saa hizi wanaulizia kauri za faraja kutoka kwa mh,wakati akisimama aongee wanalipuka kama popo wa salender jioni.Kwani nyie inawauma nini.?
Si mtulie na mavyama yenu!
As long as upo mzima na unamudu mahitaji yako...
DJ siyo tusi, OK nikikwambia UDJ anaufanyanna mama yako nitakuwa nimetukana? Kuwa fair! kwa jibu lako!wapi nimetukana!!!!come on.
De Jong wa Barcelona na Uholanzisi unaona hata DJ na wapambe wake wamerudi bungeni[emoji1][emoji1]
Mwenyekiti wa kambi rasmi ya upinzani wa bunge la JMT, kwa majina Freeman Aikael Mbowe au former DJ club bilcanas.De Jong wa Barcelona na Uholanzi
Hivi wewe rais unamfananisha kama mjomba wako vile kila ukitaka kumuona unamuonaKwa nia njema kabisa, kama Mh. Rais angelikuwa "mtaani" katika janga hili nadhani watu wangelisema kidogo. Yule wa Brazil aliingia mitaani kuandamana nao akisema corona usiwatishe ni ugonjwa wa kawaida (sisemi aingie mitaani, NO)!..
Hujaelewa argument yangu. Kwani rais wewe unamuonaje? Nadhani wewe humtofautish na Mungu? Yule ni mtumishi wako, alipiga push up umpe kazi leo unamuona kama Mungu!Hivi ww rais unamfananisha kama mjomba wako vile kila ukitaka kumuona unamuona
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia ameshawahi kuwa pupil then student, tumuite pia kwa majibu hayomwenyekiti wa kambi rasmi ya upinzani wa bunge la jmt,kwa majina freeman aikael mbowe,au former DJ club bilcanas.
hapa atakuwa mzee wa ruzuku.Pia ameshawahi kuwa pupil then student, tumuite pia kwa majibu hayo
Kunasehemu nimesema yeye Mungu hivi unajua kama rais ndio mtu muhimu zaid kuliko mtanzania yeyete? Kwa sasaHujaelewa argument yangu. Kwani rais wewe unamuonaje? Nadhani wewe humtofautish na Mungu? Yule ni mtumishi wako, alipiga push up umpe kazi leo unamuona kama Mungu!
basi mkuu aliufanya na mama yako.Kwani ni tusi? si umsema haujatukana kwanini nwiwe na hasira? Kitu kizuri hufanywa na wengi ikiwezekana
Kumbe ni tussi? Basi acha kutukana watu!basi mkuu aliufanya na mama yako.
Kwa hiyo broo wewe huami kuwa raisi amejificha chato kwa sababu anaogopa corona?Kwamba ugonjwa bado upo hilo liko wazi..hata waziri wa afya juzi alisisituza watu kuendelea kuchukua tahadhari na kujikinga.
Ila issue ya raisi kuwa Chato au Magogoni sioni kama inaingilianaje na WEWE kujikinga na huu ugonjwa. Hivi ni vita binafsi..uhai wako au kifo chako.
Usichanganye sana na SIASA. Jilinde na ilinde familia yako
Ni kweli kabisa ni hayo tuu? Au mengine mengi yanakuja?View attachment 1452351
Kuna watu wameanza kujidanganya kwamba hali ni shwari na Corona sio janga la kutisha tena.Wamevua barakoa,hawanawi tena mara kwa mara na kupaka sanitaiza.
Hii imesababishwa na serikali kuacha kutoa habari za corona. Vyombo vya habari navyo vimekuwa kimya badala yake wanaripoti updates za nje tu.
Ukweli ni kwamba siku Rais akichomoko Chato ndo mjuwe hali ni shwari au imepungua makali. Yule ni rais mchapa kazi Kubaki kwake kule sio hivi hivi tu.
Ni hayo tu