ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 3,832
- 11,964
Kaka ww km ni mfuatiliaji wa mambo ya vita hutaelewa.Yale mambo ya kwenda uso kwa uso ilikua miaka ya 1914 na 1939 .Sasa hivi unapigwa n mtu yuko mbali anakutungueni huku anakunywa chai.Sasa unataka watu waingie kicha kichwa km zamani.Si Israel iende kwa miguu ikakague mateka na Hamas.
🚮🚮🚮Tatizo lenu mnatumia Aya Taqiya.. Wekeni uthibitisho wa vifo vya hao Watoto na walizaliwa na nani haiwezekani wadedi watoto tu..
Hakuna mjinga tena miaka hii.. Hata waislam Qoran enzi zile iliwaambia kuwa Jua huwa linazama kwenye Chemchem yenye Matope kila siku and jua hqdi lipate ruksa ya Allah ili lichomoze kwenye matope.. no more muslim anayeiamini Qoran
mmmaaafii aende kwa miguu pengine avae pampas anajinyea yupo ndani ya vifaru eti aende kwa miguu maaaaaafiSi Israel iende kwa miguu ikakague mateka na Hamas.
ok basi elewa hamas anatumia silaha duni ila isrel hawezi kwenda uso kwa uso maana hamas hajali anatumia hata manatiKaka ww km ni mfuatiliaji wa mambo ya vita hutaelewa.Yale mambo ya kwenda uso kwa uso ilikua miaka ya 1914 na 1939 .Sasa hivi unapigwa n mtu yuko mbali anakutungueni huku anakunywa chai.Sasa unataka watu waingie kicha kichwa km zamani.
usiumize kichwa wameshabariki wana baraka za kutosha hiyo imeeenda waachie wapakane vya kupakwaPropoganda za kishoga kwelli mashoga wenzako ndiyo watakubaliana na wewe umeamua kuweka picha za katuni ndiyo ushahidi ukiwa shoga na akili inahama kabisa
Wewe kweli ni mjinga wa kutupwa, huwezi kuwapangia Israel au hamasi mbinu za kudeal na adui, vita siyo mchezo wa kutafutana, vita ni kifo, Israel alishatangaza hii ni vita siyo operation, lazima aharibu kila eneo ambalo anaona Kuna adui, iwe hospitalini, kanisani, msikitini, hotel, hata Hamas hawezi kutoka kwenye maficho yao eti wapambane na Israel ana Kwa ana, lazima watumie mbinu ambazo wanaona zinawafaa kupambana na IDF.Si Israel iende kwa miguu ikakague mateka na Hamas.
SahihiHapo inawezekana Israel ikawa inalaumiwa bure kwa sababu hao watoto wanao lipuliwa ni watoto wa hao magaidi.
Na Israel inaogopa ikiwaacha hao watoto ndio watakuwa magaidi wa baadaye kwahiyo Israel inakata miti pamoja na mizizi yake.
Hata hivyo Israel ilishatoa muda raia wema kuondoka gaza.
Nashangaa na nyinyi mlitaka kuwapangia eneo la kushambulia kule Israel.Mbona mumefanya nongwa kiasi hicho kwa vita mulivyoanzisha miaka 75 iliyopita.Mlitaka kila siku wapalestina wavunjiwe majumba tu na kuwalaza nje.Au nyinyi mle mshibe halafu mkacheze ngoma sunsumia huku wapalestina wanakufaa njaa.Wewe kweli ni mjinga wa kutupwa, huwezi kuwapangia Israel au hamasi mbinu za kudeal na adui, vita siyo mchezo wa kutafutana, vita ni kifo, Israel alishatangaza hii ni vita siyo operation, lazima aharibu kila eneo ambalo anaona Kuna adui, iwe hospitalini, kanisani, msikitini, hotel, hata Hamas hawezi kutoka kwenye maficho yao eti wapambane na Israel ana Kwa ana, lazima watumie mbinu ambazo wanaona zinawafaa kupambana na IDF.
kuna video za live zimewekwa na mosad, wanaonyesha namna hamas wanavyochomoza toka chini ya jengo la hospitali ya waindonesia, kila hospitali unayoiona pale, chini kuna milango ya mahandaki, na kuna video kabisa zimeonyesha wanatoka na kuingia hapo, na kuna eneo kabisa karibu na cafetaria ya hospitali kuna eneo maalumu hamas wanatumia kulauch misiles. hivyo israel walipowaambia hiyo hospitali watoke kwasababu wataipiga, walijua wanachofanya, na walipogoma, wakapiga kweli. unachotakiwa kujua ni kwamba, gaza ipo kiganjani mwa israel, hadi taarifa za eneo la kupiga sometimes hawatoi kwa leaflets, wanawatumia kwenye simu zao za mkononi wanatuma meseji kama wewe unavyopokea meseji za voda, that means, hata mitandao yote ya simu gaza ipo kiganjani wanaperusi na kujua kila mawasiliano. maeneo yote israel amepiga hata kama kuna raia, jua kuna gaidi kajificha katikati yao, na ni muhimu kufanya hivyo.Meneja wa hospitali ya Alshifa hapo jana kwa niaba ya hospitali chache ambazo hazijasitisha huduma ameiita siku hiyo kuwa ni vita dhidi ya hospitali
Hiyo ni baada ya jeshi la Israel bila haya kuzizingira hospitali kadhaa kwa vifaru na kuzuia huduma zote kuendelea.Baada ya hapo hospitali hizo zilianza kupigwa kwa makombora kutoka ndege za kivita na kusababisha vifo vya watu wengi.
Upande wake katibu mkuu wa umoja wa mataifa amewahi kusema Gaza imegeuka kuwa ni kaburi la watoto baada ya kuona jinsi watoto wanavyouliwa wazi wazi ja jeshi la Israel.Yenyewe UN imeshapoteza wafanyakazi wake zaidi ya 100 ambayo ndio idadi kubwa kuwahi kulikumba shirika hilo katika mzozo wowote mmoja duniani
Mashirika ya habari nayo yameshapoteza waandishi wao wa habari mahiri tangu kuanza kwa vita hivyo wengi wakiwa wameuliwa kwa makusudi kwani huwa wamevaa vizibao vyao vya kuwajulisha shughuli yao.
Hasira hizo za IDF ni matokeo ya kutofikiwa kwa malengo yake zaidi ya mwezi tangu vita na wapalestina vianze huko Gaza.Hakuna mateka hata mmoja aliyeokolewa na Hamas bado wako hai wanapigana kwa nguvu.
Propoganda za kishoga kwelli mashoga wenzako ndiyo watakubaliana na wewe umeamua kuweka picha za katuni ndiyo ushahidi ukiwa shoga na akili inahama kabisa
Hiyo Intelegensia mbona imeshindwa kujua mateka walipo mpaka sasa?Intelejensia ya Israeli imegundua kina magaidi yanatumia miundo mbinu ya kiraia kufanya mashambulizi.
Hiyo Intelegensia mbona imeshindwa kujua mateka walipo mpaka sasa?
Siku zote ukiona jeshi linauwa raia hovyo ujue kuwa lina hali mbaya kwenye medani ya vita.
Ni CHuki zinakusumbua tu. Hamas wanajua nini wanafanya ili kuamsha hasira za waarabu na waarabu koko kama wewe.Hiyo Intelegensia mbona imeshindwa kujua mateka walipo mpaka sasa?
Siku zote ukiona jeshi linauwa raia hovyo ujue kuwa lina hali mbaya kwenye medani ya vita.
Tokea mwanzo Netanyahu alisema hii vita siyo muda mfupi ni ya muda mrefu, kwa hyo haishi leo wala kesho mpaka pale Gaza itakapokuwa free kutoka kwa magaidi wa Hamas.Hata idf nao wanaona kizunguzungu.Mara vita vya muda mrefu,mara Gaza tumeizingira,mara Hamas wamepoteza udhibiti,mara wapo mahospitalini.
Huoni kuwa Israel imechanganyikiwa zaidi huku ikificha kipigo inachopata.