Vita vya Syria vina mchanganyiko sana, ila dikteta Assad ni uovu wenye afadhali (lesser evil) kuliko waasi Wanajihadi

Hapo anatafutwa Iran jombaa. Mizizi yote ya Iran inatakiwa kukatwa hapo Middle East.
Na ndo maana msingi wa ceasefire ni kwamba Hezbollah asipeleke wapiganaji kumsaidia Assad hivyo kuendelea kuenguliwa pale Lebanon.

Hivyo Iran kategwa na Hezbollah kategwa.

Taarifa za kijasusi zasema pale Aleppo palikuwa na "cell" na mzayuni akapenyeza watu wake hapo na siku walipoanzisha mapigano wanajeshi wa Syria hawakuwa wamejiandaa.

Hii pia wakati mwingine yaleta shida sana kwani Mossad wameweza kuwafungua majasusi wa Iran na Syria wale wa Military Intelligence sehemu kama ya Aleppo kiasi cha kuonekana wepesi sana.

Ndo maana GRU wa Russia wamefanya tathmini na wamegundua hipo kazi kubwa sana na imebidi Russia, Iran Syria na Uturuki wajiweke sawa na wawarudishe nyuma HTS.
 
Uturuki naye si anahusika kwenye kusaidia hao waasi!?
Ila inasemekana Iran ametuma special force na Iraq pia wametuma usaidizi Syria.
 
Na ndo maana msingi wa ceasefire ni kwamba Hezbollah asipeleke wapiganaji kumsaidia Assad hivyo kuendelea kuenguliwa pale Lebanon.

Hivyo Iran kategwa na Hezbollah kategwa.

Taarifa za kijasusi zasema pale Aleppo palikuwa na "cell" na mzayuni akapenyeza watu wake hapo na siku walipoanzisha mapigano wanajeshi wa Syria hawakuwa wamejiandaa.

Hii pia wakati mwingine yaleta shida sana kwani Mossad wameweza kuwafungua majasusi wa Iran na Syria wale wa Military Intelligence sehemu kama ya Aleppo kiasi cha kuonekana wepesi sana.

Ndo maana GRU wa Russia wamefanya tathmini na wamegundua hipo kazi kubwa sana na imebidi Russia, Iran Syria na Uturuki wajiweke sawa na wawarudishe nyuma HTS.
duuh! Nchi hii ina wachambuzi uchwara na wajuaji wengi sana.
 
Nipo nacheki al jazeera hapa, hao waasi wanqkipata cha moto kwa mashambulizi ya anga
20241204_221153.jpg
 
Tunaomba update ndugu jitaid kutujulisha tunaofatilia
Ndege za Urusi zimeshambulia leo kutwa Mji wa Waasi wa Idlib ninadhani kuna Intelligence kuwa Silaha zimeshushwa usiku.

Ninachokiona ni kwamba safari hii Assad anaweza kuondoka kwasababu baadhi ya Vikosi vya Waasi vimeizunguka Hama na vinaelekea Homs vinataka kukata mawasiliano.
 
Mufty uko wapi nikuletee sharubati ya tende!?
Marhaba! Ndiyo mambo ninayoyataka mimi! Na umejuaje aina hii ya juisi kuwa naipenda?

Huwa natafuna tende huku nashushia na maziwa hata usiku wa maneno kama juisi imeisha.
---------
Nipo ndugu yangu, isipokuwa sasa hivi majukumu yameongezeka hivyo naenda mbio kweli!
 
Vurugu zimeanza kwenye Mji Mkuu wa Syria Damascus,Wanadiplomasia wengi na Mabalozi wameanza kuondoka Nchini Syria, baadhi ya Askari wa Kirussi wameacha Possitions zao.

Kuna fununu kuwa Waasi wametuma Wahuni wao ili kwenda kuamsha amsha kwenye Viunga vya Mji Mkuu.

Inaonyesha Ayatolah hana majibu au kaamua kumtosa Bashir Al Assad 😂😂
 
Vurugu zimeanza kwenye Mji Mkuu wa Syria Damascus,Wanadiplomasia wengi na Mabalozi wameanza kuondoka Nchini Syria, baadhi ya Askari wa Kirussi wameacha Possitions zao.

Kuna fununu kuwa Waasi wametuma Wahuni wao ili kwenda kuamsha amsha kwenye Viunga vya Mji Mkuu.

Inaonyesha Ayatolah hana majibu au kaamua kumtosa Bashir Al Assad [emoji23][emoji23]
Ahhaah subiri picha lianze
 
Hizi hadithi tushazichoka huyo iran anaetafutwa kamdunda Israel mchana kweupe jua linawaka dunia imeona kama ni hiyo vita si ingeanzishwa pale,, zaidi ya kumjibu kwa shambulizi uchwara lililopambwa na propaganda nyingi kuficha aibu.
Unajua nyie wa Iran wa buza mnashangaza sana
 
Mossad ,CIA na MI6 ndio masterminds WA hizi manipulations za kuunda vikundi vya mercenaries kufanya dirty jobs zao halafu wanaviita magaidi ili kuficha ukweli kwamba wao ndio funders WA hivyo vikundi ili kuwafanyia kazi zao chafu .
Msipolielewa hili mapema mtasumbuka sana ,hata Snowden yule CIA defector alishawahi kuongelea hili nadhani kwenye moja ya interviews zake
 
BREAKING NEWS:Waasi wa Kisunni wamezivunja Ngome za Assad+Shia Millitias huko kwenye Mji wa Hama. sasa hivi mapigano yanaendelea Mjini Hama, TV ya Serikali ya Syria Arab Republic inasema Mji huo bado uko 'Under Control' ya Majeshi ya Serikali yanayoungwa mkono na Russia Iran +na Wanamgambo wa Shia kutoka Lebanon Iraq na kwengineko.

Source: Aljazeera English/Canal 13

Mayala B nini maoni yako?! Ayatolah atatoboa kweli?!
 
Back
Top Bottom