Akili Yako ndogo kama punje ya haradariUrusi haya mapinduzi angeyafaid sana kama angekuwa hajakabwa koo na Ukraine..,hii ilikuwa nafasi yake nzuri haswa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili Yako ndogo kama punje ya haradariUrusi haya mapinduzi angeyafaid sana kama angekuwa hajakabwa koo na Ukraine..,hii ilikuwa nafasi yake nzuri haswa!
Kutumia silaha za nyuklia kweli ni ukosefu wa hekima kama ilivyokuwa kwa USHaogopi siku akiamua vita itakwisha baada ya masaa 24 na Russia knows that that’s why they don’t dare to use nuclear weapons it’s going to be the biggest mistake in Russian history
Kumekuwepo na fununu za muda mrefu juu ya kuwepo kwa wapiganaji wa kikundi cha Wagner kilichohusishwa na kiongozi wa Urusi,Vladmir Putin.Hii ilikuwa ni kabla hata ya kuanza kwa vita vinavyoendelea sasa baina ya Ukraine na Urusi.
Katika kipindi kifupi fununu hizo ziliongezeka baada ya kutokea kwa mapinduzi ya kijeshi kwenye nchi za Afrika magharibi na kati kama vile Mali na Burkinafaso. Mapinduzi hayo mara zote yameambatana na kufukuzwa kwa majeshi ya Ufaransa ambayo ni mwanachama wa jumuiya ya kujihami ya NATO. Hali hiyo ilipelekea Ufaransa kuhamishia shughuli zake Niger ambako tayari Marekani ina kituo chake kikubwa cha kuongozea droni za kupambana na inaowaita wanamgambo wa ISIS na Alqaeda na Bokoharam.
Wiki iliyopita mapinduzi mengine yameendelea nchini huko ambako ilikuwa kama ni ngome kubwa ya washirika wa NATO kwa magharibi ya Afrika.Kilichoshangaza ni kutokea waandamanaji wengi wakiunga mkono mapinduzi hayo na kupeperusha bendera za Urusi.
Nchi ya Ufaransa na nchi nyengine zimehamisha wananchi wake lakini inaonekana ni kwa shingo upande huku ikitafuta mwanya wa kubaki.Kitu kilichowapa moyo kutokutoa tamko la kuondoka moja kwa moja ni tangazo la ECOWAS la kuwataka wanajeshi waliopindua kumrudisha kiongozi wa kidemokrasia,raisi Bazoum ambaye wanasema alichaguliwa kidemokrasia.
Kwa upande mwengine majirani wa Niger,Burkinafaso na Mali na nchi ya Guinea nao wametoa onyo iwapo ECOWAS itatumia nguvu kama walivyotangaza za kumrudisha madarakani raisi Bazoum basi na wao watakuwa pamoja na Niger.
Maamuzi ya ECOWAS ni kama kwamba yanaonekana kuwaunga mkono NATO na kwa upande mwengine NATO nao wameamua kuunga mkono uamuzi huo kwa maslahi ya kubaki Niger hapo.
Jana kiongozi Kuonesha kuwa ECOWAS imedhamiria kufanya kweli hapo juzi mwanachama mkubwa wa umoja huo Nigeria iliizimia umeme Niger ambayo inapata nguvu za nishati ya umeme zaidi ya asilimia 70 kutoka nchini humo.
Kwa upande wa kuonesha Niger nayo imedhamiria kweli kulinda mapinduzi yake hapo jana mmoja wa viongozi wa juu wa mapoinduzi ya kijeshi General Salifou Mody alikwenda Mali kukutana rasmi na wawakilishi wa Wagner kupanga namna ya kuyalinda mapinduzi hayo ambayo yakikamilika na kufanikiwa itakuwa na faida kubwa kwa taifa la Urusi kiuchumi na kisias
Kikubwa ni kuangalia ni kupi kwenye uafadhaliKwelii hatuko huru ni either East or west wale mzigo.
Tutatokaje hapa?
Sijui una elimu gani but una uwezo Mdogo Sana kuhusu issue za Russia Na USA,Haogopi siku akiamua vita itakwisha baada ya masaa 24 na Russia knows that that’s why they don’t dare to use nuclear weapons it’s going to be the biggest mistake in Russian history
Mother Russia all the wayMimi najiuliza Russia inapata wapi fedha za kuendesha Vita na Ukraine! Na wakati huo huo kuendesha vita Africa kuwatimua wakaloni wa nchi za Africa! Imewekewa vikwazo lukuki na nchi za Magharibi lakini bado inaupiga mwingi. Lakini amezihakikishia nchi za Africa kupata nafaka kwa bei ya chini,tena kama sikusahahu bila transport charges,na pia ameahidi kuzifutia madeni baadhi ya nchi!
Nyuma ya ECOWAS yupo USA,NATO na Ulaya,hii ni options ya muhimu Sana kwa USA na Europe ukizingatia kule Ukraine mambo sio swari tena..!! Hili la Niger ni uwanja mwingne tena wa kutafuta ushawishi between USA na Russia !!!Sasa wanachotaka ECOWAS ni nini ?.Na hawaoni kuwa kitendo wanachokusudia kufanya ni kurudisha ukoloni na unyonyaji Afrika.
Sina haja ya kusoma naishi hapa ulaya na kila siku tunaona kinachoendelea vitani na wakimbizi wa Ukrain na WarusiSijui una elimu gani but una uwezo Mdogo Sana kuhusu issue za Russia Na USA,
Nenda kasome historia ya Russia na USA,Kasome Cold War ilivyokuwa,lakini kasome vzuri uwezo wa kijeshi wa Russia na USA haswa kwenye battle field.
Nenda tena kasome vita ambavyo USA na Russia walijiinvolve pamoja wakiwa opposite side then nani alishinda??
Nenda pia kasome kilichotokea pale Siria kati ya USA na Russia nani kashinda??
Kasome pia nini kinatokea Sasa ulaya na Marekani juu ya uchumi zao Kisa vita ya Ukraine!!!
Nimekupa Elimu next time usijiabishe tena
Anajua nini huyo achana naye.Urusi kakabwa koo ,Hilo liko waziView attachment 2708310
ECoWAS wanataka raisi aliyechaguliwa kidemokrasia...... Africa tumegawanywa sanaa kiitikadi,kihadhi(maskini vs tajiri),dini.. .....inakua rahisi sanaa kwao kutukontrol through their puppets.Sasa wanachotaka ECOWAS ni nini ?.Na hawaoni kuwa kitendo wanachokusudia kufanya ni kurudisha ukoloni na unyonyaji Afrika.
Kuliwa n kuliwa tuu sisi mbona hua hatuwazi kusimama peke yetu kama race nyingine duniani yaani mpaka tuwe nyuma ya tajiri flani?Kikubwa ni kuangalia ni kupi kwenye uafadhali
Wanataka nishati na mali ghafi kwa nguvu.Hawana demokrasia wala nini. Wameona wakishindwa na kulazimika kuhama moja kwa moja basi hali zao zitazidi kuwa mbaya.Nyuma ya ECOWAS yupo USA,NATO na Ulaya,hii ni options ya muhimu Sana kwa USA na Europe ukizingatia kule Ukraine mambo sio swari tena..!! Hili la Niger ni uwanja mwingne tena wa kutafuta ushawishi between USA na Russia !!!
The Lesser of Two Evil Principle..... Ukikutana na kuchagua kati ya Maadui/mashetani/ wabaya wawili Tunachagua yule mwenye uafdhali zaidi.Kikubwa ni kuangalia ni kupi kwenye uafadhali
Wananchi kwa maelefu wanaunga mkono na huo ni mtaji mkubwa wa waliopindua. Lazima wafanye hivyo kwa sababu hawajaona manufaa yoyote ya walioshinda kwa misingi ya kidemokrasia.Ishu sio kuchaguliwa kidemokrasia je unatenda matakwa ya waliokuchagua?
Je wananchi wanapinga mapinduzi hayo?
ECOWAS waache kiherehere
Ndiyo maana ya kuwa SUPER POWER kama nchi haijafikia hiyo level haiwezi kuhimili hiyo mikikimikiki yaani Bidhaa zako zisusiwe, undolewe kwenye mifumo ya kifedha ya Dunia, uwekewe vikwazo zaidi ya 2500, bado nchi hasimu Kwa umoja wao yaani NATO (G7 wakiwemo)wanachanga fedha na silaha kumpa adui Yako unaepigana nae n.k lakini bado unaendelea kuwakunyuga vikwazo vina bounce na kuwarudia wenyewe na wakati my wingine wanatumia mlango wa nyuma kuja Kwako kununua Bidhaa waliokuwekea vikwazo usiwauzie, bado unaenda kupindua viongozi ambao ni mapandikizi yao na unafanikiwa hakika RUSSIA BABA LAOMimi najiuliza Russia inapata wapi fedha za kuendesha Vita na Ukraine! Na wakati huo huo kuendesha vita Africa kuwatimua wakaloni wa nchi za Africa! Imewekewa vikwazo lukuki na nchi za Magharibi lakini bado inaupiga mwingi. Lakini amezihakikishia nchi za Africa kupata nafaka kwa bei ya chini,tena kama sikusahahu bila transport charges,na pia ameahidi kuzifutia madeni baadhi ya nchi!