Vita sasa inaanza rasmi: Kiongozi Mkuu wa Iran ameamuru jeshi kuiadhibu Israel

Tusione mnakuja na Hashtags za FreeIran
Hivi ukiachilia mihemko ya kidini what is so special about Israel? Mbona mnadanganywa sana ninyi?
Israel haina uwezo huo, mmeshuhudia Hamas kikundi cha migambo ikiwatia jamba jamba miezi yote hii kwenye gereza la Gaza.

Israel ina kipi cha kipekee zaidi ya story za six days war na operation Entebbe miaka hio ya kale?

Huwa nawashangaa sana.
 
Siyo hilo tu, bali kwa UPUMBAVU WENU NYINYI WAISLAM MMEANZISHA VURUGU PIA JORDAN MKIWACHOCHEA WAPALESTINA WA HUKO WAVAMIE ISRAEL, MWISHO WENU SASA NDIYO MNAULETA KWENU NYINYI WENYEWE

View: https://x.com/Osint613/status/1775520305147957511?s=20
 
"siombi vita ipiganwe kwasababu watu wengi wanakufa bila kuokoka, na wanaenda motoni, wote waisrael na wairan. "

🤔🤔🤔
so glad you got that. wokovu ni wa muhimu, tuishi tukiukomboa wakati. shetani anavuna sana watu bila kuokoka. okokeni ndugu zangu.
 
Nini maana ya kuokoka au kuokoka inakuwajekuwaje?
WARUMI 10:9 Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka. 10 Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu. 11Kwa maana andiko lanena, Kila amwaminiye hatatahayarika.
 
Utaokoka inamaana ni future tense. Sasa ukimkuta mtu anasema ameokoka in present tense inakuwajekuwaje hapo?
 
Ilipigwa Japan sembuse Iran.
We unafikiri vita ya hio miaka ni sawa na sasa.
Au unafikiri dola ya rumi ilivyokuwa na nguvu za kijeshi ni hadi leo? Mambo yanabadilika.
Ndio maana hivi sasa hata Japan haiwezi kabiliana na China kijeshi japo Japan ilikuwa super power Asia yote.
 
Hatimae wameingia kwenye mfumo kwa sababu wao ndio hasa waliokua wanatafutwa muda wote, sisi acha tuendelee na kilimo cha mahindi na mpunga tuu
[emoji1787][emoji1787] mbona mnajidanganya wenyewe? Iran anatafutwa kwani kajificha wapi? Hezbollah wanawasha moto kila siku, Houth wa Yemen wameifunga bandari ya eilat na hakuna meli ya Israel inakatisha hapo redsea, Islamic resistance wa Iraq wanaidondoshea vitu vizito Israel ndani kabisa .

Hao niliokutajia wote hao ni Iran ndio yupo nyuma yao hili hata mabwana zenu wa marekani na Israel wanalijua sasa nashangaa nyie wafuasi wao qa mchongo hamjui.
 
Sisi tunajua adui mkubwa wa ugaidi ni iran huko kwingine gaza na yemen. Israel anajisumbua tu ila saizi tunataka Iran ajichanganye ili apigwe mazima.
[emoji1787][emoji1787] mbona mnajidanganya wenyewe? Iran anatafutwa kwani kajificha wapi? Hezbollah wanawasha moto kila siku, Houth wa Yemen wameifunga bandari ya eilat na hakuna meli ya Israel inakatisha hapo redsea, Islamic resistance wa Iraq wanaidondoshea vitu vizito Israel ndani kabisa .

Hao niliokutajia wote hao ni Iran ndio yupo nyuma yao hili hata mabwana zenu wa marekani na Israel wanalijua sasa nashangaa nyie wafuasi wao qa mchongo hamjui.
 
Hapo kakurupuka baada ya makomandoo wake aliowatuma kujifanya wao ni hezbula na Hamas kuchinywa kichinjo Cha kibudu na askari mahiri was izrael. Ajaribu kujitokeza waziwazi AIONE hasira ya ulaya
 
[emoji1787][emoji1787] mbona mnajidanganya wenyewe? Iran anatafutwa kwani kajificha wapi? Hezbollah wanawasha moto kila siku, Houth wa Yemen wameifunga bandari ya eilat na hakuna meli ya Israel inakatisha hapo redsea, Islamic resistance wa Iraq wanaidondoshea vitu vizito Israel ndani kabisa .

Hao niliokutajia wote hao ni Iran ndio yupo nyuma yao hili hata mabwana zenu wa marekani na Israel wanalijua sasa nashangaa nyie wafuasi wao qa mchongo hamjui.
 
Hujui thamani ya uislam ndio maana. Unalala baa ukiamkia baa
kwamba uislam una thamani? china wameuweka kwenye kundi la mental disease. ukweli ni kwamba uislam ni dini ya shetani kabisa ndio maana haujawahi kuleta majibu kwa mwanadamu yeyote, na unahitaji kupiganiwa ili usavaivu.
 
Kwa hiyo God of Israel ndiye aliyewaagiza hao waisrael kuwapiga wa Iran? Mnadhani wairan hawana Mungu? Sasa Kaa utulie vitisho vya kwamba Mungu wa Israel hatawaacha hayo hayawahusu wairan, ni kukosa akili Israel kupiga wenzie mpo kimyaaa lakini mkisikia Kuna malipizi yanakuja mnaanza ooh Mungu wa Israel na Mungu sijui wa nani labda niulize wakati Israel inatawaliwa utumwani kule misri Kwa muda wa miaka 400 au kipindi Hitler anatengeneza biogas kule Poland Kwa kutumia damu za waisrael Mungu wao alikuwa likizo?
 
Alisika mlevi mmoja akiwakumbusha walevi wenzie jinsi mataifa zaidi ya matano yanayoizunguka Israel yalivyokandwa
we ndio wale mnao weka/tundika bendera ya israel mkijihisi wabarikiwa huo ni ugonjwa mkuu
 
we ndio wale mnao weka/tundika bendera ya israel mkijihisi wabarikiwa huo ni ugonjwa mkuu
Atakaepitia hii comments yako na yangu atamjua mgonjwa ni yupi. Mimi nimeongea uwezo wa kivita wa Israel kuzipiga nchi zaidi ya 5. Kitu ambacho ni fact kilitokea.
Lakini wewe umeruka kutundika vibendera,kujihisi,nadharia. Wapi na wapi?. Kama hujapanic basi kiuhalisia kabisa wewe unaweza usiwe umejitambua,wakuwahishe milembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…