Vita ya Corona: Nahodha wetu katelekeza chombo Baharini, tutaponaje?

Vita ya Corona: Nahodha wetu katelekeza chombo Baharini, tutaponaje?

Kwani nyie inawauma nini.?
Si mtulie na mavyama yenu!
As long as upo mzima na unamudu mahitaji yako...
saa hizi wanaulizia kauri za faraja kutoka kwa mh,wakati akisimama aongee wanalipuka kama popo wa salender jioni.
 
Kwa nia njema kabisa, kama Mh. Rais angelikuwa "mtaani" katika janga hili nadhani watu wangelisema kidogo. Yule wa Brazil aliingia mitaani kuandamana nao akisema corona usiwatishe ni ugonjwa wa kawaida (sisemi aingie mitaani, NO)!..
Hivi wewe rais unamfananisha kama mjomba wako vile kila ukitaka kumuona unamuona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujaelewa argument yangu. Kwani rais wewe unamuonaje? Nadhani wewe humtofautish na Mungu? Yule ni mtumishi wako, alipiga push up umpe kazi leo unamuona kama Mungu!
Kunasehemu nimesema yeye Mungu hivi unajua kama rais ndio mtu muhimu zaid kuliko mtanzania yeyete? Kwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2401504_tapatalk_1563037139358.jpg

Kuna watu wameanza kujidanganya kwamba hali ni shwari na Corona sio janga la kutisha tena. Wamevua barakoa,nhawanawi tena mara kwa mara na kupaka sanitaiza.

Hii imesababishwa na serikali kuacha kutoa habari za corona. Vyombo vya habari navyo vimekuwa kimya badala yake wanaripoti updates za nje tu.

Ukweli ni kwamba siku Rais akichomoko Chato ndo mjuwe hali ni shwari au imepungua makali. Yule ni rais mchapa kazi Kubaki kwake kule sio hivi hivi tu.

Ni hayo tu
 
Mpaka leo wanalalamika corona inatisha hawajaleta taarifa za kufiwa

Yaani jamii forum imejaza waongo wa kisiasa
 
Kwamba ugonjwa bado upo hilo liko wazi..hata waziri wa afya juzi alisisituza watu kuendelea kuchukua tahadhari na kujikinga.

Ila issue ya raisi kuwa Chato au Magogoni sioni kama inaingilianaje na WEWE kujikinga na huu ugonjwa. Hivi ni vita binafsi..uhai wako au kifo chako. Usichanganye sana na SIASA. Jilinde na ilinde familia yako
 
Kuna kiongozi mmoja alikua anasema wagonjwa wamepungua sana mahospitalini...
Hajui kwamba wagonjwa wanaugulia majumbani kwao!
 
Kwamba ugonjwa bado upo hilo liko wazi..hata waziri wa afya juzi alisisituza watu kuendelea kuchukua tahadhari na kujikinga.

Ila issue ya raisi kuwa Chato au Magogoni sioni kama inaingilianaje na WEWE kujikinga na huu ugonjwa. Hivi ni vita binafsi..uhai wako au kifo chako.
Usichanganye sana na SIASA. Jilinde na ilinde familia yako
Kwa hiyo broo wewe huami kuwa raisi amejificha chato kwa sababu anaogopa corona?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1452351
Kuna watu wameanza kujidanganya kwamba hali ni shwari na Corona sio janga la kutisha tena.Wamevua barakoa,hawanawi tena mara kwa mara na kupaka sanitaiza.

Hii imesababishwa na serikali kuacha kutoa habari za corona. Vyombo vya habari navyo vimekuwa kimya badala yake wanaripoti updates za nje tu.

Ukweli ni kwamba siku Rais akichomoko Chato ndo mjuwe hali ni shwari au imepungua makali. Yule ni rais mchapa kazi Kubaki kwake kule sio hivi hivi tu.

Ni hayo tu
Ni kweli kabisa ni hayo tuu? Au mengine mengi yanakuja?
tapatalk_1589606876202.jpg

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom