johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Msinililie mimi by Mbowe!Hongera kwa upuuzi uliotukuka. Ule mpango wa kuwaunga viongozi na Wabunge wa CHADEMA mmeuahirisha? Kama bado Ndugu wa nini? Ndufai wako anajitahidi sana kupunguza wabunge wa upinzani. Mimi namtakia heri maana amtegemeae mwana damu hadumu. UPO WASALIMIE MAGU NA ******
"Mimi ni kichaa kuliko hao" by maguMsinililie mimi by Mbowe!
Sawa miradi anasimamia , ni jambo zuri. Lakini anasimamia miradi kwa kuvunja katiba. miradi anatoa mfukoni mwake. nani anaidhinisha pesa? Ni kuvunja katiba. As long as anavunja katika anayoyafanya hayana thamani ! angeliyfanya kwa idhini ya sheria na katiba inavyoagiza, then hapo kweli ni shujaa! Hakuna shujaa wa kuvunja katiba.Mkuu hilo la kuuwa watu ni circumstantial halina ushahidi wa asilimia mia lipo katika hisia zaidi.
Unasimamia miradi na ameweka nidhamu ya viwango vya juu.
Mara nyingi ubaya na uzuri wa kiongozi unapimwa na vionjo vyetu vya hisia, hayupo rais perfect hakuna ukamilifu chini ya jua.
Nyokoloooo!!Kamati.kuu wabunge watupu.
Kamati kuu ilitakiwa kusheheni watu wengi ambao sio wabunge sababu wao ndio.wasimamizi wakuu wa Chama na wabunge wao.Kwa mfumo huo.bunge wanalisimamiaje wakati wao ni wabunge?
naafikiana na wewe, comrade.Kwanza nitumie fursa kukupongeza kwa kuteuliwa kuwa Katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani. Hii inapelekea sasa Mwenyekiti na Katibu mkuu wa Chadema kuwa chini ya Spika Ndugai pale bungeni kwa hii miezi sita iliyobaki.
Pia nichukue fursa hii adhimu kwa heshima na taadhima kukukumbusha kuwa mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli siyo dhaifu hivyo kuwa makini na ulimi wako na uache kukurupuka.
Ni hayo machache.
Maendeleo hayana vyama!
Yametimia mkuu. Chama kimerudi nyumbani Moshi. Katibu mkuu anatoka maeneo ya mlima mrefu kupita yote nae mwenyekiti toka huko huko
Sent using Jamii Forums mobile app
naafikiana na wewe, comrade.
kwa kweli Mnyika akimwita JPM ni DHAIFU atakuwa hajampa haki yake anayostahili kwani sifa sahihi ya kumpa ni MWOGA kutokana na kuwaogopa kupindukia wale wote wanaompinga au wenye viashiria vya kumpinga,
kuogopa wapinzani siyo UDHAIFU hata kidogo….. bali ni UOGA wa kiwango cha SGR!!
Sio kweli Magufuli ndiye Raisi dhaifu kuliko maraisi wote waliomtanguliaRais Magufuli siyo dhaifu
Mkuu hilo la kuuwa watu ni circumstantial halina ushahidi wa asilimia mia lipo katika hisia zaidi.
Unasimamia miradi na ameweka nidhamu ya viwango vya juu.
Mara nyingi ubaya na uzuri wa kiongozi unapimwa na vionjo vyetu vya hisia, hayupo rais perfect hakuna ukamilifu chini ya jua.
Hakuna katiba inayovunjwa, ndege zinanuliliwa kwa ridhaa ya bunge reli inajengwa kwa ridhaa ya bunge.Sawa miradi anasimamia , ni jambo zuri. Lakini anasimamia miradi kwa kuvunja katiba. miradi anatoa mfukoni mwake. nani anaidhinisha pesa? Ni kuvunja katiba. As long as anavunja katika anayoyafanya hayana thamani ! angeliyfanya kwa idhini ya sheria na katiba inavyoagiza, then hapo kweli ni shujaa! Hakuna shujaa wa kuvunja katiba.
Pili kuhusu kmauaji, soma hili kama mfano!
“The inference is irresistible that it is the government that orchestrated the plan to shoot Lisu. The possibility that political or road thugs are involved, is excluded by the reaction the government found itself involved in after the shooting. The subsequent behaviors of the Rais, Speaker, IGP and their subordinates….., all bear testimony that the government is involved in the shooting.” In all these circumstances a reasonable common man is perfectly inclined to come to a conclusion that inculpatory behavior by the government after the shooting are incompatible with the innocence of the government and incapable of explanation upon any other hypothesis than that of the involvement of the government
Mambo ni mengi muda ni mchache. Ukiwekeza akili katika kutekeleza ilani huwezi kupata muda wa malumbano ya kisiasa.Ni kweli hakuna ushahidi wa mauaji, ajabu ni pale anapokuwa kikwazo cha ushahidi wa hayo mauaji kufahamika. Katika mazingira hayo unapata 2+2 unapata jibu bila chenga.
vyote viwili lakini uoga ni zaidi!Mkuu ukisema anawaogopa naona ni kama unapoteza uhalisia. Hawaogopi wapinzani bali anawachukia hasa cdm, kwa kuwa ana madaraka chuki yake inajidhihirisha wazi kwa matumizi mabaya ya madaraka dhidi yao.
Mambo ni mengi muda ni mchache. Ukiwekeza akili katika kutekeleza ilani huwezi kupata muda wa malumbano ya kisiasa.
Wewe usingekuwa MWOGA ungekuja Jf na jina halisi.naafikiana na wewe, comrade.
kwa kweli Mnyika akimwita JPM ni DHAIFU atakuwa hajampa haki yake anayostahili kwani sifa sahihi ya kumpa ni MWOGA kutokana na kuwaogopa kupindukia wale wote wanaompinga au wenye viashiria vya kumpinga,
kuogopa wapinzani siyo UDHAIFU hata kidogo….. bali ni UOGA wa kiwango cha SGR!!
Hawezi kuweka akili zake katika kutekeleza ilani halafu wakati huo huo ashughulike na wapinzani.naafikiana na wewe, comrade.
kwa kweli Mnyika akimwita JPM ni DHAIFU atakuwa hajampa haki yake anayostahili kwani sifa sahihi ya kumpa ni MWOGA kutokana na kuwaogopa kupindukia wale wote wanaompinga au wenye viashiria vya kumpinga,
kuogopa wapinzani siyo UDHAIFU hata kidogo….. bali ni UOGA wa kiwango cha SGR!!
Kwa taifa la wajinga kama hilo lolote linawezekanaKwanza nitumie fursa kukupongeza kwa kuteuliwa kuwa Katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani. Hii inapelekea sasa Mwenyekiti na Katibu mkuu wa Chadema kuwa chini ya Spika Ndugai pale bungeni kwa hii miezi sita iliyobaki.
Pia nichukue fursa hii adhimu kwa heshima na taadhima kukukumbusha kuwa mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli siyo dhaifu hivyo kuwa makini na ulimi wako na uache kukurupuka.
Ni hayo machache.
Maendeleo hayana vyama!
Huo muda wa malumbano ndio ambao awamu ya tano haina.Kwani anachunguza yeye au kuna taasisi ya kufanya hayo? Philipo umeishiwa hoja za utetezi nini?