Vita vya Urusi na NATO kupanuka mpaka Afrika Magharibi nani atashinda?

Hizo source uchwara ndio zinatangaza kwamba Russia anamtegemea pia Iran kwa ammunition mbalimbali hasa makombora na zile Shaheed drones sio!?

Mpaka hapo huoni kwamba Ukraine kamkaba koo huyu super pawer wa mchongo?
We unaumwa kwerikweri Urusi akitumia silaha kutoka Iran kakabwa Koo lakini Ukraine anepewa silaha na Dunia nzima hamsemi kakabwa wapi usikute humu Kuna wachangiaji kutoka Milembe
 
Kwenye vita kama hivyo kila mmoja atafaidi,na kila mmoja atapoteza. Ila cha kujiuliza,vifo visivyo na sababu kwa nani? Hasara kubwa kwa nani?

Sasa kama haka kababu ka juzi jana ka Nigeria,kameanza kujitoa ufahamu kutafta uhasama na wanajeshi,kanaona kako sahihi! Badhi ya viongozi Afrika ni wajinga mno. Huu umeme alokata,kwa majenerali wana jenereta na vyanzo vingine. Raia wa kawaida wanahusika vipi hadi wakatiwe umeme? Na hali ilivyo,inaonekana hii ECOWAS inadedi mda si mrefu. Na japo bado waoga,ila badhi ya nchi za Africa, zaidi ya nusu, hawapendi ukoloni unaoendelea,sema tu wamekosa vijana kama wa Burkina Faso. Algeria nayo ipo tayari kuisaidia Niger. Mwishowe Nigeria itakuja kujikuta imezingirwa na maadui,maana imeshaonyesha msimamo wake.
 
Russia baba lao
 
Huu upepo ukihamia East Africa,tukae mguu sawa mguu pande
 
Huu upepo ukihamia East Africa,tukae mguu sawa mguu pande
Uzuri ni kwamba mama,huo utopolo hana. Majirani zake Rwanda na Uganda,uziwaletee pumba. Kenya nako,kama vile wapo vizuri. DRC na Burundi ndo nina mashaka nao
 
Tuwe realistic guys, Ukraine haina uwezo kumkaba koo Urusi.
Russia haipigani na Ukraine mkuu. Ingelikuwa hivyo,kitambo sana hilo zowezi lishasahaulika.

Kwa hiyo, na Niger leo inatishiwa usalama na ECOWAS! Sindo unavodhania?!
 
Ishu sio kuchaguliwa kidemokrasia je unatenda matakwa ya waliokuchagua?
Je wananchi wanapinga mapinduzi hayo?
ECOWAS waache kiherehere
Afrika unaezaj juwa kuwa wananchi wanaunga mkono serikal? Mnasahau mapema sana , baadae mtaanza walaumu hao wanamapinduz , nakumbuka mwaka 2005 hata mashulen walikuwa wanafundisha kuwa Ghadaf ni dictator ila miaka 6 mbele baada ya kuuawa ndo akawa shujaa wao , waafrika tunaendeshwa na media kuliko akili zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…