Angry Bird
JF-Expert Member
- May 3, 2016
- 514
- 487
Ili usiabike uliza, mi huuliza kila mara. Hata nikiwa kwenye kidaladala.Heri tujifunze hapa. Kuliko kuaibika ughaibuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili usiabike uliza, mi huuliza kila mara. Hata nikiwa kwenye kidaladala.Heri tujifunze hapa. Kuliko kuaibika ughaibuni
Loan Board, hawakudai ndugu?![]()
My dream jet.walau baada ya miaka kumi nije nimiliki huyu kinda,inshaalah.
Aisee elimu yangu ni ya hapa na pale ya kuunga unga sana,hata jina langu halipo kwenye system yao.na hata wangekuwa wananidai nisingelipa kwa kweli.Loan Board, hawakudai ndugu?
[emoji1] [emoji3] [emoji1] [emoji3] [emoji1]Mie siku napanda arusha to Dar za ardhini inaitwa ngorika ilivyokuwa inakimbia nilidhani tunaenda kwa ISRAELI kila akitaka ku overtake nafunga macho.
Chakula cha mombo kiliniondoa stress kwani sikutegemea kula wali nyama wa 2000 wenye nyama ya ukweli. Muda si mfupi tumeanza safari tumbo likaanza nilitamani wanishushe nimalizie kwa miguu nilipoambiwa utashushwa wami nilijikaza kisabuni
Duuh mkuu ulipania kwa kweli, kiukweli ngosha katutoa kimaso maso na ndege zetu, tunatembea kifua mbelemi nakumbuka siku ya kwanza kupanda ndege nilifika airport saa 7 mchana wakati chuma kinaamka saa 1 jioni...
Ni A380-800 ina ghorofa juu mkuu. Ndege ina raha sana ileKuna ndege Boeing 787 Emirates,nilipanda miaka 2 iliyopita aisee....kumbe ina gorofa! Nilishangaa sana....
Mkuu Joshua upo Australia?Acha kabisa ndugu, u r very right. Fikiria ndani ya nchi moja kwa ndege ni zaidi masaa 5 na nusu (SYDNEY to BRISBANE zote Australia). Halafu unakaa huko kijijini kwenu unajidanganya Tanzania ni nchi kubwa na tajiri sana. TEMBEA UKAONE watu wa shoka wanavyopiga kazi kujiletea maendeleo. .
Kumbe we bwana mdogo sana. Kipindi hicho mi nlikuwa nshastaafu JWTZ.Mm ilikuwa 1939 kipind napigana vita vya 2 vya dunia. Tulikuwa tunatoka tz kuelekea Ujeruman. Sikuwa na was was wwte si unajua mjesh inabid ukomae. Kimbembe sasa kipind tunatoka ujeruman(Berlin) tunaelekea poland, tumefika kweny anga la poland tukaambiwa wote turuke toka angan, nusura nijinyee maana nikicheki chin palivyo mbali duh! Nilichoka ila uzuri tulipewa mbinu km parachuti ikishindwa kufunguka ni hayo.
Jeshini walikuwa wananiita sniper
Ha haaaIla wasukuma Hawataki ujinga wakiwa kwenye ndege. Wanapiga selfie mpaka juice wanayogaiwa
Mkuu kwa Australia Scholarships zipo nyingi sana na Watu kutoka Asia (China, India & Vietnam) wanazichanagamkia sana. Wakati fulani niliwatumia watu TZ waapply nikaambulia mitusi. Ingia hapa International Postgraduate Research Scholarship Eligibility | Adelaide Graduate Centre Postgraduate Research ScholarshipsMkuu Joshua upo Australia?
Nafight sana kupata scholarship ya Australia au New Zealand. Una ka uzoefu na huko?
Zichange mkuu, utapanda tu. Tena Precision wameshusha bei sana, mfano; DAR-KIA tarehe za katikati ya Februari ni 87,000 tu.Ipo siku ntapanda ndege,,,
Halafu kwenye ndege kuna kiharufu flani amazing, sijui ndo mambo ya YOLANDA "pafyumu" kinafanania kile kiharufu ukiingia pia mule mliman city.Raha ya kwenye ndege inakaribia utamu wa SUKARI GURU.