Vita ya madaraka Makanisani ilivyoanzisha Kanisa halisi kutoka Siloam!

Kuna bibi nilikuwa nimepanga kwake kipindi nipo Moshi, alinishawishi kwenda kusali nikaenda bana, kwanza wote ni nguo nyeupe, na kila mmoja Ana maji kwenye chupa, katika ibaada ni kupiga makofi na kujinyunyuzia maji tu, ni mambo mengi ila kiufupi walinishinda na sikurudia kwenda tena.
 
Waumini wa hiyo imani ni wabishiiiii 😅😅
..... kwao Ukifiwa unashangilia kwa makofi hakuna kulia 🙌😅
.....ukiumwa hakuna hospital unageuza maji kuwa damu unakunywa 🤣
Unageuka maji kuwa damu ipi?
 
😂😂😂😂Wanajinyunyiza
 
Pole Rafiki
 
Chanzo halisi ni Nani?? Na yeye anajiita BABA HALISI, mke wake MAMA HALISI
 
Waumini wa hiyo imani ni wabishiiiii 😅😅
..... kwao Ukifiwa unashangilia kwa makofi hakuna kulia 🙌😅
.....ukiumwa hakuna hospital unageuza maji kuwa damu unakunywa 🤣
Kweli ni wabishi balaa, nakumbuka nilipataga demu alikuwa mkali sana kama kashushwa ila kasoro yake alikuwa ni mbishi balaa. Humwambii kitu kuhusu hilo kanisa.
 
Kweli ni wabishi balaa, nakumbuka nilipataga demu alikuwa mkali sana kama kashushwa ila kasoro yake alikuwa ni mbishi balaa. Humwambii kitu kuhusu hilo kanisa.
Imani ya mtu kukubali kukosolewa ni vigumu Sana
 
ameshaenda kukutana na Mungu mwenzie juu huko wanapiga stori.
Sema familia yake kaiachia maisha mazuri.watoto wanaendesha land cruiser.wana nyumba za kutosha huku mapinga.
Naye alikuwa Mungu?
 
Hawa nao hawastahili kuitwa wakristu kwa sababu nafrasi ya Yesu katika kanisa lao sio sawa na Wakristu wengine. Hawa ni sawa sawa na yle ZUMARIDI
 
Kwahio wamegawana majengo, au huyu miaka 1000 amejenga ya kwake? Siloamu ya mwanzo bado inaendelea?
Kwahio wamegawana majengo, au huyu miaka 1000 amejenga ya kwake? Siloamu ya mwanzo bado inaendelea?
Nahisi Siloam inaendelea pia japo huyo, wa kujiita BABA HALISI ndiye anatia fora sasa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…