Vipi kwa wanawake waliotulia lakini hawapati wachumba wa kuwaoa, wenye uhaba wa kupendwa

Unakuta mdada mzuri hakazii kbs ukiangalia muonekano kuanzia uso kifua tumbo paja mpaka tacall yupo vzr kitabia sio haba mpaka unajiuliza huyu kakosa nn mpaka anakuja kwangu?
Wengi wana past chafu sana. Na wengi wanahama sehemu wanaenda pengine, nenda sasa walipokulia upewe CV ni utatapika mzee
 
Mapenzi yamekua ya kuviziana. Wanaume kwa wanawake wanaogopana.
 
Sure mkuu, ukosefu wa ajira na mapenzi ya kuviziana hizi factors zimealibu taasisi ya ndoa.
 
Bora Mimi naolewa!
Pia nna kidumu changu Mr @--ee
MUNGU ANIPE NINI MM!!🙏
 
Mkuu 3some ndo nini?
 
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji375]
 
Sure mkuu, ukosefu wa ajira na mapenzi ya kuviziana hizi factors zimealibu taasisi ya ndoa.
Sasa mtu anaoaje wakat kujihudumia mwenyewe anashindwa, peke yake tu anapiga pass ndefu ataweza wawili?
 
Binafsi hapana kwakweli mke wa pili kuendelea naona kama mkosi

Cc Smart911

Ni bora uwe mke wa pili kwa mwanaune anaejitambua kuliko uwe mke mmoja kwa mwanaume mpumbavu asiejitambua. Hata wanao watakushukuru uamuzi wako wa kuwachagulia baba bora.

Imagine uambiwe uchague uzaliwe familia ya mwinyi mwenye wake wawili ama uzaliwe familia ya chikumbalaga mwenye mke mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…