Vipi Mdau, Ukiona sign gani kwenye mahusiano ya kimapenzi unajua hapa hatufiki mbali?

Vipi Mdau, Ukiona sign gani kwenye mahusiano ya kimapenzi unajua hapa hatufiki mbali?

Bora umekazia Kuna namna kunavitu unatamni kusikia Yani Leo umependeza
Una nywele nzuri
Njoo bas nikukumbatie, mtu yupo yupo tu jmn hata km ndo ana Hela hapana 🤣🤣🤣
Mimi napenda sana kununa mwanaume bandidu hatuwezani, yule Nice guy anayebembeleza ndio wangu
 
Huo mda wa kubembelezwa mtakula mawe ? Tena unatakiwa mkutane tu mwisho wa mwaka nikupee mimba nirudi kuchakarika😂😂😂😂😂
Sijakataa muhimu kutafuta sana ndo nipendeze nijipitishe mara Saba jamaa ameganda tu 😂😂😂 kisa kaacha Hela nimekula wali nimeshiba 🤣🤣🤣inaumaga bas tu
 
Ukiona maongezi yenu hayana content, yaani mnaongea havina maana, mara kidogo "niambie", mara kidogo mnaongea ngono tu...hakuna mipango, hamuwekani wazi...! Aaah hamna kiti hapo.
Mara Umekula...Unafanya nini🙄...

Nimekumbuka wakati nipo Advance miaka hiyo...Kuna Mwanafunzi alikuwaga na simu zile Nokia za Mwanzo kabisa...

Sasa Usiku baada ya Prepo ndiyo tunaigongea Bweni zima...Na siku za J2 ambazo hatuendi Prepo...Siku moja Mwenzetu akawa anaongea na mtu wake...Mtu wake Akamuuliza Umelala akamjibu ndiyo...Akamuuliza tena umevaa nini...Akamjibu Sanda🤣🤣🤣🤣🤣
Tulicheka Bweni Zima kama Vibwengo😀😀😀
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sijakataa muhimu kutafuta sana ndo nipendeze nijipitishe mara Saba jamaa ameganda tu 😂😂😂 kisa kaacha Hela nimekula wali nimeshiba 🤣🤣🤣inaumaga bas tu
Hayo mapenzi ya kuchikuchi hotae, kwa sasa ni ngumu mno labda msubiri kustaafu😆😆😆
 
Hi
Kuna sign au ishara gani ambazo tunaziona mwanzoni mwa uhusiano tunajua kuwa hapa hamna kitu huu uhusiano haufiki popote.

Mi nikiona Mwanaume hanipi hela wala haongelei habari za hela yee maneno matupu tupu tu, moja kwa moja najua hatutofika mbali.

Naanza kumpotezea akipiga simu sipokei na akituma meseji sijibu. Au nikimuona anafaa kwa matumizi ya siku mbili tatu nakua nae kwa kipindi kadhaa alafu nampotezea.

Wewe ukiona sign ipi unajua hamtofika mbali? Na hua unafanya nini?
Hiyo Yako kinyume chake,kuombwaombwa hela!
 
Wewe kaka mkubwa ni haki yako si uko mambele hata papuchi ukipewa unaipiga kistaarabu sio km wamatumbi wetu huku.!!
Huku ukila chips zake za buku anahakikisha mwendo uliokuja nao sio utakaondoka nao 🤣🤣🤣🤣

Picha linaanza umeingia gheto, anakuingiza ndani wewe na viatu vyako. Hizo chips unakula kakusimamia anaona km unachelewa.!!
Sasa si bora umuombe pesa ujue moja lasivyo ataipiga mipigo yote ukose had pesa ya panadol kupoza maumivu..! 😹😹😹
Khaa,

Na nyie mnataka kupigwa kistaarabu? Halafu mkatangaze mtaani " palee, pale hamna kitu unapapaswa papaswa papani tu".

Si tumekubaliana mnataka gwaride la kijeshi, au?
 
Kuna sign au ishara gani ambazo tunaziona mwanzoni mwa uhusiano tunajua kuwa hapa hamna kitu huu uhusiano haufiki popote.

Mi nikiona Mwanaume hanipi hela wala haongelei habari za hela yee maneno matupu tupu tu, moja kwa moja najua hatutofika mbali.

Naanza kumpotezea akipiga simu sipokei na akituma meseji sijibu. Au nikimuona anafaa kwa matumizi ya siku mbili tatu nakua nae kwa kipindi kadhaa alafu nampotezea.

Wewe ukiona sign ipi unajua hamtofika mbali? Na hua unafanya nini?
Nikiona kadi ya chadema kwenye mkoba wake.
 
Back
Top Bottom