Vita ya kisiasa baina ya Tanganyika na Zanzibar ipo wazi sasa

Mods kufuta post kunahusiana vipi na kutawala/kutwaa huko unaposema?
Kwamba wewe kuweka post ni kikwazo kwa wanaotaka kufanya hivyo?
Hapa ni akili kubwa aisee imetumika
Nadhani ipo above your capacity, yaani leo ndio nimeamini muungano unalindwa kwa nguvu zote
Vinginevyo hakukuwa na sababu ya kuufuta ule uzi
 
Hapo patamu Rais wa Zanzibar ni Mzanzibar,Rais wa Tanganyika ni Mzanzibar !.

Nchi mbili zote zinaongozwa na Raia kutoka nchi moja ya Zanzibar.Tanganyika hakuna watu wa kuongoza Tanganyika.

Hapa tatizo ni katiba mbovu ambayo imeizika Tanganyika.
Sio kweli, mwinyi ni mtanganyika.

Halafu pia wakati wa nyerer na Mwinyi baba akiwa Zanzibar huoni kama watanganyika wawili walitawala pamoja?
 
Hapa ni akili kubwa aisee imetumika
Nadhani ipo above your capacity, yaani leo ndio nimeamini muungano unalindwa kwa nguvu zote
Vinginevyo hakukuwa na sababu ya kuufuta ule uzi
Unajua nilichouliza kinalenga kujua mods wanahusika vipi na kutwaa Hilo eneo unalosema?
Na post yako Ina uzito gani hao unaosema kushindwa kufanya kile wamedhamiria?
 
Sio kweli, mwinyi ni mtanganyika.

Halafu pia wakati wa nyerer na Mwinyi baba akiwa Zanzibar huoni kama watanganyika wawili walitawala pamoja?
Ukifuatilia kwa kina utagundua kuwa asilimia kubwa ya waZanzibari weusi asili yao ni Tanganyika, hivyo karibu marais wote wa Zanzibar wanaasili ya Tanganyika. Kwa hoja hiyo, itachukua miongo kupata rais asiekuwa na asili ya Tanganyika.
 
Kuna mambo mtu ukisoma huku unabaki na maswali
Kwa jinsi ulivyojibu unakibaliana na alichosema kwamba Zanzibar Ina jeshi lake? Ina benki kuu yake? Na Ina passport yake?
Zanzibar ina majeshi yake ambayo kwa lugha za medani tunayaita jeshi usu sawa na jeshi la Polisi,Jeshi la uhifadhi,Jeshi la uhamiaji.........

Majeshi mengine yote ni jeshi usu.Jeshi kamili ni Jeshi la wananchi.

Hakuna mahali nimesema Zanzibar wana Benk Kuu.

Zanzibar ni nchi kama ilivyo Rwanda au Burundi yapo baadhi ya mambo ni ya muungano ikiwemo passport.
 
Hapo kwenye jeshi umezunguka sana, zanzibar haina jeshi.
Unaposema nchi Ina jeshi lake, hii ni lugha rahisi tu kueleweka. Hata Tunaposema Tanzania ina jeshi basi maana yake ni JWTZ. Wala hatumaanishi uhamiaji, au Askari wa tanapa.

Kuhusu benki kuu na passport nilikuuliza sababu ya ulichojibu maana ulipaswa ushange huyo dada hapo anawezaje kusema Zanzibar Ina benki kuu na Ina passport yake. Hii kwa mtu yoyote timamu lazima angeshangaa sana
 
KMKM ni wacheza mdumange ?.
 
Naam
Umenena vyema
 
Katiba ni ya nchi moja sasa unaposema za nchi mbili unatukosea
 
Unajua nilichouliza kinalenga kujua mods wanahusika vipi na kutwaa Hilo eneo unalosema?
Na post yako Ina uzito gani hao unaosema kushindwa kufanya kile wamedhamiria?
Hili jukwaa si la kitoto bwashee, limeanzia mbali na linafika mbali, kwahiyo hata wao wanaulinda kwa nguvu zote
 
Hoja ni kwamba nani anasimamia masilahi na rasilimali za Tanganyika?
 
Hili jukwaa si la kitoto bwashee, limeanzia mbali na linafika mbali, kwahiyo hata wao wanaulinda kwa nguvu zote
Inawezekana ikawa hivyo lakini usili-overrate kwa kiwango hiko kikubwa maana wapo watu influential wanatumia social media zingine kufikisha yale waliyopanga

Mm swali langu kwako ilikua ni hisia uliyonayo, mods wanafuta mada zote wanazoona zimelenga kitu flani ambacho kimetajwa direct na hakuna ushahidi, Wala hawajafuta sababu wanahusika na ulichosema

Hata sasa hivi jaribu tu kuweka post ikisema mfano: waziri bashungwa anahusika na utekaji, hapo itafutwa fasta tu kwa sababu habari kama hiyo haina ushahidi na sio kwa sababu mods wanahusika na bashungwa
 
Hapa umepuyanga bwashee, makonda, magu(late), IGP, Waziri mambo ya ndani nk nk kila siku wanatajwa na kuandikwa hata humu jf kwamba ni watekaji, wauaji, wasiojulikana na hata kusemwa wazi eti wamempiga flani risasi lakini hakufa na wala hakuna ushahidi wowote na wala hatuoni nyuzi zikifutwa, na hata leo bado zipo tena nyingi tu
Nb
Muungano unalindwa kwa hali yeyote ile na upande mmoja wenye manufaa
 
Weka hiyo post inayosema hivyo uone kama itabaki
Labda hayo yawekwe na wachangiaji kwenye comments
 
Weka hiyo post inayosema hivyo uone kama itabaki
Labda hayo yawekwe na wachangiaji kwenye comments
Umenikumbusha maarifa mkuu, na mimi ule uzi wngu walioufuta nauweka kwenye kuchangia sasa
Asante sana

Muhimu ujumbe ufike hata kwa shida shida
 
Kama upo uwezekano wa Mtanganyika kugombea ubunge Zanzibar au kuongoza nchi ya watu wa Zanzibar bila vizingiti vya kusheria muungano ungeeleweka.

Kama Mtanganyika angeweza kununua ardhi kama raia wa Tanzania huu muungano tusingeupigia kelele.
A
Kabisa tena nyie wazanzibar ndiyo hatuwataki kabisa
kWel alafu sisi watanganyika hatuna chakupoteza kwa zanzibar hata leo hii muungano huu uchwala ukivunjika wao labda wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…