Ni diwani wa huko kigoma mkuu, kwenye waganga waliokubuhu nchi hiiYeyote atayenipa jina la huyo Diwani nampa 500k taslim TSH. Jina tu ili nithibitishe uhalali wa hii habari.
NB: Diwani ni ofisi ya umma na jina lake ni public record.
Unatumia nguvu kubwa bure. Bufa haamini uchawi upo, labda umloge alogeke ndo mtaelewana.Bufa ishu ni simple CHUKUA iyo laki 5 Yako......Nenda kigoma field then uje utupe mrejesho......
Musa alitupa fimbo yake ikawa nyoka kwa uwezo wa MUNGU,
Hata farao aliwaita wachawi na washirikina na wao walipo tupa fimbo Zao zikawa nyoka..... Nyoka wa musa aka meza nyoka wengine wote....
This is one among evidences to prove uchawi
Bufa ishu ni simple CHUKUA iyo laki 5 Yako......Nenda kigoma field then uje utupe mrejesho......
Musa alitupa fimbo yake ikawa nyoka kwa uwezo wa MUNGU,
Hata farao aliwaita wachawi na washirikina na wao walipo tupa fimbo Zao zikawa nyoka..... Nyoka wa musa aka meza nyoka wengine wote....
This is one among evidences to prove uchawi
Ni diwani wa huko kigoma mkuu, kwenye waganga waliokubuhu nchi hii
Hahaaa Hapo pa kutaja sasa ni mtihani maana kigoma ni kubwa sana lohNimeomba jina lake tu mkuu ila napigwa chenga hatari. Sikujua udiwani ni siri kiasi hiki watu wanagoma kutoa jina la diwani hata kwa hela ila hao hao wanataka mishahara ya wabunge na viongozi iwekwe wazi. Smh
Unatumia nguvu kubwa bure. Bufa haamini uchawi upo, labda umloge alogeke ndo mtaelewana.
Jamii forum kuna watu wajinga,mfano wewe unapinga juu ya kutokuwepo kwa Uchawi halafu huujui Uchawi nini,kadhalika huwezi kuthibitisha kutokuwepo kwa uchawi hivi ni vimbwanga vyenye kuchekesha sana.Again, story zote za ushirikina ni hearsay stories, wewe umesimuliwa na aliyekusimulia naye alisimuliwa ukitrace mzizi wake ni mjinga mmoja tu alijitungia na nyie mnaamini kama ilivyo.
Kwa ujinga huu kwenye hayo mafuvu yenu bora serikali iendelee kuongeza kodi tu. Hakuna uchawi
Hahaaa Hapo pa kutaja sasa ni mtihani maana kigoma ni kubwa sana loh
Jamii forum kuna watu wajinga,mfano wewe unapinga juu ya kutokuwepo kwa Uchawi halafu huujui Uchawi nini,kadhalika huwezi kuthibitisha kutokuwepo kwa uchawi hivi ni vimbwanga vyenye kuchekesha sana.
Kutokushuhudia kwako si hoja ya kuthibitisha ya maajabu hayapo au uchawi haupo,huku ni kuhoji kitoto sana.Nimefika Kigoma countless times na the latest nimeenda ni mwaka huu huu hadi Manyovu kule mpakani na Burundi so naifahamu Kigoma na Tz kwa ujumla vizuri tu sio kama nyie mnaosimuliwa hapa. Hakuna jambo la ajabu lolote nililoshuhudia zaidi ya hizi story zenu za hearsay.
Hii si hoja kabisa na hili halionyeshi ya kuwa tukio halikuwahi kutokea,kutaja jina au kinyume chake,wahusika wanaweza wasitaje kwa kulinda heshima ya mtu.Okoa nguvu na muda nipe jina la diwani mliyeaminisha na mleta Uzi nithibitishe uhalali wa hii story nikupe laki tano 500,000/= TSH.
Sina tatizo na imani ya mtu Ila kama huamini uchawi upo hata uwepo wa MUNGU pia hutakiwi kuuamini. Unatakiwa ujikite kwenye sayansi.Ewaaa now you're talking.
Hii midanganyika kuniloga haiwezi hata kutoa jina la diwani haiwezi sijui uchawi wao unaweza Nini?
Okoa nguvu na muda nipe jina la diwani mliyeaminisha na mleta Uzi nithibitishe uhalali wa hii story nikupe laki tano 500,000/= TSH.
Nimeomba jina lake tu mkuu ila napigwa chenga hatari. Sikujua udiwani ni siri kiasi hiki watu wanagoma kutoa jina la diwani hata kwa hela ila hao hao wanataka mishahara ya wabunge na viongozi iwekwe wazi. Smh
Thibitisha ukweli wa hiki ulichokiandika.Again, story zote za ushirikina ni hearsay stories, wewe umesimuliwa na aliyekusimulia naye alisimuliwa ukitrace mzizi wake ni mjinga mmoja tu alijitungia na nyie mnaamini kama ilivyo.
Mbona sijaona mtu kakuomba hela humu ni kwamba unazo nyingi sana?
Ni stori tu habari za uchawi ni za kusadikika
Ukimpa jina na eneo ana njia zake za kuthibitisha uhalali wa habari. Kutokufahamu uchawi ni sababu kuu ya yeye kupinga kuwa upo, sasa inatakiwa wewe unayeufahamu umthibitishie maana yeye haufahamu.Hii si hoja kabisa na hili halionyeshi ya kuwa tukio halikuwahi kutokea,kutaja jina au kinyume chake,wahusika wanaweza wasitaje kwa kulinda heshima ya mtu.
Muulize mtoa mada swali hili,usiniulize mimi,mimi nataka nikuonyeshe ya kuwa uchawi upo na ni uhalisia.
Hapa nikikuuliza tu Uchawi ni nini,mpaka unakufa huwezi kujibu,halafu muda huo huo unakataa kuhusu uchawi. Sijui elimu zenu mlizosoma zimewafundisha kuhoji kichwa mchunga ?
HeheheDina kama Dina ☺️