Makuzamkumbo
JF-Expert Member
- Mar 8, 2023
- 501
- 519
Ushoga ni chukizo mbele za MUNGU kinachotakiwa ni mtu wa namna hiyo ahubiriwe apache njia zake mbaya kabla hajakutana na hukumu ya MUNGU.Mzinzi akioa na kuendelea kutumia njia ile ile aliyoitumia alipozini hana dhambi.
Shoga na Basha wake wakiona na kuendelea kutumia njia ile ile yakulana tako vipi inakubalika nayo kwenye dini?
Kadhalika kufanya ngono na mtu ambaye sio mwenza wa ndoa ni chukizo mbele za MUNGU mtu wa namna hiyo naye atubu apache uasherati wake na Aishi kupatana na matakwa ya MUNGU.
Ndoa ni kati ya mwanaume na mwanamke tofauti na hivyo ni machukizo Kwa MUNGU pia.
Kwa hiyo utaona kwamba uasherati uzinifu na ushoga yote ni uchafu na ni chukizo mbele za MUNGU. Asante, karibu sana