Mayala B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 2,109
- 5,284
Tunaomba update ndugu jitaid kutujulisha tunaofatiliaNdege za Kivita za Marekani A10 'Warthog' zimeanza kuwasaidia Waasi karibia na Mji wa Deir Ez Zor.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaomba update ndugu jitaid kutujulisha tunaofatiliaNdege za Kivita za Marekani A10 'Warthog' zimeanza kuwasaidia Waasi karibia na Mji wa Deir Ez Zor.
Nakazia hoja.Hapo anatafutwa Iran jombaa. Mizizi yote ya Iran inatakiwa kukatwa hapo Middle East.
Na ndo maana msingi wa ceasefire ni kwamba Hezbollah asipeleke wapiganaji kumsaidia Assad hivyo kuendelea kuenguliwa pale Lebanon.Hapo anatafutwa Iran jombaa. Mizizi yote ya Iran inatakiwa kukatwa hapo Middle East.
Uturuki naye si anahusika kwenye kusaidia hao waasi!?Na ndo maana msingi wa ceasefire ni kwamba Hezbollah asipeleke wapiganaji kumsaidia Assad hivyo kuendelea kuenguliwa pale Lebanon.
Hivyo Iran kategwa na Hezbollah kategwa.
Taarifa za kijasusi zasema pale Aleppo palikuwa na "cell" na mzayuni akapenyeza watu wake hapo na siku walipoanzisha mapigano wanajeshi wa Syria hawakuwa wamejiandaa.
Hii pia wakati mwingine yaleta shida sana kwani Mossad wameweza kuwafungua majasusi wa Iran na Syria wale wa Military Intelligence sehemu kama ya Aleppo kiasi cha kuonekana wepesi sana.
Ndo maana GRU wa Russia wamefanya tathmini na wamegundua hipo kazi kubwa sana na imebidi Russia, Iran Syria na Uturuki wajiweke sawa na wawarudishe nyuma HTS.
duuh! Nchi hii ina wachambuzi uchwara na wajuaji wengi sana.Na ndo maana msingi wa ceasefire ni kwamba Hezbollah asipeleke wapiganaji kumsaidia Assad hivyo kuendelea kuenguliwa pale Lebanon.
Hivyo Iran kategwa na Hezbollah kategwa.
Taarifa za kijasusi zasema pale Aleppo palikuwa na "cell" na mzayuni akapenyeza watu wake hapo na siku walipoanzisha mapigano wanajeshi wa Syria hawakuwa wamejiandaa.
Hii pia wakati mwingine yaleta shida sana kwani Mossad wameweza kuwafungua majasusi wa Iran na Syria wale wa Military Intelligence sehemu kama ya Aleppo kiasi cha kuonekana wepesi sana.
Ndo maana GRU wa Russia wamefanya tathmini na wamegundua hipo kazi kubwa sana na imebidi Russia, Iran Syria na Uturuki wajiweke sawa na wawarudishe nyuma HTS.
Ndege za Urusi zimeshambulia leo kutwa Mji wa Waasi wa Idlib ninadhani kuna Intelligence kuwa Silaha zimeshushwa usiku.Tunaomba update ndugu jitaid kutujulisha tunaofatilia
Marhaba! Ndiyo mambo ninayoyataka mimi! Na umejuaje aina hii ya juisi kuwa naipenda?Mufty uko wapi nikuletee sharubati ya tende!?
..Waliokimbia maeneo yao miaka 13 iliyopita waanza kurejea
View attachment 3168026
Sawa kaka
Ahhaah subiri picha lianzeVurugu zimeanza kwenye Mji Mkuu wa Syria Damascus,Wanadiplomasia wengi na Mabalozi wameanza kuondoka Nchini Syria, baadhi ya Askari wa Kirussi wameacha Possitions zao.
Kuna fununu kuwa Waasi wametuma Wahuni wao ili kwenda kuamsha amsha kwenye Viunga vya Mji Mkuu.
Inaonyesha Ayatolah hana majibu au kaamua kumtosa Bashir Al Assad [emoji23][emoji23]
Siasa za wapi ambazo hazina mambo hayo uliyoorodhesha?Siasa za mashariki ya kati ni ngumu sana na zina historia ndefu ya mchanganyiko usio na afya wa dini, ukabila na rasilimali za kiuchumi.
Unajua nyie wa Iran wa buza mnashangaza sanaHizi hadithi tushazichoka huyo iran anaetafutwa kamdunda Israel mchana kweupe jua linawaka dunia imeona kama ni hiyo vita si ingeanzishwa pale,, zaidi ya kumjibu kwa shambulizi uchwara lililopambwa na propaganda nyingi kuficha aibu.
Mossad ,CIA na MI6 ndio masterminds WA hizi manipulations za kuunda vikundi vya mercenaries kufanya dirty jobs zao halafu wanaviita magaidi ili kuficha ukweli kwamba wao ndio funders WA hivyo vikundi ili kuwafanyia kazi zao chafu .
Msipolielewa hili mapema mtasumbuka sana ,hata Snowden yule CIA defector alishawahi kuongelea hili nadhani kwenye moja ya interviews zake
Tatizo habari zako huwa hazoamiki.Rebells wako hama city center kwa mujibu wa Al Jazeera..,Assad mara hii Hana wa kumuokoa, lazima aondoke tu🏃🏃🏃