Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahahah sasa kumbe unaringa sababu uko New York mzee! Huko watu wako busy na maisha nani ana muda wa kufuatilia umekula nini ama umefanya nini cha maendeleo yako binafsi?Sawa, umesema wachawi wanaweza kupaa, kuyeyuka na kufufuka ila hawawezi kupata details zangu basi tukutane Times Square NY they pick the time. Wao wafike hapo kichawi mimi nawaletea details zangu zote hadi kimba wakitaka.