Vita vya Urusi na NATO kupanuka mpaka Afrika Magharibi nani atashinda?

Haogopi siku akiamua vita itakwisha baada ya masaa 24 na Russia knows that that’s why they don’t dare to use nuclear weapons it’s going to be the biggest mistake in Russian history
Kutumia silaha za nyuklia kweli ni ukosefu wa hekima kama ilivyokuwa kwa US
 
Ubaya ubaya
 
Haogopi siku akiamua vita itakwisha baada ya masaa 24 na Russia knows that that’s why they don’t dare to use nuclear weapons it’s going to be the biggest mistake in Russian history
Sijui una elimu gani but una uwezo Mdogo Sana kuhusu issue za Russia Na USA,

Nenda kasome historia ya Russia na USA,Kasome Cold War ilivyokuwa,lakini kasome vzuri uwezo wa kijeshi wa Russia na USA haswa kwenye battle field.

Nenda tena kasome vita ambavyo USA na Russia walijiinvolve pamoja wakiwa opposite side then nani alishinda??
Nenda pia kasome kilichotokea pale Siria kati ya USA na Russia nani kashinda??

Kasome pia nini kinatokea Sasa ulaya na Marekani juu ya uchumi zao Kisa vita ya Ukraine!!!

Nimekupa Elimu next time usijiabishe tena
 
Kwelii hatuko huru ni either East or west wale mzigo.
Tutatokaje hapa?
Sasa wanachotaka ECOWAS ni nini ?.Na hawaoni kuwa kitendo wanachokusudia kufanya ni kurudisha ukoloni na unyonyaji Afrika.
 
Mother Russia all the way
 
Sasa wanachotaka ECOWAS ni nini ?.Na hawaoni kuwa kitendo wanachokusudia kufanya ni kurudisha ukoloni na unyonyaji Afrika.
Nyuma ya ECOWAS yupo USA,NATO na Ulaya,hii ni options ya muhimu Sana kwa USA na Europe ukizingatia kule Ukraine mambo sio swari tena..!! Hili la Niger ni uwanja mwingne tena wa kutafuta ushawishi between USA na Russia !!!
 
Sina haja ya kusoma naishi hapa ulaya na kila siku tunaona kinachoendelea vitani na wakimbizi wa Ukrain na Warusi
 
Sasa wanachotaka ECOWAS ni nini ?.Na hawaoni kuwa kitendo wanachokusudia kufanya ni kurudisha ukoloni na unyonyaji Afrika.
ECoWAS wanataka raisi aliyechaguliwa kidemokrasia...... Africa tumegawanywa sanaa kiitikadi,kihadhi(maskini vs tajiri),dini.. .....inakua rahisi sanaa kwao kutukontrol through their puppets.
Huu n muendelezo wa vita vya us na russia kwa sababu wote wako kwenye climax ya maendeleo kitechnology,sanaa za uchumi,sanaa za vita n.k hivyo tunaoteseka ni sisi nyasi.
Wote ni wasaka tonge tu.
 
Nyuma ya ECOWAS yupo USA,NATO na Ulaya,hii ni options ya muhimu Sana kwa USA na Europe ukizingatia kule Ukraine mambo sio swari tena..!! Hili la Niger ni uwanja mwingne tena wa kutafuta ushawishi between USA na Russia !!!
Wanataka nishati na mali ghafi kwa nguvu.Hawana demokrasia wala nini. Wameona wakishindwa na kulazimika kuhama moja kwa moja basi hali zao zitazidi kuwa mbaya.
Akitokea mjinga mjinga kama Nigeria akataka kuleta vurugu kwa niaba yao inakuwa wamepatia pa kujificha.
 
Ishu sio kuchaguliwa kidemokrasia je unatenda matakwa ya waliokuchagua?
Je wananchi wanapinga mapinduzi hayo?
ECOWAS waache kiherehere
Wananchi kwa maelefu wanaunga mkono na huo ni mtaji mkubwa wa waliopindua. Lazima wafanye hivyo kwa sababu hawajaona manufaa yoyote ya walioshinda kwa misingi ya kidemokrasia.
 
Ndiyo maana ya kuwa SUPER POWER kama nchi haijafikia hiyo level haiwezi kuhimili hiyo mikikimikiki yaani Bidhaa zako zisusiwe, undolewe kwenye mifumo ya kifedha ya Dunia, uwekewe vikwazo zaidi ya 2500, bado nchi hasimu Kwa umoja wao yaani NATO (G7 wakiwemo)wanachanga fedha na silaha kumpa adui Yako unaepigana nae n.k lakini bado unaendelea kuwakunyuga vikwazo vina bounce na kuwarudia wenyewe na wakati my wingine wanatumia mlango wa nyuma kuja Kwako kununua Bidhaa waliokuwekea vikwazo usiwauzie, bado unaenda kupindua viongozi ambao ni mapandikizi yao na unafanikiwa hakika RUSSIA BABA LAO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…