Vita vya Israel vimepata jina jipya. Ni vita vya kupigana na hospitali, waandishi wa habari na mapipa ya maji

Vita vya Israel vimepata jina jipya. Ni vita vya kupigana na hospitali, waandishi wa habari na mapipa ya maji

Si Israel iende kwa miguu ikakague mateka na Hamas.
Kaka ww km ni mfuatiliaji wa mambo ya vita hutaelewa.Yale mambo ya kwenda uso kwa uso ilikua miaka ya 1914 na 1939 .Sasa hivi unapigwa n mtu yuko mbali anakutungueni huku anakunywa chai.Sasa unataka watu waingie kicha kichwa km zamani.
 
Tatizo lenu mnatumia Aya Taqiya.. Wekeni uthibitisho wa vifo vya hao Watoto na walizaliwa na nani haiwezekani wadedi watoto tu..

Hakuna mjinga tena miaka hii.. Hata waislam Qoran enzi zile iliwaambia kuwa Jua huwa linazama kwenye Chemchem yenye Matope kila siku and jua hqdi lipate ruksa ya Allah ili lichomoze kwenye matope.. no more muslim anayeiamini Qoran
🚮🚮🚮
 
Kaka ww km ni mfuatiliaji wa mambo ya vita hutaelewa.Yale mambo ya kwenda uso kwa uso ilikua miaka ya 1914 na 1939 .Sasa hivi unapigwa n mtu yuko mbali anakutungueni huku anakunywa chai.Sasa unataka watu waingie kicha kichwa km zamani.
ok basi elewa hamas anatumia silaha duni ila isrel hawezi kwenda uso kwa uso maana hamas hajali anatumia hata manati
 
Propoganda za kishoga kwelli mashoga wenzako ndiyo watakubaliana na wewe umeamua kuweka picha za katuni ndiyo ushahidi ukiwa shoga na akili inahama kabisa
usiumize kichwa wameshabariki wana baraka za kutosha hiyo imeeenda waachie wapakane vya kupakwa
 
yan bado hamjasema... mpaka mseme.
HAMAS kambi zao ziko chini ya majengo yote ya umma, makanisa, misikiti, hospitali na shule za watoto... kinachoendelea huko gaza ni IDF inaendelea kuvumbua maovu ya HAMAS kwa wananchi wa gaza... tuliza mtori fatilia vyanzo vyote usibase na habari za upande mmoja.. mara moja moja pitia na page za IDF uone wanachoonesha..
HAMAS ndio walioanzisha vita leo acha wapigwe hakuna namna, hao wapalestina wahame gaza ni eneo la vita kwa sasa
 
Si Israel iende kwa miguu ikakague mateka na Hamas.
Wewe kweli ni mjinga wa kutupwa, huwezi kuwapangia Israel au hamasi mbinu za kudeal na adui, vita siyo mchezo wa kutafutana, vita ni kifo, Israel alishatangaza hii ni vita siyo operation, lazima aharibu kila eneo ambalo anaona Kuna adui, iwe hospitalini, kanisani, msikitini, hotel, hata Hamas hawezi kutoka kwenye maficho yao eti wapambane na Israel ana Kwa ana, lazima watumie mbinu ambazo wanaona zinawafaa kupambana na IDF.
 
Hapo inawezekana Israel ikawa inalaumiwa bure kwa sababu hao watoto wanao lipuliwa ni watoto wa hao magaidi.
Na Israel inaogopa ikiwaacha hao watoto ndio watakuwa magaidi wa baadaye kwahiyo Israel inakata miti pamoja na mizizi yake.
Hata hivyo Israel ilishatoa muda raia wema kuondoka gaza.
Sahihi

Pia kwa nini jeshi la Israel linalipua hospital? Jibu rahisi tu magaidi wengi waliojerujiwa vitani yanaenda kulazwa humo kwenye hospital kutibiwa.Sasa Israel gaidi likijeuhiwa vitani likakimbilia Hospitali kombora linaenda kummalizia huko huko Hospitali kalazwa ICU

Israel wameamua kubomoa mihospitali kuua migaidi iliyokuwa inatibiwa humo na kuharibu miundombinu ya matibabu kuwa ikitwangwa vitani ikajeruhiwa ikajitibie miti shamba au kwa dawa za ki Sunna

Sasa hivi magaidi ya Hamas yanaziogopa hospitali na dispensary za Gaza kama ukoma.Yanajua yakienda tu hata yavae baibui kombora linashuka kama mwewe kwenye hiyo dispensary hata kama unafunga kidonda tu kombora hilo.Wanaume jeshi la Israel la IDF wameamua

Kuwa heri ujifiche msituni kuliko.ukanyage Hospitali
 
Wewe kweli ni mjinga wa kutupwa, huwezi kuwapangia Israel au hamasi mbinu za kudeal na adui, vita siyo mchezo wa kutafutana, vita ni kifo, Israel alishatangaza hii ni vita siyo operation, lazima aharibu kila eneo ambalo anaona Kuna adui, iwe hospitalini, kanisani, msikitini, hotel, hata Hamas hawezi kutoka kwenye maficho yao eti wapambane na Israel ana Kwa ana, lazima watumie mbinu ambazo wanaona zinawafaa kupambana na IDF.
Nashangaa na nyinyi mlitaka kuwapangia eneo la kushambulia kule Israel.Mbona mumefanya nongwa kiasi hicho kwa vita mulivyoanzisha miaka 75 iliyopita.Mlitaka kila siku wapalestina wavunjiwe majumba tu na kuwalaza nje.Au nyinyi mle mshibe halafu mkacheze ngoma sunsumia huku wapalestina wanakufaa njaa.
 
Meneja wa hospitali ya Alshifa hapo jana kwa niaba ya hospitali chache ambazo hazijasitisha huduma ameiita siku hiyo kuwa ni vita dhidi ya hospitali
Hiyo ni baada ya jeshi la Israel bila haya kuzizingira hospitali kadhaa kwa vifaru na kuzuia huduma zote kuendelea.Baada ya hapo hospitali hizo zilianza kupigwa kwa makombora kutoka ndege za kivita na kusababisha vifo vya watu wengi.
Upande wake katibu mkuu wa umoja wa mataifa amewahi kusema Gaza imegeuka kuwa ni kaburi la watoto baada ya kuona jinsi watoto wanavyouliwa wazi wazi ja jeshi la Israel.Yenyewe UN imeshapoteza wafanyakazi wake zaidi ya 100 ambayo ndio idadi kubwa kuwahi kulikumba shirika hilo katika mzozo wowote mmoja duniani
Mashirika ya habari nayo yameshapoteza waandishi wao wa habari mahiri tangu kuanza kwa vita hivyo wengi wakiwa wameuliwa kwa makusudi kwani huwa wamevaa vizibao vyao vya kuwajulisha shughuli yao.
Hasira hizo za IDF ni matokeo ya kutofikiwa kwa malengo yake zaidi ya mwezi tangu vita na wapalestina vianze huko Gaza.Hakuna mateka hata mmoja aliyeokolewa na Hamas bado wako hai wanapigana kwa nguvu.
kuna video za live zimewekwa na mosad, wanaonyesha namna hamas wanavyochomoza toka chini ya jengo la hospitali ya waindonesia, kila hospitali unayoiona pale, chini kuna milango ya mahandaki, na kuna video kabisa zimeonyesha wanatoka na kuingia hapo, na kuna eneo kabisa karibu na cafetaria ya hospitali kuna eneo maalumu hamas wanatumia kulauch misiles. hivyo israel walipowaambia hiyo hospitali watoke kwasababu wataipiga, walijua wanachofanya, na walipogoma, wakapiga kweli. unachotakiwa kujua ni kwamba, gaza ipo kiganjani mwa israel, hadi taarifa za eneo la kupiga sometimes hawatoi kwa leaflets, wanawatumia kwenye simu zao za mkononi wanatuma meseji kama wewe unavyopokea meseji za voda, that means, hata mitandao yote ya simu gaza ipo kiganjani wanaperusi na kujua kila mawasiliano. maeneo yote israel amepiga hata kama kuna raia, jua kuna gaidi kajificha katikati yao, na ni muhimu kufanya hivyo.

pia, indonesia wana hospitali pale na wamegoma kuondoka hadi wamelazimishwa kwa kipigo, hii indonesia ndio nchi yenye waislam wengi zaidi duniani kuliko nchi yeyote, na wapo pale sio kwa kusaidia tu wapalestina kiafya ila wapo kuwasaidia kwa harakati zao. hivyo hivyo kwa hospitali ya waturuki hapo gaza, nayo ni hivyo. hata hivyo, kwasasa maelfu ya raia wema wameondoka wapo kusini, hakuna haja tena hospitali hizo kuendelea kufanya kazi, waende kusini wakaweke makambi ya kutibia kule manake pale raia hawapo na pameshageuka kuwa eneo la vita. kuna jengo moja karibu na hospitali inaonyesha kuna matundu mengi ya snipers kutulia na kupiga, hizo hospitali wanawapa mazingira ya kushambulia na hata katikati ya makundi ya hospitali wameonekana watu wana mabunduki kabisa katikati ya watu.
 
vita yeyote ile ipo hivyo, utapiga tu miundombinu ya adui.hadi madaraja huwa yanapigwa.hata hospitali kama itageuka kutoka kuwa hospitali na kuwa maficho ya adui au eneo la adui kukaa na kukupiga, inakuwa military target tayari. hizo hospital za waturuki na waindonesia gaza, wapo hapo sio tu kusaidia wapalestina, wapo kwenye harakati za ukombozi,na wanawasaidia hamas. chini ya hizo hozpital kuna milango ya mahandaki ya hamas, kuna video kabisa zimesharushwa kuonyesha hamas wanavyoingia na kutoka kupigia pembezoni mwa hizo hospitals. na kuna maeneo karibu na cafetaria ya hospitali ni eneo hamas wanarushia rockets. ila hii huwezi kuisikia al jezeera. pia kwa waandishi wa habari, wote hao ni wapalestina, na hawaitambui israel ukiwasikiliza hawajawahi kutaja jina israel wanaiita "occupation forces" that means hao hao waandishi wa habari wapo hapo kwa kazi mbili, kutangaza ila kwa kupendelea hamas na kuponda israel ili dunia iendelee kuichukia israel na pia wanatoa msaada fulani.ndio maana israel imewatangaza kuwa ni maadui pia, hasa hao wa al jazeera.
 
Waseme ukweli Hamas wamejenga mahandaki Chini ya Hospitali.
 
Intelejensia ya Israeli imegundua kina magaidi yanatumia miundo mbinu ya kiraia kufanya mashambulizi.
 
Propoganda za kishoga kwelli mashoga wenzako ndiyo watakubaliana na wewe umeamua kuweka picha za katuni ndiyo ushahidi ukiwa shoga na akili inahama kabisa

Magaidi yafatwe popote pale hata kaka yamejificha hospitalini wakijifanya wagonjwa.

Piga hapo hapo
 
Intelejensia ya Israeli imegundua kina magaidi yanatumia miundo mbinu ya kiraia kufanya mashambulizi.
Hiyo Intelegensia mbona imeshindwa kujua mateka walipo mpaka sasa?

Siku zote ukiona jeshi linauwa raia hovyo ujue kuwa lina hali mbaya kwenye medani ya vita.
 
Hiyo Intelegensia mbona imeshindwa kujua mateka walipo mpaka sasa?

Siku zote ukiona jeshi linauwa raia hovyo ujue kuwa lina hali mbaya kwenye medani ya vita.
Ni CHuki zinakusumbua tu. Hamas wanajua nini wanafanya ili kuamsha hasira za waarabu na waarabu koko kama wewe.
Wanatumia miundo mbinu ya kiraia maksudi ili kuonesha ubaya wa jeshi la Israeli
 
Hata idf nao wanaona kizunguzungu.Mara vita vya muda mrefu,mara Gaza tumeizingira,mara Hamas wamepoteza udhibiti,mara wapo mahospitalini.
Huoni kuwa Israel imechanganyikiwa zaidi huku ikificha kipigo inachopata.
Tokea mwanzo Netanyahu alisema hii vita siyo muda mfupi ni ya muda mrefu, kwa hyo haishi leo wala kesho mpaka pale Gaza itakapokuwa free kutoka kwa magaidi wa Hamas.
 
Back
Top Bottom