Vita vya Urusi na NATO kupanuka mpaka Afrika Magharibi nani atashinda?

Unaweza kuelezea bila kunukuu hivyo vidude vya uongo na ukweli.

All in all Ukraine haina ubavu wa kupigana na Urusi ndio vita inapiganwa ndani ya Ukraine. Ingekuwa kinyume chake basi Russia angeshazalisha wakimbizi wanaokimbia mashambulizi ya ukraine.
Kama unasema wazi bila kupepepesa macho kuwa Ukraine haiwezi kupigana na urusi na wakati kila mmoja anashuudia kinachoendelea
Mpaka hapo naona nikupotezee tu, huenda nabishana na mtu hambaye Yuko sayari ya Mars,hajui kinachoendelea dunian!
 
Unajua kama USA anaogopa vita ya moja kwa moja na mrusi ?
 
Kama amemkaba koo , kwanini NATO wanaogopa kumpa silaha za masafa marefu zenye uwezo wa kufika hadi ndani ya Urusi ?
Kwa hiyo unataka kusema kwamba Ukraine Kwa Sasa Hana uwezo wa kuichakaza urusi ndanindani Tena chumbani kabisa?
 
Fatilia vizuri, Ukraine kaisha huko. Hana bandari tena, imepigwa yote na majengo kushushwa. Hii ni mpya kabisa fatilia
Nasikia pia NATO wameamuru majeshi ya ukraine yaliyopo msitari wa mbele kuweka silaha chini na kujisalimisha!
Ngoja nifuatilie!
 
Russia jana kaonyesha kuwa yupoje, kumbe Toka awalia alikuwa anapiga Kwa kunyunyiza tu. Ila alichokionyesha sasa kila taifa la ulaya linojiita kubwa lijiangalie marambili
 
Kumbe ananunua?
Siyo kwamba Russia hawezi kutengeneza munitions anaweza, lakini kama anaona gharama ya kutengeneza munitions ni kubwa kwa nini asinunue?
Vifaa vya kutengenezea silaha vyote vipo Urusi na sasa kajiongezea viwanda vya chuma vilivyokuwa Bakhmut na Soledar.Ni kweli pia Urusi inatumia silaha nyingi katika vita hivi.Wakati huo huo ndio mtengenezaji mkubwa wa silaha lakini kuna baadhi ya silaha zinahitaji kutengenezwa na kupowa kabla ya kutumika,Hivyo kwenda kununua kwa kubadilishana na bidhaa ilizonazo ambazo hao wengine wanazihitaji wala si ujinga ilimradi zinapiga mfano wa shahed drones za Iran.
 
Russia jana kaonyesha kuwa yupoje, kumbe Toka awalia alikuwa anapiga Kwa kunyunyiza tu. Ila alichokionyesha sasa kila taifa la ulaya linojiita kubwa lijiangalie marambili
Askari wenyewe wa Ukraine wamesema vifaa walivyopokea vyenye majina yote hasa vifaru havifai katika vita na Urusi kwa sasa.Kwa uzalendo walio nao wameamua kuviwacha ama kutumia walivyonavyo vya enzi ya Urusi au kutembea kwa miguu kusonga mbele.Wameamua kufanya hivyo na kuaga nyumbani kwani wanasema walipofika huwezi kurudi nyuma.Ni kupigwa au kukanyaga mabomu ambayo huwa yanarushwa upya nyuma walikopita.
 
Fatilia vizuri, Ukraine kaisha huko. Hana bandari tena, imepigwa yote na majengo kushushwa. Hii ni mpya kabisa fatilia
Bandari za mto Danube unaopitia Romania ilikuwa ni matumaini mapya.Kumbe nazo Urusi anazifikia na hakuna Patriot inayozuia.Hata bandari za mto zikifanya kazi ni dhaifu sana baada ya bandari ya Odessa kuporomoshwa miundo mbinu ya kupakilia ngano.Bila vita kusimama Ukraine hana uchumi tena na hakuna marafiki watakaoendelea kuibeba wakati hawapati tena ngano.Wataiacha ipigwe mpaka ikome.
 
Urusi haya mapinduzi angeyafaid sana kama angekuwa hajakabwa koo na Ukraine..,hii ilikuwa nafasi yake nzuri haswa!
unaakili inayoangalia upande mmoja Urusi hajakabwa peke yake .The whole Europe haielew nchi zote zina inflation, kati kati zote zina experience negative environmental effects.

Mwez mmoja au miwil iliyopita ilibainika kuwa Germany iko kwenye recession, Jana naona Central Bank ya England wamepandisha riba hadi 5% situation ambayo ilitokea miaka 15 iliopita na ukiangalia ni kwel back in 2008 north america, Europe na dunia nzima kulikuwa na mgogoro wa kiuchumi.

Je ni nani hasa unavowafikiria "Whites" anaweza akaingia vitan ile hali kuna mdororo wa kiuchumi?

warusi kwa kiasi flan wamewabana koo wenzao kwa sababu ameanza kuwabumburua makoro tusiojielewa(Africans) koz inaonekana ndiko kunakowapa vibur watu wa West

ukiangalia biashara ya Uranium kat ya Niger na France ni wiz amabao France inabid ajifunze kula na vipofu mwenye Mali anapewa only 5% kweli na huo ndo udhaifu urusi anautumia.

hatujui nchi za common wealth za Africa wakiguswa cjui kwa kwel cjui

Mwisho waafrica tujifunze kitu tuache ushabiki maandaz muda huu umetoa mwanya kunagotiate na wawekezaj wa ulaya waboreshe terms tunufaike kidogo koz saiz usipoboresha unawatisha kidogo watu watafanya mapinduz wasije terminate contract zao
 
Point muhimu sana.
 
Mimi najiuliza Russia inapata wapi fedha za kuendesha Vita na Ukraine! Na wakati huo huo kuendesha vita Africa kuwatimua wakaloni wa nchi za Africa! Imewekewa vikwazo lukuki na nchi za Magharibi lakini bado inaupiga mwingi. Lakini amezihakikishia nchi za Africa kupata nafaka kwa bei ya chini,tena kama sikusahahu bila transport charges,na pia ameahidi kuzifutia madeni baadhi ya nchi!
ni nchi kubwa mambo yamekaa vibaya mno
USA yupo kuboresha sela zake za kifedha asipoteze say dunian.

USA yupo katika kupambana na lengo la brics wasilete sarafu yao isijewaumiza

Europe wao wapo na kulinda uchumi wao (inflation) mfumuko wa bei ni kikwazo kwao lakin hata kule wanakovunia malighafi kwa (Neo-colonialism ) nako hali c shwari.

wajapan nao hali so shwari kiduku na xi-jing wamewakomalia

huko middle east ni kama wale ndugu waliofarakanishwa na USA+western Europe wameanza kupatana kibaraka wao Israel nae anaweza kuwa mashakan .

Russia katibua mipango mambo ni moto lakin hii ndo vita (The truely definition of WAR ) kila kete inasukumwa sio Military,Diplomacy,Political ,economically wazungu walisha tuacha mbali mno
 
Back
Top Bottom