Charles Gerald
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 1,403
- 1,837
Kuna bibi nilikuwa nimepanga kwake kipindi nipo Moshi, alinishawishi kwenda kusali nikaenda bana, kwanza wote ni nguo nyeupe, na kila mmoja Ana maji kwenye chupa, katika ibaada ni kupiga makofi na kujinyunyuzia maji tu, ni mambo mengi ila kiufupi walinishinda na sikurudia kwenda tena.