Vita ya Urais 2030, itawatoa roho Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi

Yes hapa ndo Nchimbi acheze Kama yeye
 
Mimi nimeondoka na mstari wa mwisho "...mwaka 2026 tumelamba galasa..."

Nchi haina serikali na serikali haina nchi. Nikiwaambia watu hii sentensi ni kama hawanielewi lakini ukikaa ukaitafakari utailewa tu

Awamu hii serikali iliyopo iko kimpito mpito ni kama vile bado inajitafuta kupata mamlaka kamili wakati ilikwisha "jiapisha"

Walioko madarakani hawaamini kama wana madaraka kamili na wanaotarajia kuongozwa na hao wenye madaraka hawawaamini kama wanaweza kuwaongoza
 
Aisee, Bashungwa na Simbachawene wameshaanza kusahaulika. Kweli siasa ni sayansi yenye maabara kubwa usipoweza kuchungulia vizuri kwenye binocular utapata majibu yatakayo kupotosha
 
😂😂😂😂😂
 
Mkuu hizo reference zako ni desturi na mapokeo yanayoendekezwa na siasa uchwara za ki-CCM sio mandatory.
Siku hili dubwana CCM likipigwa chini, na ndo itakuwa ukomo wa huo ujinga.

Viongozi watabebwa na sifa&weledi.
 

hivi ni nani alikuwa waziri wa mambo ya ndani kipindi hicho march 17, nimeshasahau kidogo ni simbachawene au huyu pm? ...
 
Hivi Perdiem za PM na Mawaziri ni kiasi gani?! 😃😃😃
Na za presidaaa???
Pascal Mayalla @britanicca
 
Nyerere alikuwa waziri mkuu chini ya Malkia in 1961. Baadae akawa rais wa kwanza wa Jamhuri ya Tanganyika. Baadae tena akawa rais wa Tanzania.

Mwinyi alikuwa rais wa Zanzibar na makamu wa kwanza wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Baadae akawa rais wa Tanzania.

Kwahiyo inawezekana waziri mkuu au makamu wa rais kuwa rais wa Tanzania.

Kama una mtu wako unataka awe rais, vumilia mpaka 2029/2030 ndio umtaje huku mitandaoni. Kumtaja mapema namna hii huenda mna mharibia.



Tangu tupate uhuru hatujawahi kuwa na rais mprotestanti.

Toka Lowassa ajiuzulu on the 7th of February 2008, kwa miaka 17 hakujawahi kuwa na kiongozi mprotestanti kwenye position ya rais, makamu wa rais, na waziri mkuu, mpaka hivi karibuni alipoteuliwa huyu waziri mkuu wa sasa on the 13th of November 2025.

Ili kuwa na political inclusivity nzuri, ni vizuri kwenye kila mzunguko wa miaka 30, miaka 10 apewe mkatoliki, miaka 10 apewe mprotestanti, na miaka 10 apewe muislamu wa sunni.

Na kwenye top 3 positions za rais, makamu wa rais, na waziri mkuu, haya makundi yawepo.

Halafu urais uwe unazunguka kanda kwa kanda sio kurudia kanda zile zile.

Watu wote wanaoshika hizo nafasi za juu, wanatakiwa kwanza kuwa na vigezo na sifa nzuri za uongozi, halafu ndio yanafuata mambo ya madhehebu na kanda.

Of course, hakuna umuhimu wa kufuata power formulae hizo hapo juu, kama kutakuwa na viongozi wazuri sana, wenye vigezo na sifa nzuri sana, ambao hawaendani na hizo formulae hapo juu.

30% - 40% ya watanzania ni wakatoliki.

30% - 40% ya watanzania ni waprotestanti.

20% - 30% ya watanzania ni waislamu.



Maximum presidential terms, should be three terms of five years each, and not the current two terms. Warioba's commission constitution proposals had some important democratic deficiencies, and there are some good things they failed to take from the 1977 constitution. Warioba's commission constitution proposals are now a bit old (they are at least 10 years old). Warioba's commission constitution proposals should be reviewed and improved, in a more democratic direction, in case we are going to have a new constitution.

TAKUKURU should be renamed Tanzania Bureau of Investigation. The government should also form the Tanzania Secret Service (TSS), which will cooperate with the current Tanzania Intelligence and Security Services (TISS). Tanzania Secret Service (TSS), will be more responsible with the security of the President and of the state house premises.
 
Mkuu hichi 👆 unachokisema wewe hata Nyerere alikikataa, na ushahidi wa videos zipo. Nyerere alikuwa ana tuonyesha makosa yake ,tuyarekebishe.

(Sio lazima tumchague RC kwani tunamtafuta papa, sio lazima tumchague Muslim kwani tunamtafuta shekh atuswalishe ?).

NB: Nchi yoyote Duniani anayoendweshwa kwa misingi ya kidini lazima iwe shitiholi country.
 
Hakuna vita yoyote wala ugomvi wowote kuhusu 2030!, its straight!, huwezi kushindanisha mbingu na nchi!. Rais wa Tanzania akiwa wa upande huu, lazima awe wa Kurasini, nje ya hapo ni watu wanajifurahisha!.
P
Kwa hiyo mjivuni na mshamba wa maskafu urais wake utaishia kwenye mawe tu?
 
Binadamu ukikosa focus ndio unaandika mambo ya hivi,yaani unaandika mambo ya watu,akili ndogo ndio hujadili mambo ya watu.Rais huchaguliwa na Mungu,Mungu ndio anajua rais wa Tanzania wacwakati huo ni nani
Mungu hahusiki na urais wa Tanzania, ni mitutu ya bunduki na wizi wa kura ndiyo huamua nani awe rais wa Tanzania.
 
Huyo Lissu uliyemtaja akiwa suluhisho la urais ni takataka kama nyingine yoyote.

Hana sifa ya kuwa Rais, busara sifuri hekima sifuri upeo sifuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…