mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Mkristo ndugu yake mkristo.una wakataa ndugu zakoAstakhafirullah, sina ukafiri ule Sheikh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkristo ndugu yake mkristo.una wakataa ndugu zakoAstakhafirullah, sina ukafiri ule Sheikh
Huwa napenda kuwasikiliza nondo zao wako vizuri sanaWachokonozi wako sahihi sena watu wanawapuuzia tu
Yule jamaa habahatishi,kichwani yuko vizuri free mindHuwa napenda kuwasikiliza nondo zao wako vizuri sana
Mkuu Kwema? 😂Mbona umepanic, andiko langu ameandika Michuzi blog, Huyo miaka 1000 alishindwa mahakamani ndipo akaanzisha kanisa halisi la Mungu baba (sasa KANISA HALISI).Mbona kama umeandka kumkashfu huyo elisha na inaonekana wewe n mfuasi wa mjane kwa mtu makin aksoma bandko lako atakugundua tu wewe n mfuasi wa mke wa marehemu munuo ndo maana umeleta andko huku kama kupma upepo. Anyway hao jamaa huwa wana mafundsho bora sn kama uspokuwa na mihemko yapo mambo mazuri sn wanafundsha.
Kwahiyo sasa Siloam ina sehemu mbili?Alitoka Sloam ya marehemu Munuo aliyekuwa mtumishi wa TANESCO? Si Sloam kwa sasa inaongozwa na Mrs Munuo? Wallah yule mama alivyo na roho mbaya watakaokwenda mbinguni ni wa kuokoteza!
Dini zote ni cultsIle ni CULT, wanavaa nguo nyeupeee ukivaa tofauti utajihisi umepotea 😁
😂😂😂😂 Yaani ukae kanisani 24/7 utakula nini? Wanagawa chakula na mahitaji mwingine ya kibinadamu kanisani?Hadi chupi/boksa nyeupe.
Na wengi huacha hadi kazi zao za kuajiriwa ili wawe free kuwa kanisani 24/7.
Daah Ila hizi Dini zinajua kutuvuruga ..MWaka juzi niliapata mgeni, akaniuliza kanisa la chanzo halisi.Tulivyolipata akaenda nikasema ngoja nimpeleka. Nikaenda ibadani asubuhi na yule best, aisee walikuwa wanaeleza watu hawalali. Eti kwanini saa 1 iwe inasoma saa 7 badala yake iwe saa 1 km moja. Akaelezea mwisho ikaonekani hatulali freemason wametubadilishia muda. Basi nikatoka nimevurugwa sina hamu. Nilisali pale wiki nzima maana tulikuwa na semina. Kabla ya kwenda semina tunapitia hapo kwanza. Best aliniuliza vipi utaendelea nikamwambia ntabaki na dini yangu niache kipenzi kampani niliyokupa inatosha sana..
Kama ingewezekana ikawekwa kwamba ni marufuku kwenye DINI; hairuhusiwi kukusanya PESA/FEDHA (Maokoto = Sadaka) dini nyingi (kama sio zote) zingelikuwa hazipo.Daah Ila hizi Dini zinajua kutuvuruga ..
Hakuna Imani bila dini wala hakuna dini bila imani . Watu wenye dini au imani walisha tolewa akili ndio maana mnauliza illogical questions. Kama kuna tafauti gani kati ya dini na imani? Au mimi sio mkiristo ila mimi ni muumini yesu kiristo aliye hai.Kuna tofauti ya Dini na Imani wewe unaamini Mungu au humwamini?
Kuna viongozi wanatumia taasisi za Dini kukusanya vibunda tu, na si kuwakumbusha watu kutenda memaKama ingewezekana ikawekwa kwamba ni marufuku kwenye DINI; hairuhusiwi kukusanya PESA/FEDHA (Maokoto = Sadaka) dini nyingi (kama sio zote) zingelikuwa hazipo.
Na ndio mana penye fedha kuna fedheha. Hao viongozi Wenyewe ndo hao hao viongozi kwenye kutenda Ubatili. Unategemea nini hapo mkuu?Kuna viongozi wanatumia taasisi za Dini kukusanya vibunda tu, na si kuwakumbusha watu kutenda mema
nilikuwa nasoma komentis kimya kimya, lakini hiii 😂😂😂🙌Si ndiyo Hawa Wana Mwezi wanauita Vuzi?😅😅
Na sifaa kuu uwe Maskini, Mali zotee tawanyaaaWaumini wa hiyo imani ni wabishiiiii [emoji28][emoji28]
..... kwao Ukifiwa unashangilia kwa makofi hakuna kulia [emoji119][emoji28]
.....ukiumwa hakuna hospital unageuza maji kuwa damu unakunywa [emoji1787]