Vipi Mdau, Ukiona sign gani kwenye mahusiano ya kimapenzi unajua hapa hatufiki mbali?

Hahahahaha,
 
Khaa,

Na nyie mnataka kupigwa kistaarabu? Halafu mkatangaze mtaani " palee, pale hamna kitu unapapaswa papaswa papani tu".

Si tumekubaliana mnataka gwaride la kijeshi, au?
Tatizo kistaarabu ya kwa Biden na kwa mama kizimkazi tofauti, huku sio mapenzi ni vita.!! 😹😹😹

Huku hatufanyi starehe tunakomoana ohhh!! 🀣🀣🀣
 
Tatizo kistaarabu ya kwa Biden na kwa mama kizimkazi tofauti, huku sio mapenzi ni vita.!! 😹😹😹

Huku hatufanyi starehe tunakomoana ohhh!! 🀣🀣🀣
My Wii unazungumzia nn 🀣🀣
 
Tatizo kistaarabu ya kwa Biden na kwa mama kizimkazi tofauti, huku sio mapenzi ni vita.!! 😹😹😹

Huku hatufanyi starehe tunakomoana ohhh!! 🀣🀣🀣
Watu wanamalizia frustrations zao zote za maisha hapohapo eeh?
 
Wamekuwa viumbe hatari sana🀣🀣
Sema tunawezana nao sana ,kama haujaleta pesa kusogezewa chakula na mguu ni jambo la kawaida sana 😁😁😁
 
🀣🀣🀣Kunasiku Nilicheka mdada jirani kampigia simu mpenzwake akamuita, mkaka haish mbali alivoenda akampa elf 10 alivorud nikamuomba anisindikize sokoni mara jamaa kapiga anamwambia amuhesabie chakula 🀣🀣🀣🀣Yani Ile elf 10 alitoa Ili na yeye aje kula
 
𝑨𝒉 π’Žπ’Šπ’Ž π’π’Šπ’Œπ’Šπ’π’π’‚ π’‚π’π’‚π’•π’†π’Žπ’ƒπ’†π’‚ π’•π’‚π’“π’‚π’•π’Šπ’ƒπ’– 𝒕𝒖 𝒏𝒂𝒋𝒖𝒂 π’‰π’‚π’•π’–π’‡π’Šπ’Œπ’Š π’Žπ’ƒπ’‚π’π’Š.
 
Uchafu,unakuta mwanamke makwapa msitu halafu yana unga mweupe au njano sidiria nyeupe imekuwa nyeusi zile kamba zake utafikiri kamba ya kufungia ndama pindi ukamuapo *****, huku chini hanyoi, chupi anavaa siku mbili ndo abadili nyingine zimeungua pale katikati na acidic rain, hapo sio hatutofika mbali tu bali hata kusogea hatutosogea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…