ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 3,832
- 11,964
Kaka ww km ni mfuatiliaji wa mambo ya vita hutaelewa.Yale mambo ya kwenda uso kwa uso ilikua miaka ya 1914 na 1939 .Sasa hivi unapigwa n mtu yuko mbali anakutungueni huku anakunywa chai.Sasa unataka watu waingie kicha kichwa km zamani.Si Israel iende kwa miguu ikakague mateka na Hamas.