiguous and empty .
To hell with your magnaminous oratory.
Mwenyezi Mungu atusamehe na atusaidi sote, tumrudie na kumtumainia yeye pekee...
hiyo ya waziri na kiingereza mingi si muhimu saaana...
Ile Muhimu zaidi ni kuwaombea viongozi na nchi yetu Amani, bila choyo wala kujibakiza...
Hiyo pamoja na kiingereza ningi si shida pande hii.You're nothing but a SOCIALITE BIMBO
Sawa kwa akili yako na urefu wa kamba walizonazo! Umeina wanavyolizana bungeni. Waziri Chawene naye analia rushwa! Huo upongezaji unautoa kwenye idara gani.Ni dhahiri na ukweli usiopingika, Dr.Samia Suluhu Hassan, Rais na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalamaTZ, na safu yake nzima ya viongozi serikalini.
Wanaiongoza nchi kwa umahiri mkubwa, uwazi sana, weledi wa viwango, upendo, bidii na mapenzi ya dhati sana.
Mipango yao inachochea sana maendeleo ya watu na vitu. Tena ni kwa waTanzania wote bila kujali rangi, vyama, dini au kabila zao.
Bali wote wananufaika kwa haki, usawa na matunda ya kazi za viongozi hawa waliobarikiwa na Mungu, kiuchumi, kijamii, kisiasa, kiutamaduni Sayansi na Tecknologia yanaonekana kwa wananchi wenyewe.
Tuwapongeze na kuwatia moyo sana. Wasonge mbele bila kuchoka wala kukata tamaa. Nchi imefunguka, maendeleo yanaonekana, tuchape kazi na tusonge mbele sasa.
Tuwaombea kwa Mungu, afya njema, utimamu wa mwili na Roho katika kuwatumikia waTanzania wote. Aimen.
Mungu Ibariki Tanzania.
Sala za waizi ni kelele.Lucas Mwashambwa Tuongoze Kwa Sara Fupi
Serikali makini na sikivu, ina ibua na kubaini makosa na kasoro, inachukua hatua. Inajirekebisha na kujisahihisha. Inasonga mbele kuwatumia wananchi kwa kasi zaidi, ari zaidi na nguvu zaidi...Sawa kwa akili yako na urefu wa kamba walizonazo! Umeina wanavyolizana bungeni. Waziri Chawene naye analia rushwa! Huo upongezaji unautoa kwenye idara gani.
Akubariki kwanza wewe upate akiliInatosha kabisa...
ni hiari si lazima...
Mungu akubarik sana..
Namshukuru sana kwa baraka hiyo, naipokea kwa moyo mkuu.Aimen..Akubariki kwanza wewe upate akili