Visa vya Uchawi na Ushirikina Mkoani Kigoma Mwisho wa Reli

Safi sana mtumishi
 

Mtoa mada upige na kwetu ukelewe
 
Uzi mzuri lakini umejaa mahubiri na ubishi ubishi.
 
Kwa sifa hizi za Ujiji huwezi amini ndio mahali Livingston na Henry Stanley walikutana.
Kwanini hawakulogwa?
 
Uzi mzuri lakini umejaa mahubiri na ubishi ubishi.
Ufunuo wa Yohana 21:8
"Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili."

Kinyume cha wasiopenda mahubiri ni wasioamini.. maana mahubiri ni kwa waaminio.

Mahubiri ni sehemu ya ulimwengu wa Nuru, yaani kinyume cha ulimwengu wa giza (uchawi ukiwemo), hivyo Usishangae wala usipate shida ukisikia Mahubiri katikati ya mada za kichawi, Nguvu ya Bwana iko hapa KUTAFUTA WALIO WAKE, WASIPOTEE.

Unapenda uchawi kiasi cha kuchukia mahubiri/Neno La Mungu?
 
Kuna yule alikuwa Mkuu wa Mkoa toka Sumbawanga ambaye amefariki miezi michache iliyopita,alipimana ubavu kichawi na wazee wa Ujiji ngoma ikawa droo wakaanza kuheshimiana
Nadhani ni marehemu Mzindakaya! Kama sikosei huyu alishindikana Kigoma.
 
Ulizokojolea
 
Wakuu uchawi upo, mimi pia nilikuwa siamini hii kitu lakini niliwahi shuhudia kwa macho ndugu yangu aliyekiwa akiuguzwa home tena kwenye chumba changu baada ya hospital kushindwa. Huyo ndugu yangu alifariki lakini akawa anakoroma kupitia mdomo. Doctor alikuja kumpima akasema kaisha kufa, lakini anapumua kwa kukoroma kupitia mdomoni.

Kuna jirani yetu alileta dawa akawa anamnywesha lakini kila alipoweka ile dawa mdomoni, hakuimeza maana alikuwa akikoroma inarudi yote. Wengine wakashauri paa la nyumba liezuliwe ili mionzi ya jua imchome eti angetulia kitu ambacho wazee waligoma kuepusha gharama. mwisho ndugu akatulia japo alichukua masaa.

Anayesema uchawi haupo ni kiazi
 
Ukishikwa chuchu husisimki hata kidogo?😳😳😳😳😳😳 Kwa nini.

Ndugu ulikusudia kuni-quote mimi?

Ukija kimwili nakulipua kimwili ukija kiroho nakumaliza kiroho na ukija kifedhuli Mungu amenipa kibali cha kukupasua kifedhuli.

Katika yote, nakukumbusha tubu dhambi zako na Mungu ATAKUSAMEHE.
 
Kwa sifa hizi za Ujiji huwezi amini ndio mahali Livingston na Henry Stanley walikutana.
Kwanini hawakulogwa?

Ndo hapo sasa. Hawa ndio walioamini ukisema maji risasi haikupati kipindi cha majimaji war.
 
Mtu anaoaje mke wa watoto 6 huko si kuvunja familia aisee, useless diwani adhabu aliyopata alistahili

Yeyote atayenipa jina la huyo Diwani nampa 500k taslim TSH. Jina tu ili nithibitishe uhalali wa hii habari.

NB: Diwani ni ofisi ya umma na jina lake ni public record.
 

Ulitaka asitoke nyumbani kwake ungempelekea wewe mahitaji yake?

Hujui features za binadamu zinabadilika kadri umri unavyoenda? Hata mvi nazo unasema ni uchawi, basi Mzee Lowassa na mvi zake atakua kiongozi wa washirikina. Hata wewe utakua kama huyo mzee kama ukibahatika kufikia uzee.

Nyie ndo mnaoua wazee kwa kisingizio ni washirikina I pray muandamwe hivyo hivyo mkifikia umri huo. Empty set kabisa nyie midanganyika.
 
Mkuu umejibu vizuri sana si kama baadhi ya watu wachache ambao hujifanya kumjua Yesu na hapohapo wakidai hakuna uchawi
 
Bufa ishu ni simple CHUKUA iyo laki 5 Yako......Nenda kigoma field then uje utupe mrejesho......

Musa alitupa fimbo yake ikawa nyoka kwa uwezo wa MUNGU,
Hata farao aliwaita wachawi na washirikina na wao walipo tupa fimbo Zao zikawa nyoka..... Nyoka wa musa aka meza nyoka wengine wote....

This is one among evidences to prove uchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…