Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Mzinzi akioa na kuendelea kutumia njia ile ile aliyoitumia alipozini hana dhambi.

Shoga na Basha wake wakiona na kuendelea kutumia njia ile ile yakulana tako vipi inakubalika nayo kwenye dini?
Ushoga ni chukizo mbele za MUNGU kinachotakiwa ni mtu wa namna hiyo ahubiriwe apache njia zake mbaya kabla hajakutana na hukumu ya MUNGU.

Kadhalika kufanya ngono na mtu ambaye sio mwenza wa ndoa ni chukizo mbele za MUNGU mtu wa namna hiyo naye atubu apache uasherati wake na Aishi kupatana na matakwa ya MUNGU.

Ndoa ni kati ya mwanaume na mwanamke tofauti na hivyo ni machukizo Kwa MUNGU pia.

Kwa hiyo utaona kwamba uasherati uzinifu na ushoga yote ni uchafu na ni chukizo mbele za MUNGU. Asante, karibu sana
 
Kaka mm mbona niko upande wako soma tena comment yangu.mashoga wauwawe
Asiye na dhambi awe wa kwanza kuwaua[emoji23][emoji23][emoji23] kinachotakiwa ni kuwahubiria waache uovu wao ukimuua hujamsaidia chochote na pia kumbuka kuua ni dhambi ( kama wewe ni mkristo lakini)
 
Na wewe naona unapumiuliwa .hivi hujuwi dhambi hii shetani anakaa pembeni kabisa.na unapofanya kitendo hiki hata miti inainama chini kwa masikitiko,hivi ujiulizi Kwa nn gomora ilitiwa kiberiti
Andiko lipi linasema hivyo chief? Kama unalo liweke hapa nilione tafadhali, Asante
 
Umecomment Kwa uchungu sana kiongozi[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Na tutawaua kweli. Nyie endeleeni na huo upuuzi wenu. Ushoga hautakiwi Tanzania.
Ila zinaa inatakiwa? Hivi unajua ushoga ni zao la zinaa? Laiti kila mtu angefuata maamrisho ya MUNGU akaheshimu ndoa yake na za wenzako, watoto wakalelewa katika familia zenye maadili, tusingekua na watoto wa mitaani, tusingekua na kizazi kisichokua na maadili na huo ushoga usingekuwepo kamwe
 
Ni mawazo yako ila Mimi Kwa Imani yangu mapenzi ya MUNGU wangu ni kwamba watu wa namna zote (wakiwemo mashoga) watubu na kuacha njia zao mbaya wamrudie Muumba wao kuwaua sio solution
 
Asante sana bimkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…