Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Vipi nao hawamtaji Yesu?Ukihamia kwao unabatizwa upya na kupewa jina jipya ..
Ni wapumbavu tu kama mashahidi wa Yehoya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi nao hawamtaji Yesu?Ukihamia kwao unabatizwa upya na kupewa jina jipya ..
Ni wapumbavu tu kama mashahidi wa Yehoya
Rubii umenikumbusha machungu😔😔 baba yangu mkubwa aliyenifanya nikaijua daslamu alikuja kujiunga na hao watu, baadae kisukari kilipomzidia( alikua nacho muda) walimkataza kunywa dawa wala asifuate masharti ya chakula alifariki mzee kakonda kaisha kakata tamaa hao watu wa hilo kanisa nikiwaona mpaka leo hii nasikia uchungu mkubwa sana rohoniWaumini wa hiyo imani ni wabishiiiii 😅😅
..... kwao Ukifiwa unashangilia kwa makofi hakuna kulia 🙌😅
.....ukiumwa hakuna hospital unageuza maji kuwa damu unakunywa 🤣
Angalia Star tv Kila jumapiliduh hao nimewasikia leo
Pole Sana mkuuRubii umenikumbusha machungu😔😔 baba yangu mkubwa aliyenifanya nikaijua daslamu alikuja kujiunga na hao watu, baadae kisukari kilipomzidia( alikua nacho muda) walimkataza kunywa dawa wala asifuate masharti ya chakula alifariki mzee kakonda kaisha kakata tamaa hao watu wa hilo kanisa nikiwaona mpaka leo hii nasikia uchungu mkubwa sana rohoni
Munuo alivyokufa kulitokea mgogoro Sana, mpaka mwamba akaamua kuanzisha kanisa lake. Roho ya madaraka haimuachi mtu SalamaAlitoka Sloam ya marehemu Munuo aliyekuwa mtumishi wa TANESCO? Si Sloam kwa sasa inaongozwa na Mrs Munuo? Wallah yule mama alivyo na roho mbaya watakaokwenda mbinguni ni wa kuokoteza!
Bible na na yoote hayo ni kazi ya sanaa.Wanasema tunamshukuru CHANZO HALISI!! neno ambalo halipo kwenye Bible
Mahali popote sipo kwenye utumwa wa mtu!Unasali wapi
Huyu ndio Mzee wa Shika Neno, Sikia Neno?Kwanini unasema Hivyo mkuu
😄😄 Nishawazoea. Ni nyundo tu nawachapa.Ngoja waje kukunanga
Muhuni na ubinafsi tuUMEWAHI kusikia kanisa liitwalo KANISA HALISI LA MUNGU BABA? Wanavaa nguo nyeupe kanisa zima, ibada zao nyingi zinarushwa STAR TV?Hawataji jina MUNGU wala YESU wao wanaita CHANZO HALISI 😁Hapa nakuletea historia fupi ya kiongozi huyo maarufu kwa jina la ELISHA ELIYA MIAKA 1000 (anaandika michuzi blog)
Rusomo ambaye baadae alijulikana kwa jina la Elisha Eliya Miaka1000 akiwa na matatizo mbalimbali ambapo aliombewa na kufunguliwa kisha akajiunga na huduma ya Siloam Bible School ambapo alifundishwa utumishi.
Wakati tayari akiwa kuhani wa kanda ya Dar es Salaam Miaka 1000 alisaliti kiapo cha utumishi, kwani baada ya kiongozi mkuu wa huduma hiyo kutwaliwa na kabla ya mchakato wa kumpata kiongozi mwingine, yeye alijivua safu ya ukuhani na akajipa cheo cha Mzeituni, Mpaka Mafuta, Mzee wa Siku, Wakili wa Mungu, mungu aliyetuma wote, baba wa uzao, baba halisi nk.
Mpaka aliacha kabisa imani aliyoikuta Siloam na aliazimia kupora thamani, uzuri na kibali cha kusanyiko la Siloam akiwa kwenye majengo ya Siloam.
Aliwapindua waumini kwa kuingiza mafundisho yaliyoacha maswali na hadithi za Kanisa Halisi la Mungu baba. E. E. Miaka1000 alitumia mbinu mbalimbali za kuvuruga safu za makuhani mikoani ambapo aliwashawishi waungane naye kusaliti maono ya mwanzilishi wa Huduma.
Ili kuhalalisha mapinduzi hayo alitunga Katiba yake akitaka kusajili The Pool of Siloam Church lakini haikupitishwa na Serikali kwa kuwa hakuwa mmoja wa viongozi wa Kikatiba. Hivyo, alizalisha mzozo ili Serikali ifute usajili halali wa Siloam Ministry InternationaI.
Hata hivyo hilo nalo halikufanikiwa.
Hivyo yeye na kundi lake la waumini aliofanikiwa kuwashaiwishi katika vituo mbalimbali waliendelea kutumia mali na majengo ya SMI kufanyia ibada na kuondoka na sadaka.
Serikali, viongozi na makuhani waaminifu walijitahidi kunusuru mgogoro huo lakini Miaka 1000 alikataa utengamano kwa madai kuwa yeye ni mungu na hawezi kujadiliwa, kuhojiwa wala kushauriwa.
WAUMINI WAKE MJE HAPA 😂😂😂TUNA KIKAO
Shika Neno, Tenda Neno...Huyu ndio Mzee wa Shika Neno, Sikia Neno?