Vita ya madaraka Makanisani ilivyoanzisha Kanisa halisi kutoka Siloam!

Vita ya madaraka Makanisani ilivyoanzisha Kanisa halisi kutoka Siloam!

Mbona kama umeandka kumkashfu huyo elisha na inaonekana wewe n mfuasi wa mjane kwa mtu makin aksoma bandko lako atakugundua tu wewe n mfuasi wa mke wa marehemu munuo ndo maana umeleta andko huku kama kupma upepo. Anyway hao jamaa huwa wana mafundsho bora sn kama uspokuwa na mihemko yapo mambo mazuri sn wanafundsha.
 
Mbona kama umeandka kumkashfu huyo elisha na inaonekana wewe n mfuasi wa mjane kwa mtu makin aksoma bandko lako atakugundua tu wewe n mfuasi wa mke wa marehemu munuo ndo maana umeleta andko huku kama kupma upepo. Anyway hao jamaa huwa wana mafundsho bora sn kama uspokuwa na mihemko yapo mambo mazuri sn wanafundsha.
Mkuu Kwema? 😂Mbona umepanic, andiko langu ameandika Michuzi blog, Huyo miaka 1000 alishindwa mahakamani ndipo akaanzisha kanisa halisi la Mungu baba (sasa KANISA HALISI).

pitia hukumu hiyo ipo 🙏
 
Nampata jamaa vyema.
Tanzania ndio kuliko na center ya Ibilisi duniani.
Maana wengi wameinuka na kujipa cheo cha Mungu hapa Tanzania kuliko nchi yoyote ulimwenguni
 
MWaka juzi niliapata mgeni, akaniuliza kanisa la chanzo halisi.Tulivyolipata akaenda nikasema ngoja nimpeleka. Nikaenda ibadani asubuhi na yule best, aisee walikuwa wanaeleza watu hawalali. Eti kwanini saa 1 iwe inasoma saa 7 badala yake iwe saa 1 km moja. Akaelezea mwisho ikaonekani hatulali freemason wametubadilishia muda. Basi nikatoka nimevurugwa sina hamu. Nilisali pale wiki nzima maana tulikuwa na semina. Kabla ya kwenda semina tunapitia hapo kwanza. Best aliniuliza vipi utaendelea nikamwambia ntabaki na dini yangu niache kipenzi kampani niliyokupa inatosha sana..
Daah Ila hizi Dini zinajua kutuvuruga ..
 
Kuna tofauti ya Dini na Imani wewe unaamini Mungu au humwamini?
Hakuna Imani bila dini wala hakuna dini bila imani . Watu wenye dini au imani walisha tolewa akili ndio maana mnauliza illogical questions. Kama kuna tafauti gani kati ya dini na imani? Au mimi sio mkiristo ila mimi ni muumini yesu kiristo aliye hai.
 
Kama ingewezekana ikawekwa kwamba ni marufuku kwenye DINI; hairuhusiwi kukusanya PESA/FEDHA (Maokoto = Sadaka) dini nyingi (kama sio zote) zingelikuwa hazipo.
Kuna viongozi wanatumia taasisi za Dini kukusanya vibunda tu, na si kuwakumbusha watu kutenda mema
 
Waumini wa hiyo imani ni wabishiiiii [emoji28][emoji28]
..... kwao Ukifiwa unashangilia kwa makofi hakuna kulia [emoji119][emoji28]
.....ukiumwa hakuna hospital unageuza maji kuwa damu unakunywa [emoji1787]
Na sifaa kuu uwe Maskini, Mali zotee tawanyaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom