Vita kuu ya tatu imekaribia, maandalizi yamekamilika, dunia kupata mtawala baada ya machafuko

na ataitawala dunia kwa sheria zake, atakaye mpinga hatoishi, na wengine kuishia magerezani.(Order out of chaos)
Ulichokileta ni:

conspiracy theory, an attempt to explain harmful or tragic events as the result of the actions of a small powerful group. Such explanations reject the accepted narrative surrounding those events


conspiracy theory

a belief that an event or situation is the result of a secret plan made by powerful people


Nb: Unaelewa maana ya hii kauli??

the accepted narrative surrounding those events
 
Mabeberu wakitoweka ghafla nini kitatokea kwa chumi zetu ambazo asilimia kubwa zinategemea wao?

Vita ni mtaji wa matajiri, matajiri ambao wanakopesha nchi zetu kwa pesa zao binafsi.... Rothschild's
Watu wa sampuli yako hampendi uhuru wa fikra..mko tayari kuliwa kibonga in the name of misaada..pambaff
 
After more than three years of being a conspiracy theorist, I've discovered that conspiracy theorists are the ones that discover the truth before the majority of people do.

And you know what? They ended up being considered crazy by uninformed people.
 
Watu wa sampuli yako hampendi uhuru wa fikra..mko tayari kuliwa kibonga in the name of misaada..pambaff
Well, nadhani hujaelewa Nilicho andika, huo ni uhalisia wa mambo, sisi ni watumwa wa mabeberu, sipendi hivyo, lakini ndio uhalisia.
 
Hatuwezi kupuuza kabisa! Hata kama haya yalishatokea huko miaka na karne zilizopita,tunaona yanajirudia!
Dhiki na Shida zimeongezeka,Dhuruma,Mauaji,Vita na Chuki vimeongezeka,Njaa na mateso,Umasikini,matetemeko na majanga ya asili.
Kila mmoja ashike alichonacho!
 
Sahihi, dunia sasa ni uwanja wa tabu, damu na mateso. Ngoma ikilia sana inapasuka, hata historia imeonesha mipasuko ya awali....

"Kila mmoja ashike alichonacho!"
 
Acha kututisha hii dunia bado ipo sana tuu tutaendelea kuenjoy
Unajua huwa wanatuitaje?

“Useless eaters, sheep's", slaves"

Wanatamani hata kesho wafute maskini wote duniani, wabaki pekeyako......
 

"Wakati taifa la Marekani likiwa halina ulinzi wa kutosha, hapo ndipo vikosi vya UN vitaingia Marekani na kuchukua mamlaka."

Nikuombe uutunze huu uzi wako tuurejee muda muafaka mbinguni au hapa duniani.
 
"Wakati taifa la Marekani likiwa halina ulinzi wa kutosha, hapo ndipo vikosi vya UN vitaingia Marekani na kuchukua mamlaka."

Nikuombe uutunze huu uzi wako tuurejee muda muafaka mbinguni au hapa duniani.
Hii ni kumbukumbu, nimeiweka mapema kabla mambo hayajakolea, ipo siku tutarejea uzi huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…