Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

342ec9aeb14b9af3a981bc9343b992af.jpg


My dream jet.walau baada ya miaka kumi nije nimiliki huyu kinda,inshaalah.
 
Mie siku napanda arusha to Dar za ardhini inaitwa ngorika ilivyokuwa inakimbia nilidhani tunaenda kwa ISRAELI kila akitaka ku overtake nafunga macho.

Chakula cha mombo kiliniondoa stress kwani sikutegemea kula wali nyama wa 2000 wenye nyama ya ukweli. Muda si mfupi tumeanza safari tumbo likaanza nilitamani wanishushe nimalizie kwa miguu nilipoambiwa utashushwa wami nilijikaza kisabuni
[emoji1] [emoji3] [emoji1] [emoji3] [emoji1]
 
Acha kabisa ndugu, u r very right. Fikiria ndani ya nchi moja kwa ndege ni zaidi masaa 5 na nusu (SYDNEY to BRISBANE zote Australia). Halafu unakaa huko kijijini kwenu unajidanganya Tanzania ni nchi kubwa na tajiri sana. TEMBEA UKAONE watu wa shoka wanavyopiga kazi kujiletea maendeleo. .
Mkuu Joshua upo Australia?
Nafight sana kupata scholarship ya Australia au New Zealand. Una ka uzoefu na huko?
 
Mm ilikuwa 1939 kipind napigana vita vya 2 vya dunia. Tulikuwa tunatoka tz kuelekea Ujeruman. Sikuwa na was was wwte si unajua mjesh inabid ukomae. Kimbembe sasa kipind tunatoka ujeruman(Berlin) tunaelekea poland, tumefika kweny anga la poland tukaambiwa wote turuke toka angan, nusura nijinyee maana nikicheki chin palivyo mbali duh! Nilichoka ila uzuri tulipewa mbinu km parachuti ikishindwa kufunguka ni hayo.
Jeshini walikuwa wananiita sniper
Kumbe we bwana mdogo sana. Kipindi hicho mi nlikuwa nshastaafu JWTZ.
 
Ninachohamin sikila mtu anapendelea sana kupanda ndege wengine hupanda ndege sababu hakuna usafirii mwingine wakumfikisha anapokwenda kwa muda
 
Back
Top Bottom