Fisherscom
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 1,913
- 1,036
Ugomvi au Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi tatizo ni Urais.
Mmoja anajitapa ni mtoto wa Masikini. Kwamba aliua fisi na Chui wakati analinda Ng'ombe hivyo hawezi kushindwa kuwalinda watanzania. Anazunguka Tanzania nzima kujijenga kisiasa na kutenegenza pesa za per diem..
Anaongea kwa kufoka kuwalaghai wananchi kwamba ana uchungu bila kuongelea 29.10.2025
Mwingine anajivunia uadilifu na Utawala wa Sheria.. Akijiaminisha kwamba Sheria za Nchi zikifuatwa wananchiwatakuwa Salama
Poleni watanzania.. Awamu ya Sita mumelamba galasa. Hakuna rais atafanya kwani kashakata pumzi mapema mapema.
Tumaini liliobaki ni Tundu Lissu
View attachment 3553563
Hii ni Ramli ChonganishiUgomvi au Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi tatizo ni Urais.
Mmoja anajitapa ni mtoto wa Masikini. Kwamba aliua fisi na Chui wakati analinda Ng'ombe hivyo hawezi kushindwa kuwalinda watanzania. Anazunguka Tanzania nzima kujijenga kisiasa na kutenegenza pesa za per diem..
Anaongea kwa kufoka kuwalaghai wananchi kwamba ana uchungu bila kuongelea 29.10.2025
Mwingine anajivunia uadilifu na Utawala wa Sheria.. Akijiaminisha kwamba Sheria za Nchi zikifuatwa wananchiwatakuwa Salama
Poleni watanzania.. Awamu ya Sita mumelamba galasa. Hakuna rais atafanya kwani kashakata pumzi mapema mapema.
Tumaini liliobaki ni Tundu Lissu
View attachment 3553563
Nasikia upo kwenye vita na "bwana mdogo wa Ilboru" 😀Hakuna vita yoyote wala ugomvi wowote kuhusu 2030!, its straight!, huwezi kushindanisha mbingu na nchi!. Rais wa Tanzania akiwa wa upande huu, lazima awe wa Kurasini, nje ya hapo ni watu wanajifurahisha!.
P
Natatizwa sana na hawa akili ndogo, ni uzushi tuu, sina vita yeyote na mtu yeyote!.Nasikia upo kwenye vita na "bwana mdogo wa Ilboru" 😀
Ugomvi au Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi tatizo ni Urais.
Mmoja anajitapa ni mtoto wa Masikini. Kwamba aliua fisi na Chui wakati analinda Ng'ombe hivyo hawezi kushindwa kuwalinda watanzania. Anazunguka Tanzania nzima kujijenga kisiasa na kutenegenza pesa za per diem..
Anaongea kwa kufoka kuwalaghai wananchi kwamba ana uchungu bila kuongelea 29.10.2025
Mwingine anajivunia uadilifu na Utawala wa Sheria.. Akijiaminisha kwamba Sheria za Nchi zikifuatwa wananchiwatakuwa Salama
Poleni watanzania.. Awamu ya Sita mumelamba galasa. Hakuna rais atafanya kwani kashakata pumzi mapema mapema.
Tumaini liliobaki ni Tundu Lissu
View attachment 3553563
Mimi huwa sifuatiliagi habari ambazo kwangu huwa naamini ni upuuzi mtupu.Natatizwa sana na hawa akili ndogo, ni uzushi tuu, sina vita yeyote na mtu yeyote!.
Japo ni kweli kishule na kiumri, yule ni bwana mdogo sana kwangu, ila kimadaraka na kimamlaka, yule ni kama tembo na mimi ni kama sisimizi, nilipoitwa kubananishwa, kiukweli nilikuwa mdogo kama piriton!
P
Never say never..Bonus truck.
Waziri mkuu wa Tanzania hawezi kuja kuwa Rais, Mwigulu analijuwa hili vizuri ila anajifyatuwa akili tu.
Labda yako mkuuKweli viongozi tulionao ni reflection ya uwezo wetu kifikra..
Ngoja niwaache wafu wazikane
Tumemalizana vizuri, nimetakiwa ama kuthibitisha ama kukiri kosa, nimekiri, nimepewa taarifa kuwa nimepewa onyo kupitia media, ila mimi sijapewa onyo lolote na JAB!, baada ya kukiri kosa, JAB walipaswa kwanza kunipa onyo, ndipo watoe press release kuwa nimeonywa, lakini wao wametoa tuu, press release ya onyo!. Its over!.Mimi huwa sifuatiliagi habari ambazo kwangu huwa naamini ni upuuzi mtupu.
Vipi hao watu wa Ithibati wasio na Hisabati mmemalizana vizuri?
Si mmewatoa kwenye equation? Iweje muwape umuhimu Sasa?Kurasini
Zipo taarifa Toka ulimwengu wa rohoni eti,uchaguzi ni 2032 kitabu kina badilishwa eti!yaani kule Kwa wakulu wameshapitisha Hilo,kinachosubiriwa ni huku kwetu TU!!Kwanza huku bara hatuna any provisions za serikali ya mseto!,
pili kwa huyu aliyepo, unaona kama ana any political will ya kwenda huko?!.
Kama amekosa a political will ya kufanya kitu kidogo tuu cha minimum reforms za katiba, zilizosababisha kile kilichotokea, hiyo political will ya kufanya mabadiliko makubwa ya katiba kuruhusu coalition government itoke wapi?!.
Maridhiano ni ya watu kukubali kukaa meza moja, kunwa chai, juice na vitavunwa, sio maridhiano ya kugawana mkate kila mtu apate nusu mkate!.
P
Mlutheri wa kwanza Kuwa PM alipata ajali ya kisiasa !Nchemba atajilipua tu
Huwezi mlinganisha Mchemba na Nchimbi
Britanicca
Mtu ukiishakuwa VP na PM ni dhambi kuitamani ile ofisi kuu ya kule juu!.Mlutheri wa kwanza Kuwa PM alipata ajali ya kisiasa !
Sasa sijuu! mlutheri huyu kama atatoboa!nasubiri kuona!
Huyo mwigulu hao chui alipambana nao wapi. Iramba kuna chui au Simba!? Kijana wa miaka ya 80 sijui 70 ambaye amezaliwa wakati watu wamegeuza mapori kuwa mashamba ndo atuambie habari za kupambana na chui huko Iramba!Ugomvi au Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi tatizo ni Urais.
Mmoja anajitapa ni mtoto wa Masikini. Kwamba aliua fisi na Chui wakati analinda Ng'ombe hivyo hawezi kushindwa kuwalinda watanzania. Anazunguka Tanzania nzima kujijenga kisiasa na kutenegenza pesa za per diem..
Anaongea kwa kufoka kuwalaghai wananchi kwamba ana uchungu bila kuongelea 29.10.2025
Mwingine anajivunia uadilifu na Utawala wa Sheria.. Akijiaminisha kwamba Sheria za Nchi zikifuatwa wananchiwatakuwa Salama
Poleni watanzania.. Awamu ya Sita mumelamba galasa. Hakuna rais atafanya kwani kashakata pumzi mapema mapema.
Tumaini liliobaki ni Tundu Lissu
View attachment 3553563
Yaani Mungu aache shughuli zake huko akae na kuwachagulia watanzania Rais!Binadamu ukikosa focus ndio unaandika mambo ya hivi,yaani unaandika mambo ya watu,akili ndogo ndio hujadili mambo ya watu.Rais huchaguliwa na Mungu,Mungu ndio anajua rais wa Tanzania wacwakati huo ni nani
Iramba hakuna simba wala Chui, kuna fisi na mbojo!Huyo mwigulu hao chui alipambana nao wapi. Iramba kuna chui au Simba!? Kijana wa miaka ya 80 sijui 70 ambaye amezaliwa wakati watu wamegeuza mapori kuwa mashamba ndo atuambie habari za kupambana na chui huko Iramba!
🔭YEYE anatumwa kufanya jambo kama lile la March 12 li
Yes ni Mungu ndie huweka serikali za mataifa!, hata Samia ni chaguo la Mungu Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!Yaani Mungu aache shughuli zake huko akae na kuwachagulia watanzania Rais!
Naunga mkono hoja na hili hata mimi niliandikaRais huchaguliwa na Mungu,Mungu ndio anajua rais wa Tanzania wacwakati huo ni nani