Viongozi wangu wa CCM inatosha sasa, TEC hawatatuelewa hadi tueleweke!

Hujielewi wewe unadhani TEC ni bakwata
 
Hewezi kutunza kitu cha wizi na ukabaki msafi......mambo mengine tuache tu.
 
Unajidanganya wewe.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Nionyeshe askofu aliyemfuata mama yenu Ikulu. Unaongea kama umekatwa kichwa? Wakae pembeni RC iendeshe Mambo yake uone.
Mlitumwa kuwatukana na yule Fisadi wa Msoga akiwa Musoma akawazodoa eti wanachanganya dini na siasa!! Mwambieni aseme tena mbona mmekimbilia Kwa Lukuvi awaombee Kwa Maaskofu?
 
Mmh!!!!! kuna tatizo kubwa nchini serikali ikimbilie kuomba msamaha kikundi cha watu wachache wasio fika hata serufi moja ya idadi ya watu, kweli
 
Mliisha ambiwa uchochezi hauna mema. Dini zibakie kwenye nyumba za ibada tu. Wanaweza kusema ikiwa serikali imetoa tamko au sheria inayo ibgiliana na uhuru wao wa kuabudu.
Kuwashawishi waumini jinsi ya kupiga kura ni uchochezi ambao hauwezi kuvumilika
 
Mzee tupatupa,kwani hukuwahi sikia TupaTupa wa ule msitu maarufu na fukwe maarufu🏃🏃
 
Ttec ni kikundi cha masShoga
 
Weka picha ya mtu mmoja akipewa Joho la Uaskofu. Yaani nilishangaa Sana maana Yale mavazi Yana sheria na taratibu zake. Niliona picha ikisambaa kwenye simu ya jirani yangu.
 
Ukweli kuhusu nguvu ya TEC hauna ubishi, lakini kumbuka pia nguvu ya TEC is not unlimited, nguvu ya serikali bado ni kubwa zaidi. Pamoja na yote, pande mbili hizi zinategemeana na mahusiano baina yao ni ya 'win win situation' TEC huangalia zaidi maslahi ya kanisa sio chama wala kiongozi hizo ndio 'politics of the church'!
 
Usiwatizame tec,angalia msingi na nguvu ya hoja.halafu punguza jaziba.
 
Aya yako ya mwisho umeandika kisomi sana (kama waraka wenyewe wa TEC)
.
.
.
Kongole sana
 
Isimamie na Wala hakuna mtu amekataza wao kusimamia na nakereka na kujipendekeza Kwa viongozi wa Serikali.

Serikali nayo inatakiwa kusimamia na inachokiamini,hii Nchi haiongizwi na TEC
Duh!

Utofauti wa UV CCM ya Kina Nape na hii ya siku izi ni kuwa, UV ya kina Nape na wenzake walikuwa wanauwezo mkubwa wa kujibu hoja na kujenga hoja

Ya Siku hizi, vijana hawana ustahimilivu, hawana logic, wao ni kupiga makelele na maneno ya kashfa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…