mwalisi
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 651
- 561
kwanini mkuu kama unayo hojaKati ya vitu vya mwisho kabisa kwa Kagame anaweza akakubali kuvifanya hapa duniani kabla ya kujiua basi ni kuamua kupambana na Burundi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwanini mkuu kama unayo hojaKati ya vitu vya mwisho kabisa kwa Kagame anaweza akakubali kuvifanya hapa duniani kabla ya kujiua basi ni kuamua kupambana na Burundi.
rwanda iko overrated sana watu wanazani guerilla warfare ni sawa na vita vya liveila kongo wapo vizuri sanaa kivifaa kuloko unavyo zani tatizo tumekalili
amin usiamin burundi haiko peke yake wale ni wahaHapana Uganda hatoingilia maana wana kaundugu fulani. Burundi na Congo wanaweza kujiunga, ila tatizo Burundi itajikuta inapambana peke yake huku jeshi la Congo likiwa limetimkia Lubumbashi kwenye shoo ya Kofi Olomide.
Mpe makalio yako alindeKagame kashindikana kabisa eneo hili la maziwa makuu. Naona apewe Urais wa eneo la maziwa makuu, atatulinda vizuri.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Huhitaji guerilla warfare kuipiga Rwanda,unaichapa mchana kweupe na wiki kubwa, kagame anatafuta pa kukimbiliarwanda iko overrated sana watu wanazani guerilla warfare ni sawa na vita vya live
Umeongea kweliila kongo wapo vizuri sanaa kivifaa kuloko unavyo zani tatizo tumekalili
Kifo cha Mtikila kiliumiza wengi nikiwepo mimi mwenyewe. Sema kazi ya Mungu bwana haina makosa. Kama Mungu asingetaka afe na ajali inamaana angepona tu kwa namna yoyote ile.Lilikuwa ni gari la kukodi. Mlimuondoa mtaalamu aisee, ajabu mpaka jeshi la polisi mkalikontroo, likafunga uchunguzi masaa 5 sijui baada ya kifo. Likahitimisha kuwa chanzo cha kifo ni ajali ya gari, hakuna kunyongwa. Mtikila alipasua windshield na bado gari likaja mlalia kifuani, ajabu hakuchea hata damu au kuchanika uso hata kidogo.
Kuwatunza mahasimu wa nchi fulani sio kosa kisheria haswa unapogundua kwamba hao mahasimu wamekimbia kwa sababu za kiusalama.kama mnajuwa rwanda anatunza mahasimu wa Burundi , nyie kama EAC ni wehu tu na umoja wenu hamjielew , sasa huo umoja unalenga nin ? kuna umoja gan hapo kama jambaz la nchi x ni kipend kwenye nchi Y zote zikiwa ndan ya EAC ,Kenya na Tz ni mbuzi tu
Hilo linawezana ndo maana nashauri Ndayishimiye aache mihemko. Atumie diplomasia badala ya vitisho ambavyo bila shaka vitamletea madhara yeye mwenyewe na nchi yake kwa ujumla wao.Ikitokea vita kati ya Rwanda na Burundi nahisi haitakuwa vita ya Nchi bali ya kikabila.
Hiyo vita inatisha pande zote mbili hata Rwanda kuna wahutu kama Ndayishimiye.Hilo linawezana ndo maana nashauri Ndayishimiye aache mihemko. Atumie diplomasia badala ya vitisho ambavyo bila shaka vitamletea madhara yeye mwenyewe na nchi yake kwa ujumla wao.
Haya brotheruasi ni tofauti na total war pia mwaka 1967 ni tofauti na mwaka 2024 , wamesoma historia wameyajua mapunguf yao mengi , usiwe kama yule mtu alinikuta na stuli mwaka 2000 anazania atanikuta hivyo hivvyo 2023 , mambo yanabadilika kila baada ya muda , waarab walipigwa mwaka 1967 sasa hv wamekuja na njia ya kufadhiri ugaidi kupigana dhidi ya mataifa makubwa dunian pia kutumia wakimbiz kama njia ya kupenyeza wapiganaj wao dunian kote , na wanapigana kama raia wema ukiwapiga wanalialia kwenye tv unaua raia wema huui magaidi na ukiwauliza kwann magaidi hayasongi mbele kama hayafi yanapeleka kesi ICJ , DUNIA INABADILIKA KILA SIKU KULIKO NA UGUMU WA KILA PLAN DHID YA ADUI YAKO
Mossad 🤣🤣uasi ni tofauti na total war pia mwaka 1967 ni tofauti na mwaka 2024 , wamesoma historia wameyajua mapunguf yao mengi , usiwe kama yule mtu alinikuta na stuli mwaka 2000 anazania atanikuta hivyo hivvyo 2023 , mambo yanabadilika kila baada ya muda , waarab walipigwa mwaka 1967 sasa hv wamekuja na njia ya kufadhiri ugaidi kupigana dhidi ya mataifa makubwa dunian pia kutumia wakimbiz kama njia ya kupenyeza wapiganaj wao dunian kote , na wanapigana kama raia wema ukiwapiga wanalialia kwenye tv unaua raia wema huui magaidi na ukiwauliza kwann magaidi hayasongi mbele kama hayafi yanapeleka kesi ICJ , DUNIA INABADILIKA KILA SIKU KULIKO NA UGUMU WA KILA PLAN DHID YA ADUI YAKO