Vita dhidi ya corona: RC Makonda aiombea Dar na Tanzania

Mhubiri anasema Bible ni tamu sana ngoja tuone Mungu anatuambia nini baada ya haya Majukumu ya Mkoa.

Masanja kacheka kasema tutafute kiwanja.

Mtumishi Paulo anamaanisha nini hapa?
 
Jamaa hata kama mnamsema kwa changamoto zake,neno la Mungu analielewa.

Lakini pia anajiamini sana, hata lugha ya malkia inapanda pia.

Mungu mbariki Makonda.

Sent using iphone pro max
 
Acha chuki mkuu ! tofaut zako za kiitikadi usizilete kwenye dini,shame!.Mnajua ku attack personalities tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Chuki za kiitikadi kivipi?? Unajua itokadi yangu?? Unadhani kila anaepingana na ushetani wa Bashite yuko mlengo unaofikiria wewe?? Acha ku assume sio kila asiyekubaliana na Bashite basi ni opposition mm ninachopinga ni kumuita Bashite ni mpakwa mafuta wa Bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha chuki mkuu ! tofaut zako za kiitikadi usizilete kwenye dini,shame!.Mnajua ku attack personalities tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Si nI bora anayekuattack personality kuliko anayekushambulia Mwili.

Hivi haya yana tija gani huku ukiwa umemshambulia binadamu mwenzio kwa risasi 38 bila kosa lolote??

Ni mungu gani huyo anayeongelewa huko wasafi TV maana nimeona tu nikabadilisha nisijeunganishwa kwenye kuabudu miungu mingine tofauti na Mungu muumba wa mbingu na nchi
 
Amechagua fungu jema.

Mungu mbariki Makonda!
 
Nampata live aise jamaa ni mhubiri mzuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa hata kama mnamsema kwa changamoto zake,neno la Mungu analielewa.

Lakini pia anajiamini sana, hata lugha ya malkia inapanda pia.

Mungu mbariki Makonda.

Sent using iphone pro max
Acheni upumbavu Bible inasema mashetani wanalijua neno na kutetemeka sembuse huyo mjinga anaetumia maandiko kuficha ushetani wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…