Vita ya madaraka Makanisani ilivyoanzisha Kanisa halisi kutoka Siloam!

Alitoka Sloam ya marehemu Munuo aliyekuwa mtumishi wa TANESCO? Si Sloam kwa sasa inaongozwa na Mrs Munuo? Wallah yule mama alivyo na roho mbaya watakaokwenda mbinguni ni wa kuokoteza!
Huyo Munuo mwanzillishi wa Sloam alijufa muda mfupi tu alipohubiri kuwa hawezi tumia jina la Yesu kuhubiri au kuombea watu sababu hakuna mtu mwenye dhambi duniani mwenye dhambi kama Yesu kuwa yeye Yesu alikiri kuwa alichukua dhambi zote za ulimwengu hivyo hawezi muheshimu wala kutumia jina lake

Wote hao Slloam na huyo miaka 1000 wote wana imani za kipepo tu hakuna mwenye nafuu
 
Pole yake ndiye mwanzilishi wa kanisa hilo?
 
Nilimsikia akiwaambia waumin wake marufuku kuchukua fomu zakugombea uongozi wowote katika uchaguzi ujao
Nimesikia akitambulisha mbunge mstaafu alikuwa muumini wake, au ni zamani??
 
Hawa ndo wanaosababisha dini zinatukanwa na wale watu wanaojiita wachokonozi ..ukiwasikiliza kwa makini muda mwingine wanakuwa na logic kwa vile wanaongea kuhusu dini hizi na mazingaombwe yake
 
Yani ni upuuzi wa kiwango cha lami.
 
Hawa ndo wanaosababisha dini zinatukanwa na wale watu wanaojiita wachokonozi ..ukiwasikiliza kwa makini muda mwingine wanakuwa na logic kwa vile wanaongea kuhusu dini hizi na mazingaombwe yake
Sijaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…