Vita vya Urusi na NATO kupanuka mpaka Afrika Magharibi nani atashinda?

Vita vya Urusi na NATO kupanuka mpaka Afrika Magharibi nani atashinda?

Hizo source uchwara ndio zinatangaza kwamba Russia anamtegemea pia Iran kwa ammunition mbalimbali hasa makombora na zile Shaheed drones sio!?

Mpaka hapo huoni kwamba Ukraine kamkaba koo huyu super pawer wa mchongo?
We unaumwa kwerikweri Urusi akitumia silaha kutoka Iran kakabwa Koo lakini Ukraine anepewa silaha na Dunia nzima hamsemi kakabwa wapi usikute humu Kuna wachangiaji kutoka Milembe
 
Kwenye vita kama hivyo kila mmoja atafaidi,na kila mmoja atapoteza. Ila cha kujiuliza,vifo visivyo na sababu kwa nani? Hasara kubwa kwa nani?

Sasa kama haka kababu ka juzi jana ka Nigeria,kameanza kujitoa ufahamu kutafta uhasama na wanajeshi,kanaona kako sahihi! Badhi ya viongozi Afrika ni wajinga mno. Huu umeme alokata,kwa majenerali wana jenereta na vyanzo vingine. Raia wa kawaida wanahusika vipi hadi wakatiwe umeme? Na hali ilivyo,inaonekana hii ECOWAS inadedi mda si mrefu. Na japo bado waoga,ila badhi ya nchi za Africa, zaidi ya nusu, hawapendi ukoloni unaoendelea,sema tu wamekosa vijana kama wa Burkina Faso. Algeria nayo ipo tayari kuisaidia Niger. Mwishowe Nigeria itakuja kujikuta imezingirwa na maadui,maana imeshaonyesha msimamo wake.
 
Ndiyo maana ya kuwa SUPER POWER kama nchi haijafikia hiyo level haiwezi kuhimili hiyo mikikimikiki yaani Bidhaa zako zisusiwe, undolewe kwenye mifumo ya kifedha ya Dunia, uwekewe vikwazo zaidi ya 2500, bado nchi hasimu Kwa umoja wao yaani NATO (G7 wakiwemo)wanachanga fedha na silaha kumpa adui Yako unaepigana nae n.k lakini bado unaendelea kuwakunyuga vikwazo vina bounce na kuwarudia wenyewe na wakati my wingine wanatumia mlango wa nyuma kuja Kwako kununua Bidhaa waliokuwekea vikwazo usiwauzie, bado unaenda kupindua viongozi ambao ni mapandikizi yao na unafanikiwa hakika RUSSIA BABA LAO
Russia baba lao
 
Kwenye vita kama hivyo kila mmoja atafaidi,na kila mmoja atapoteza. Ila cha kujiuliza,vifo visivyo na sababu kwa nani? Hasara kubwa kwa nani?

Sasa kama haka kababu ka juzi jana ka Nigeria,kameanza kujitoa ufahamu kutafta uhasama na wanajeshi,kanaona kako sahihi! Badhi ya viongozi Afrika ni wajinga mno. Huu umeme alokata,kwa majenerali wana jenereta na vyanzo vingine. Raia wa kawaida wanahusika vipi hadi wakatiwe umeme? Na hali ilivyo,inaonekana hii ECOWAS inadedi mda si mrefu. Na japo bado waoga,ila badhi ya nchi za Africa, zaidi ya nusu, hawapendi ukoloni unaoendelea,sema tu wamekosa vijana kama wa Burkina Faso. Algeria nayo ipo tayari kuisaidia Niger. Mwishowe Nigeria itakuja kujikuta imezingirwa na maadui,maana imeshaonyesha msimamo wake.
Huu upepo ukihamia East Africa,tukae mguu sawa mguu pande
 
Tuwe realistic guys, Ukraine haina uwezo kumkaba koo Urusi.
Russia haipigani na Ukraine mkuu. Ingelikuwa hivyo,kitambo sana hilo zowezi lishasahaulika.

Kwa hiyo, na Niger leo inatishiwa usalama na ECOWAS! Sindo unavodhania?!
 
Ishu sio kuchaguliwa kidemokrasia je unatenda matakwa ya waliokuchagua?
Je wananchi wanapinga mapinduzi hayo?
ECOWAS waache kiherehere
Afrika unaezaj juwa kuwa wananchi wanaunga mkono serikal? Mnasahau mapema sana , baadae mtaanza walaumu hao wanamapinduz , nakumbuka mwaka 2005 hata mashulen walikuwa wanafundisha kuwa Ghadaf ni dictator ila miaka 6 mbele baada ya kuuawa ndo akawa shujaa wao , waafrika tunaendeshwa na media kuliko akili zetu
 
Back
Top Bottom