Vita Kati ya Wakatoliki na Ndugu zao Charismatic

Vita Kati ya Wakatoliki na Ndugu zao Charismatic

Mkuu kabla hujahama naomba unionyeshe siku ya Christmas kwenye bibilia? Lingene nioshenye neno ukotoliki kwenye bubilia
Kabla sijakupa daawa kulingana na maradhi Yako ww upo zizi Gani?; La YESU au muham mad aka allah?🎤
 
kazi ya kuponya, kutoa pepo kufungua au kukomboa ni kwa waliokubali kumpa nafasi Yesu Kristo aliye Mungu mkuu aliye hai katika mioyo yao na miili yao, kwa sababu kazi yote hiyo anayetenda ni Yesu Kristo akaae ndani ya mtu na huyo mtu kukaa ndani ya Yesu Kristo.
 
Charismatic ni wachokozi. Wangeanzisha kanisa lao kama ambavyo lutheran, anglican na wengine walivyofanya.
 
Kuna Bruda mmoja nikiwa form 5 huko unyarukoloni Iringa aliwahi kueleza katika kipindi cha Dini na siji sahau mpaka leo; alisema kuwa nyakati za miujiza zimeenda na Yesu na kwamba tangu Yesu Kristo alivyopaa mbinguni vilivyobaki ni vipawa walivyotunukiwa watu mbalimbali kutatua matatizo ya binadamu; Kanisa kujenga mashule , mahospitali na vyuo yote hayo ni kutatua hayo matatizo

Ugomvi na karismatiki unakuja hapa, unakuta mtu anazunguka kwenye makanisa ya kilokole na karismatiki akikemea mapepo wakati wanasaikolojia katika hospitali hizo hizo za Kikatoliki pamoja na baadhi ya mapadri wanaelewa kabisa tatizo lipo wapi na halihitaji miujiza kutatua
 
Mkuu kabla hujahama naomba unionyeshe siku ya Christmas kwenye bibilia? Lingene nioshenye neno ukotoliki kwenye bubilia.
Daah?! Kazi Kweli kweli!
Afahamu Kwamba Biblia Takatifu Inajishuhudia Yenyewe kwamba sio NENO Pekee LA MWENYEZI MUNGU!;
👇👇
Yohana 20:30-31
30 Basi kuna ishara nyingine nyingi alizozifanya Yesu mbele ya wanafunzi wake, zisizoandikwa katika kitabu hiki.

31 Lakini hizi zimeandikwa ili mpate kuamini ya kwamba Yesu ndiye Kristo, Mwana wa Mungu; na kwa kuamini mwe na uzima kwa jina lake.

Ndio sababu YESU Amekaimisha MAMLAKA Yake Kwa KANISA!
👇👇
Mathayo 16:16-19
16 Simoni Petro akajibu akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.

17 Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simoni Bar-yona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni.

18 Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.

19 Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lo lote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lo lote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni.

Ndio sababu!;
-Biblia Takatifu!
-Tuna Mapokeo!
Matakatfu!
Pia tuna -MAMLAKA!

.
 
Daah?! Kazi Kweli kweli!
Afahamu Kwamba Biblia Takatifu Inajishuhudia Yenyewe kwamba sio NENO Pekee LA MWENYEZI MUNGU!;
[emoji116][emoji116]
Yohana 20:30-31
30 Basi kuna ishara nyingine nyingi alizozifanya Yesu mbele ya wanafunzi wake, zisizoandikwa katika kitabu hiki.

31 Lakini hizi zimeandikwa ili mpate kuamini ya kwamba Yesu ndiye Kristo, Mwana wa Mungu; na kwa kuamini mwe na uzima kwa jina lake.

Ndio sababu YESU Amekaimisha MAMLAKA Yake Kwa KANISA!
[emoji116][emoji116]
Mathayo 16:16-19
16 Simoni Petro akajibu akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.

17 Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simoni Bar-yona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni.

18 Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.

19 Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lo lote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lo lote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni.

Ndio sababu!;
-Biblia Takatifu!
-Tuna Mapokeo!
Matakatfu!
Pia tuna -MAMLAKA!

.
Kuna tofauti kubwa ya Kristo mtu/Mungu, Ukuristo Imani na Ukatoliki dhehebu, nimekuomba nionyeshe ukatoloki kwenye bibilia au Ukuristo dini kwenye bibulia, sio mtu Yesu,.....acha kujizima data mkuu.
 
Ukuristo kwa jumla ni vurugu tupu uliondoka kwenye msingi ya Bibilia na kuanzisha mambo yao yasio kua na rejea kwenye bibilia hao wakatoliki wana bariki ndoa za ushongaa, wanaabudu masanamu ambao ni ushirikina mkubwa sana kwa mbali angalau Wasabato.
bora ungesema wapentekoste
 
Kuna tofauti kubwa ya Kristo mtu/Mungu, Ukuristo Imani na Ukatoliki dhehebu, nimekuomba nionyeshe ukatoloki kwenye bibilia au Ukuristo dini kwenye bibulia, sio mtu Yesu,.....acha kujizima data mkuu.
ulicho Andika na kuuliza ni wazimu wa kuuliza maswali🙄🤪
👇🏽👇🏽
1 Timotheo 6:3-4
3 Mtu awaye yote akifundisha elimu nyingine, wala hayakubali maneno yenye uzima ya Bwana wetu Yesu Kristo, wala mafundisho yapatanayo na
utauwa,

4 amejivuna; wala hafahamu neno lo lote; bali ana wazimu wa kuwazia habari za maswali, na mashindano ya maneno, ambayo katika hayo hutoka husuda, na ugomvi, na matukano, na shuku mbaya;

Hata muham mad aka allah naye ameonya! Ila sababu ya ukafiri wako unajiona ni mjuzi zaidi yake!🙄🤪
👇🏽👇🏽
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تَسْأَلُوا عَنْ أَشْيَاءَ إِن تُبْدَ لَكُمْ تَسُؤْكُمْ وَإِن تَسْأَلُوا عَنْهَا حِينَ يُنَزَّلُ الْقُرْآنُ تُبْدَ لَكُمْ عَفَا اللَّهُ عَنْهَا ۗ وَاللَّهُ غَفُورٌ حَلِيمٌ

[ AL - MAIDA - 101 ]
Enyi mlio amini! Msiulize mambo ambayo mkidhihirishiwa yatakuchukizeni. Na mkiyauliza inapo teremshwa Qur'ani mtabainishiwa. Mwenyezi Mungu amesamehe hayo. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye maghfira Mpole.

Ungekuwa Muumini!; muham mad aka allah alikwisha kufahamisha kuhusu Wakristo!
Hivyo Kwa ukafiri ulio nao kambishie muham mad aka allah
👇🏽👇🏽
۞ لَتَجِدَنَّ أَشَدَّ النَّاسِ عَدَاوَةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الْيَهُودَ وَالَّذِينَ أَشْرَكُوا ۖ وَلَتَجِدَنَّ أَقْرَبَهُم مَّوَدَّةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الَّذِينَ قَالُوا إِنَّا نَصَارَىٰ ۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّ مِنْهُمْ قِسِّيسِينَ وَرُهْبَانًا وَأَنَّهُمْ لَا يَسْتَكْبِرُونَ

[ AL - MAIDA - 82 ]
Hakika utawakuta walio shadidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni Wakristo. Hayo ni kwa sababu wapo miongoni mwao wasomi na wacha Mungu, na kwa sababu wao hawafanyi kiburi.
Nyumba Yako ya vioo dogo usianzishe mchezo wa kurushiana MAWE!
 
Ukuristo kwa jumla ni vurugu tupu uliondoka kwenye msingi ya Bibilia na kuanzisha mambo yao yasio kua na rejea kwenye bibilia hao wakatoliki wana bariki ndoa za ushongaa, wanaabudu masanamu ambao ni ushirikina mkubwa sana kwa mbali angalau Wasabato.
Katika imani zote ukitoa Buddhism hakuna watu smart kama catholics, Hakuna mvaa Kobazi yoyote duniani wa kufanana na Mkatoliki!
 
Katika imani zote ukitoa Buddhism hakuna watu smart kama catholics, Hakuna mvaa Kobazi yoyote duniani wa kufanana na Mkatoliki!
Huo ni mtizamo wako wa mhemuko wewe kama wewe, huwezi kushibitisha hata siku moja, Imani mchanganyiko kuna wanao bariki ndoa za kishoga kuna wana pinga, kuna charismatic catholics wanao cheza kama walokole kuna orthodox Catholic kuna KKKT wote hao ni catholics vurugu tupu.
 
RC ni kuwalea waumini kiroho (wamjue Mungu, Wajue kusali wao wenyewe na waishi kutokana na neno la Mungu na kwalea kimwili(kuwapa huduma zakijamii kama elimu na afya),miujiza ni ziada kwa RC japo inafanyika mingi.
Padri kawombe.
Padri Mkude.
Padre Kimboi Hawa wote watu wa masanga ss huko kuwalea kiroho mnawaleaje ?
 
Padri kawombe.
Padri Mkude.
Padre Kimboi Hawa wote watu wa masanga ss huko kuwalea kiroho mnawaleaje ?
Imani katoliki haijakataza pombe, maana hata Yesu na wanafunzi wake walikuwa wanakunywa,kwani muujiza wa kwanza wa Yesu ulikuwa kubadilisha maji kuwa divai na aliufanya kwenye ndoa,kunywa haijakazwa ila kilicho katazwa ni unywaji kupitiliza (ulevi). Halafu kulelewa kiroho sio lazima umfuate padri, katoliki kuna vitabu lukuki vya kiroho, kuna novena na sala kibao ambazo zimeizinishwa na kanisa kupitia mabaraza ya maaskofu. Unaweza ukazisoma na ukakua kiroho.

Halafu kama hujui mambo mengi ya katoliki haya simamiwi na padri peke yake,kamati za kiroho nyingi zina padri na waumini mfano kamati ya kutatua migogoro ya ndoa,zinakuwa na padri kama kiongozi na waumini wengine. Hata kama yy hasipo kuwepo sababu ya majukumu mengine, waliopo,wale wengine wanaendelea.

Halafu kama hujui unaweza kwenda kanisani na issue yako ya kiroho kwa padri, ila padri akakuelekeza muumini ambaye yy anamfahamu akusaidie,karama/talanta zinatofautiana kuwa padri hana maana ww unakarama/talanta zote.
 
Sijui ni Jimbo gani la Kikatoliki ambapo yametokea hayo. Nijuavyo yapo majimbo hata baadhi ya Maaskofu na Mapadri ni Wana-Karismatiki. Kisichoruhusiwa ni kuingiiza shughuli za Karismatiki katikati ya Misa au Ibada za kawaida. Vinginevyo wana-Karismatiki hutumia kumbi za Kanisa kama vyama vingine vya Kitume.
 
Back
Top Bottom