Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Ladrack Chasambi leo amehojiwa na mwandishi na akaulizwa ni mchezaji gani kwake ni role model, yeye kwa kujiamini akauliza ndani ya timu yangu au kokotę, akaambiwa ndani ya Simba akasema hapana, akasema role model wake ni Mac Nzengeli.
Sasa Chasambi wewe kwa mpira gani uliokuwa nao hadi leo unasema ndani ya Simba huna role model.
Uongozi wangu wa Simba Chasambi hana uwezo wowote, amejiona yeye tayari ni mtu na nusu, mpelekeni Geita Gold huko akasifie wachezaji wa Yanga.