Tupo katika zama za mwisho aisew!! Yani unakuta baba mtu mzima anakomalia waende sambamba na mwanamke wake! Na wanavyochukulia poa swala zima la mwanamke kuzaa watoto kwanini na wao wasijaribu? Majukumu huwa hayaingiliani kabisa! Mtu amekosa point ya kuzuia mwanamke kupewa kipaumbele katika jamii, basi anakuja na hayo mawazo ya kijinga jinga eti 50/50 ndani ya familia! Uliona wapi katika jamii yetu??Hizo hua ni dalili za mwanaume kutamani kua mwanamke yaani anaumia akiona mwanamke wake anabaki nyumbani kulea watoto na yeye anaenda kusulubika kwa kazi ngumu, anatamani yeye angekua mwanamke ili abakishwe nyumbani bila kujua huyo anayemuona golikipa ndie anayemlelea watoto wake na kusaidia mambo ya nyumbani yakae sawa na ndie anayepokea wageni wake wakija kumtembelea,
Nadhani wazee wangeirudisha Jando, wavulana wa siku hizi wanaukimbia sana uvulana wao wanapenda kushindana na wanawake kwenye kila kitu hadi kulelewa wenyewe wanawaita mishangazi.
Submission ni suala jingine kabisa hata sijui umetoka nalo wapi.mada inahusu wanawake kukwepa kuwajibika kwa kisingizio cha asili sanasana mimba. Ndipo mimi nikaongelea ule uwiano wa haki sawa na wajibu sawa bila kuleta visingizio.Mwaya, hakuna submissive provider nakukumbusha kila siku.
Hiyari ndio inayofanya mwanamke aheshimu.
Tunapojadili hizi mada tunatakiwa tujadili tabia za asili zinazotokana na bayolojia au tabia “zilizotengenezwa” ambazo katika makuzi na malezi kila gender inasisitizwa kuwa nazo kwa upekee.
Mtoto wa kike katika ukuaji anasisitizwa kusubmit, na mtoto wa kiume anasisitizwa kuheshimiwa/ kudai heshima.
Sasa hawa watu wawili ukiwabadilishia roles hawawezi kumatch. Kama mnaweka mkazo kwenye ndoa na mwanamke akawa provider maana yake hawezi kusubmit, na mwanaume atajisikia less of a man, atatoka kwenda kutafuta wakumuweka chini hence a broken home.
Hivi mnajua hata ndoa zinasumbua kwanini you people!? yall have 0 idea.
Wala sio maamuzi yako kuwa single, sema daraja la wanaume unaowataka wao hawakutakiMi mwenyewe sitaki I'm single and happy 🥂
Utasikia mwanamke ku cheat ni jinai
Mwanaume ku cheat ni rijali
Wanatamani hata ukimfumania
Umwangukie miguuni mume wangu nisamehe kwa kukufatilia 😒
Usikubali Kuwa na mawazo mgandoMjinga mwenyewe, na usiwe unaquote wajinga! Kaandike mawazo yako achana na yangu!! Mie upeo wangu umeishia hapo!!
Kweli ulielewa MADA , mkali?Tuko tayari kuchangia, shida inakuja kwenye double standards.
Tutabeba majukumu mkiwa tayari kwa usawa, siyo tu kwenye bills na uchumi, bali pia kwenye kugawana shughuli zote za nyumbani, kimalezi, kimaendeleo na kifamilia.
Unataka nichangie 50/50 kiuchumi, ila hata mtoto akizaliwa nalea peke yangu (akiwa kichanga huamki usiku kubadili nepi wala kumlisha mtoto, wala kumuandaa kwenda shule pale atakapoanza).
Hata najua basi alisema vizuri kwenye hii reply 👇👇👇
OgaBoy uko tayari kufua nguo za wanao, kuwahi kurudi nyumbani ili wakitoka shule kuwe na mzazi wa kuwaangalia, kumfulia na kumpikia mkeo, kupiga deki nyumba, kwenda sokoni etc?
Labda wewe unasoma kwa kukasirika ila hakuna mtu aliyeenda OP so far!Wanawake wengi humu wanachangia MADA Bora liende ila hawajaelewa HATA nimefocus na nini.
Hii bado inaonyesha utata
Naona umeamka na wanzuki kicwaniWala sio maamuzi yako kuwa single, sema daraja la wanaume unaowataka wao hawakutaki
Hamna aliekasirika ngoja nikupe mfano Biti WA zamani kasemaLabda wewe unasoma kwa kukasirika ila hakuna mtu aliyeenda OP so far!
nafikiri nimeeleweka vyema....mwanamke na pesa zake....mimi na majukumu yangu....unataka nikuchekee wakati unaleta usumbufu? ama mimi ndo niondoke nyumbani kwangu ambapo wewe upo kama sehemu ya majukumu yangu?Duh mfukuze 🤔
Nyie bado mnachukulia wanawake kama mifugo masikini.
Ili mwanamke ahesabiwe ametoa mchango kwa familia inabidi afanye nini kwa mtazamo ? Yaan wewe ili uridhike mkeo afanye nini ili uone anashiriki kikamilifu?Mzingatie MADA mnajitekenya jamani😄
Naweka nukuu tena.
Tukija kwenye swala la majukumu ni kwamba majukumu ya asili pekee hayawezi kuwa kigezo cha kuhalalisha uzembe au ukosefu wa mchango katika maendeleo ya familia au jamii. Kuzaa ni sehemu ya maumbile/asili ya binadamu, lakini maendeleo ya maisha yanahitaji zaidi ya hilo, yanahitaji juhudi, uwajibikaji, na mchango kwa vitendo.
Hizi NDO point tudiscuss
Hapa umefunguka kiakili Sasa haya ndo maswali.Ili mwanamke ahesabiwe ametoa mchango kwa familia inabidi afanye nini kwa mtazamo ? Yaan wewe ili uridhike mkeo afanye nini ili uone anashiriki kikamilifu?
Sasa mkuu mda wote unalalamikia hiki tu jamani?Hapa umefunguka kiakili Sasa haya ndo maswali.
Mchango wa mwanamke si lazima uwe kitu kimoja au KITU flani tu. Anaweza kuchangia kwa kazi, kusimamia rasilimali za familia, kulea na kuandaa watoto vizuri, au kusaidia maendeleo ya familia kwa vitendo.
kuzaa peke yake ambapo ni jambo la asili halitoshi kuwa kipimo cha mchango. Maisha ya familia yanahitaji uwajibikaji na juhudi za kila siku kutoka kwa mume na mke.
Case study ni humu jf wazee WA kujificha KWENYE kuuza na kilea miezi tisa wapo wengiSasa mkuu mda wote unalalamikia hiki tu jamani?
Hivi kuna mwanamke karne hii anachoweza ku offer kwenye familia ni kupush mtoto tu?
Wanawake wanafanya mambo mengi kwenye familia mbali na majukumu ya asili sema sasa inatokana na umemuoa nani
Na kwa hayo uliyosema hapo juu karibia waliowengi wanafanya
Labda kama unataka 50/50
Ungewatag waje kukuelewesha sasa kupunguza mlolongo usio na faidaHamna aliekasirika ngoja nikupe mfano Biti WA zamani kasema
Kwamba hoja ya 50/50 je ni wapi Mimi KATIKA MADA nimezungumzia ?
Cheki hapa chini nukuuunkwenye MADA
Tukija kwenye swala la majukumu ni kwamba majukumu ya asili pekee hayawezi kuwa kigezo cha kuhalalisha uzembe au ukosefu wa mchango katika maendeleo ya familia au jamii. Kuzaa ni sehemu ya maumbile/asili ya binadamu, lakini maendeleo ya maisha yanahitaji zaidi ya hilo, yanahitaji juhudi, uwajibikaji, na mchango kwa vitendo.
Hiyo nukuu inatofautisha katii ya majusukumu ya asili na MAENDELEO.
Sasa KWENYE hiyo wanawake wengi usingizia wao NDO ulea watoto na mambo flani flaninua miezi 9 Sasa kule mtoto na MAENDELEO ya KIUCHUMI wapi na wapi .
Ikiwa mwanamke atachangia katika uchumi huoni kwamba familia inaendelea?
Mwanamke ana kipatonila anasema ni hiari kufanya MAENDELEO ya familia Kwa PESA yake je YEYE si mwanafamikia? Hapo 50/50 inaingiaje?
50/50 mnayotaka inataka majukumubya asili KUWA ya wote KITU ambacho alipo!.
Hivyo nilikuambia wewe Leo zamu YAKO kutoa sperm UNAWEZA? Kama unavyoniringishia kutunza mimba miezi 9. Kwahiyo unatambua KUWA hii ni tofauti ya asili na hauingiliani na MAENDELEO. WANGAPI mmetumza miezi 9 wamekufa makapuku?
Mfano mwingine binti kizowi kasema mwanamke akiprovide hawezi submit nikamhoji maswali kadhaa ikiwemo mwanaume ni provider Kwa asili Kwa mbona Kuna familia mwanamke ni provider, na vipi akipata shida.
Hapa mmejibuje
"Asiyejua maana haambiwi maana", mtajichosha bure na hivi vivulana vya mtandaoni!Ungewatag waje kukuelewesha sasa kupunguza mlolongo usio na faida
Binti wa zamani
binti kiziwi
Njoeni mtoe ufafanuzi huku hamjaeleweka na vijana!
Bora hata wewe umeharisha umekumbuka kujifuta na majani..!!Huu upumbaf wa kumsikiliza mwanamke unatokea wapi?
Lipa Bill simamia watoto wakue...Tafuta Mchepuko kula hela yako ya ziada ...wekeza pata pesa zaidi kula maisha
Kama mshahara wake ataamua kuutumia hapo nyumbani mkataze....siku akikuzingua mfukuze aende akaishi kwenye hiyo nyumba anajenga kwa siri.....
Narudia tena Mzalishe mpe mahitaji ...kula maisha Viwanja baada ya viwanja...
Usisahau kuwekeza maana wana visasi sana uzeeni.
😹😹😹 Na michupi yangu atakubali kufua kwa zamu? Na simu yangu asiguse wala asiniulize mpigaji nani?Unataka tulipe bills sawa sawa utakubari nikaangalie mpira wa Barcelona usiku
Maana home hakuna vibe😁