Vita ya madaraka Makanisani ilivyoanzisha Kanisa halisi kutoka Siloam!

Waumini wa hiyo imani ni wabishiiiii ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
..... kwao Ukifiwa unashangilia kwa makofi hakuna kulia ๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜…
.....ukiumwa hakuna hospital unageuza maji kuwa damu unakunywa ๐Ÿคฃ
Rubii umenikumbusha machungu๐Ÿ˜”๐Ÿ˜” baba yangu mkubwa aliyenifanya nikaijua daslamu alikuja kujiunga na hao watu, baadae kisukari kilipomzidia( alikua nacho muda) walimkataza kunywa dawa wala asifuate masharti ya chakula alifariki mzee kakonda kaisha kakata tamaa hao watu wa hilo kanisa nikiwaona mpaka leo hii nasikia uchungu mkubwa sana rohoni
 
Pole Sana mkuu
 
Alitoka Sloam ya marehemu Munuo aliyekuwa mtumishi wa TANESCO? Si Sloam kwa sasa inaongozwa na Mrs Munuo? Wallah yule mama alivyo na roho mbaya watakaokwenda mbinguni ni wa kuokoteza!
Munuo alivyokufa kulitokea mgogoro Sana, mpaka mwamba akaamua kuanzisha kanisa lake. Roho ya madaraka haimuachi mtu Salama
 
Muhuni na ubinafsi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ