Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
True storyHivi mpaka leo hujui kwa miaka 30 Maamuzi ya pale Bujubura yanatoka Dar es salaam na Dodoma?
Kuishambulia Burundi in kuishambulia Tanzania gizani, mwenzako PK alimpindua Nkurunzinza muulize alifanikiwa, uliza kikosi chake chote kilipelekwa wapi na vijana wa Mwamnyange, kifupi PK keshatwangana na TPDF Mara 2 kachapwa kaishia kufanya ambush kule Congo kuua Askari wetu Tena kwa njama na West.
Ulichoandika hapo kuhusu ngurunziza ndo kile kile nilichoandika katika aya yangu ya chini.Hiv unajua kuna nchi huwez kuvamia na TZ wakakaa kimya. Huwez kuivamia Comoro ushelisheli Burundi ni nchi strategy kwetu Mzee. Cku Rwanda akiingia hapo utaona. Jiulize juz kati walivyoweza kabisa kumpindua nkurunzinza nini kiliwapata.
Tatizo baadhi ya watu wanajifanya kujisahaulisha kuhusu uwezo wa jeshi la Rwanda kwenye medani ya vita.Kagame anachapa Congo anachapa Burundi kwa wakati mmoja.huo uwezo PK anao.
Uganda hii ambayo jeshi lake limeshindwa kuwadhibiti waasi hapo Congo?[emoji81][emoji81][emoji81]ulipo sema Kenya tu nme kudharau sanaaa .kwa akili yako Kenya ana iweza ata Uganda? Yani hata hao wavunja tofari wa TZ sizani kama wana iweza Uganda ya saivi na ndege zao za panga boi
Sawa brotherKitendo cha kudai Uganda inaweza pigwa na Rwanda kinaonyesha unaichukulia Rwanda kama dude lililoshindikana kumbe sivyo. Uganda ikiingia vitani na Rwanda hao Wanyarwanda wanapigwa bila ubishi wala dalili za kutoka suluhu.
Na wala Rwanda haiko vizuri sana kwamba inaweza kuipiga Burundi kirahisi. Rwanda inabidi ijitutumue ionekane ina jeshi ili kulinda nidhamu ya woga, ila sio kwamba iko na uwezo mkubwa hivyo. Kwahiyo usimtishe Rais wa Burundi anajua kukuzidi
Wanamjua vizuri PK awawezi fanya kitu mwisho wao huwa ni hapo kwenye kufunga mipaka.Tatizo baadhi ya watu wanajifanya kujisahaulisha kuhusu uwezo wa jeshi la Rwanda kwenye medani ya vita.
Wale waasi wa Msumbiji sasa hivi hatuwasikii tena baada ya Rwanda kupeleka jeshi huko.
Burundi kushinda vita dhidi ya Rwanda ni sawa sawa na Tembo kupenya katika dirisha la bajaji.Serikali ya Burundi imeshindwa kuimarisha Uchumi wa Nchi imeamua kujiunga na Kongo DRC kulaumu Watutsi.
Ushauri wangu kwa Watutsi msisubiri 1994 nyingine na Mauaji ya Kimbari jiandaeni na Interahamwe.
KIla familia ya Kitutsi Nchini Burundi DRC lazima iwe na RPG 7 ili mauaji yajayo dhidi yenu yakutane mkiwa mumejiandaa vilivyo
Chukueni hili wazo Mtutsi anachukiwa na ukiuliza kwanini wanasema anaringa sana😄
Ubumwe Inshuti.
Kwanini umeuliza swali hili mkuu?HV kwenye vikao vya jumuiya Rwanda inaonekanaje mbele ya wanachama wengine wakiemo Somali
Kwanza Burundi haifuati tena makubaliano ya Arusha ya Jeshi la Burundi kuwakilishwa na Makabila makuu mawili ya Burundi Wahutu na Watutsi sasa hivi wanaajiri Wahutu kwa wingi na kufukuza askari wa Kitutsi.Burundi kushinda vita dhidi ya Rwanda ni sawa sawa na Tembo kupenya katika dirisha la bajaji.
Nenda kawaulize waasi wa Msumbiji wamejificha wapi baada ya jeshi la Rwanda kuingia mzigoni. Pia center africa napo kimya baadae ya Kagame kupeleka vijana kule kulinda amani na kurudisha usalama ndani ya nchi.Kwani hao Rwanda wamewahi kupigana na Nchi gani mpaka uone Burundi kuwa watapigwa ? Vita sio bonanza. Hao unaohisi wapo vizuri wanaweza wakapigwa vizuri tu
Ulichoandika ndio ukweli wenyewe. Wao walihurumiwa na kukaribishwa na watutsi katika jeshi ili wafanye kazi pamoja kama nchi. Lakini sasa wahutu wakajifanya wajanja kwa kuanza kupangua mtutsi mmoja mmoja na nafasi zao kuchukuliwa na wahutu ambao wengi wao hawana elimu za kijeshi zaidi ya kujifunzia porini namna tu ya kufyatua risasi na kubeba bunduki begani.Kwanza Burundi haifuati tena makubaliano ya Arusha ya Jeshi la Burundi kuwakilishwa na Makabila makuu mawili ya Burundi Wahutu na Watutsi sasa hivi wanaajiri Wahutu kwa wingi na kufukuza askari wa Kitutsi.
Wasifikiri Dunia haijui na sisi Tanzania ndio tulikuwa wasimamizi wa makubaliano hayo.
Wanarudi kule kule kwenye "misimamo mikali" na ideology za "Hutu Power" ambazo ndizo zilizopelekea Genocide mbaya kabisa kuwahi kutokea katika Afrika ya Mashariki na Kati.Ulichoandika ndio ukweli wenyewe. Wao walihurumiwa na kukaribishwa na watutsi katika jeshi ili wafanye kazi pamoja kama nchi. Lakini sasa wahutu wakajifanya wajanja kwa kuanza kupangua mtutsi mmoja mmoja na nafasi zao kuchukuliwa na wahutu ambao wengi wao hawana elimu za kijeshi zaidi ya kujifunzia porini namna tu ya kufyatua risasi na kubeba bunduki begani.
Hapo tu ni bado nimaneno sasa lamgambo likizuka itakuajeLabda wanataka mpitie katika ikulu zao ili mkatafute riziki zenu za kula.
Inawezekana kwa sababu wana rasilimali za kununulia, tatizo wanajeshi wao nasikia ni walevi, wavivu, waoga na wapenda starehe! Kupigana vita kunahitaji ujasiri wa wanajeshi na wananchi kwa ujumla.ila kongo wapo vizuri sanaa kivifaa kuloko unavyo zani tatizo tumekalili