Vita ya maneno kati ya Rwanda na Burundi: Ina maana Ndayishimiye hajui tu kama amekalia kuti kavu?

Serikali ya Burundi imeshindwa kuimarisha Uchumi wa Nchi imeamua kujiunga na Kongo DRC kulaumu Watutsi.

Ushauri wangu kwa Watutsi msisubiri 1994 nyingine na Mauaji ya Kimbari jiandaeni na Interahamwe.

KIla familia ya Kitutsi Nchini Burundi DRC lazima iwe na RPG 7 ili mauaji yajayo dhidi yenu yakutane mkiwa mumejiandaa vilivyo

Chukueni hili wazo Mtutsi anachukiwa na ukiuliza kwanini wanasema anaringa sana😄

Ubumwe Inshuti.
 
Kifo cha Mtikila kiliumiza wengi nikiwepo mimi mwenyewe. Sema kazi ya Mungu bwana haina makosa. Kama Mungu asingetaka afe na ajali inamaana angepona tu kwa namna yoyote ile.
 
Na Kagame aliwekwa na nani madarakani?
US akishirikiana na UK, huku yeye mwenyewe akiwa ashawaonesha uwezo wake kuwa anaumudu uongozi kutokana na uwezo mkubwa wa kijeshi na intelejensia alionao.
 
Kitendo cha kudai Uganda inaweza pigwa na Rwanda kinaonyesha unaichukulia Rwanda kama dude lililoshindikana kumbe sivyo. Uganda ikiingia vitani na Rwanda hao Wanyarwanda wanapigwa bila ubishi wala dalili za kutoka suluhu.

Na wala Rwanda haiko vizuri sana kwamba inaweza kuipiga Burundi kirahisi. Rwanda inabidi ijitutumue ionekane ina jeshi ili kulinda nidhamu ya woga, ila sio kwamba iko na uwezo mkubwa hivyo. Kwahiyo usimtishe Rais wa Burundi anajua kukuzidi
 
kama mnajuwa rwanda anatunza mahasimu wa Burundi , nyie kama EAC ni wehu tu na umoja wenu hamjielew , sasa huo umoja unalenga nin ? kuna umoja gan hapo kama jambaz la nchi x ni kipend kwenye nchi Y zote zikiwa ndan ya EAC ,Kenya na Tz ni mbuzi tu
Kuwatunza mahasimu wa nchi fulani sio kosa kisheria haswa unapogundua kwamba hao mahasimu wamekimbia kwa sababu za kiusalama.

Mbona Congo inahifadhi mahasimu wa Rwanda?
Kumbuka hata Lema alipotoroka na familia yake kupitia Kenya, Tanzania iliitaka Kenya imrudishe Lema nchini Tanzania tena akabidhiwe kwa mamlaka, lakini Kenya ilikataa kufanya hivyo. Unajua ni kwanini?

Je ulishauri kuwa Umoja wa nchi za East Africa uvunjwe kwa sababu ya Kenya kukataa kumkabidhi Lema kwa serikali?
 
Ikitokea vita kati ya Rwanda na Burundi nahisi haitakuwa vita ya Nchi bali ya kikabila.
Hilo linawezana ndo maana nashauri Ndayishimiye aache mihemko. Atumie diplomasia badala ya vitisho ambavyo bila shaka vitamletea madhara yeye mwenyewe na nchi yake kwa ujumla wao.
 
Haya brother
 
Mossad 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…