Vipi Mdau, Ukiona sign gani kwenye mahusiano ya kimapenzi unajua hapa hatufiki mbali?

Bora umekazia Kuna namna kunavitu unatamni kusikia Yani Leo umependeza
Una nywele nzuri
Njoo bas nikukumbatie, mtu yupo yupo tu jmn hata km ndo ana Hela hapana ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Hahahahaha
 
Bora umekazia Kuna namna kunavitu unatamni kusikia Yani Leo umependeza
Una nywele nzuri
Njoo bas nikukumbatie, mtu yupo yupo tu jmn hata km ndo ana Hela hapana ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Mimi napenda sana kununa mwanaume bandidu hatuwezani, yule Nice guy anayebembeleza ndio wangu
 
Huo mda wa kubembelezwa mtakula mawe ? Tena unatakiwa mkutane tu mwisho wa mwaka nikupee mimba nirudi kuchakarika๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Sijakataa muhimu kutafuta sana ndo nipendeze nijipitishe mara Saba jamaa ameganda tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kisa kaacha Hela nimekula wali nimeshiba ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃinaumaga bas tu
 
Ukiona maongezi yenu hayana content, yaani mnaongea havina maana, mara kidogo "niambie", mara kidogo mnaongea ngono tu...hakuna mipango, hamuwekani wazi...! Aaah hamna kiti hapo.
Mara Umekula...Unafanya nini๐Ÿ™„...

Nimekumbuka wakati nipo Advance miaka hiyo...Kuna Mwanafunzi alikuwaga na simu zile Nokia za Mwanzo kabisa...

Sasa Usiku baada ya Prepo ndiyo tunaigongea Bweni zima...Na siku za J2 ambazo hatuendi Prepo...Siku moja Mwenzetu akawa anaongea na mtu wake...Mtu wake Akamuuliza Umelala akamjibu ndiyo...Akamuuliza tena umevaa nini...Akamjibu Sanda๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Tulicheka Bweni Zima kama Vibwengo๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Sijakataa muhimu kutafuta sana ndo nipendeze nijipitishe mara Saba jamaa ameganda tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kisa kaacha Hela nimekula wali nimeshiba ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃinaumaga bas tu
Hayo mapenzi ya kuchikuchi hotae, kwa sasa ni ngumu mno labda msubiri kustaafu๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Hi
Hiyo Yako kinyume chake,kuombwaombwa hela!
 
Khaa,

Na nyie mnataka kupigwa kistaarabu? Halafu mkatangaze mtaani " palee, pale hamna kitu unapapaswa papaswa papani tu".

Si tumekubaliana mnataka gwaride la kijeshi, au?
 
Nikiona kadi ya chadema kwenye mkoba wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ