Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

GOOD NEWZ!!!

Noel na Kelvin wameachiwa huruuuuu,
David aliachiwa tangu janaaa.

Ahsantee Jah kwa
Koma kutaja jina la Mungu ktk dhambi alizosema anazichukiaaaa na akashusha moto kabla ya judgment day, kuachiwa na polisi haimaanishi upo huruuuuuu! Either umepewa dhamana na uchunguzi unaendelea, anytime unapelekwa mahakamani ukapigwe miaka 30 jelaaaaa!
 
Dhambi anayo ichukia ni hiyo tyuuh? Mbna zipo nyingii? Na kwann sahiv mamlaka wanakua nayo wanadamu? Huyo Mungu kwanini asishushe moto sahivi?

Badalaa wawe buzzy na mambo ya msingi, wao kutaka kunyanyasa na kuwabughuzi wasio na kosa, ili kikundi Fulani cha watu kifurahiii.

Maajabu haya, Lol.
 
Kumbe ulikurupukaaaa na hukunielewaaaa, narudia tenaa kasome comment ya kwanza nilio kupinga afu ndo uje tujibizane tenaaa.

Tatizo hukusomaa na kuelewa ila ukakurupukaaaa tyuuh.
 
Sasa mie nimesemajee? Kwan kuna sehemu nimesema kuna Gay genes?? Mbna mmekurupukaa na hamkusoma comment angu na kuielewaaa??

Tatizo lenu kukurupukaa na mhemko bila kusoma kwa weledi na kutafakarii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi ipooo.
 
No, no, no, no. Keep it down, just relax jibu hoja, usishambulie. Unazungumzia hormonal imbalance unaihusisha na Homosexuality, kitu ambacho utafiti unakataa.

Ukija kunishambulia tena, take time ufikiri, mimi na wewe nani anakurupuka.

Sent from my OPPO A57 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe ulikurupukaaaa na hukunielewaaaa, narudia tenaa kasome comment ya kwanza nilio kupinga afu ndo uje tujibizane tenaaa.

Tatizo hukusomaa na kuelewa ila ukakurupukaaaa tyuuh.

Wewe ndio umekurupuka.
Mwisho useme kuvaa mlege, kuchora tattoo, kumuoa kiduku ni ishu ya homoni imbalance.

Mwanaume kufanya Matendo ya kike kama kujilegeza, kuongea kikike, haihusiani na homoni imbalance, ni maamuzi tuu
 
Unapenda ku support ushoga..

utakuwa shoga, msagaji, au unanufaika na harakati za ushoga.
 
Tatizo nnacho kizungumzia mie nahisi hamjataka kukielewa au mliamua kutoka nje ya nilicho kisema.

Mie nazungumzia suala la watu kukamatwa kwa kuhisiwa na kutuhumiwa, huyo Robert alisema ktk hili suala waende mbali zaidi wakamatwe hadi wale wanaongeaa sauti ndogo, mwendo, haiba etc.

Ndipo mie nikampinga, kuwa hiyo sio sawa, kwani kuna watu wako hivyo na wala sio mashoga, je wakifanyiwa hivyo huoni wanakua wameonewa?? Yeye ndo alikataa alisema hakuna watu wa hivyo, na sehemu zote alizokaa hajawahi kuwaona, mie nkamuambia kuwa wapo wanaume wamezaliwa na hormonal imbalances, wana sauti ya kike, miondoko, haiba, hulka, ila sio mashoga, yeye anakataa hao watu hawapo kwa kuwa yeye hajawahi waona.

Sasa mie nipohusishaa hormonal imbalances na homosexuality wapiiiii???
 
Wewe ndio umekurupuka.
Mwisho useme kuvaa mlege, kuchora tattoo, kumuoa kiduku ni ishu ya homoni imbalance.

Mwanaume kufanya Matendo ya kike kama kujilegeza, kuongea kikike, haihusiani na homoni imbalance, ni maamuzi tuu
Unachanganyaaa mambo kabisaaa, yaan unatoka nje ya nacho kizungumza mie,
Tusiende mbaliii ngoja nikupe mfano, unamfahamu Frankie maston??
 
Nayaunga mkono Mashoga,ila napinga vitendo vya wizi wa tozo na kodi vinavyofanywa na akina Mwigu na wenzake.

Kuwe na system ya kupima makoromea na matumbo ya akina Mwigulu kwanini hawashibi waingiziwe vidole kwenye midomo ili kuyapima makoromeo yao.
 
Polisi ndiyo chombo pekee chenye mamlaka ya kuchunguza uhalifu na wahalifu. Ikiwemo kupekua sehemu za siri na kupeleka kwa wataalam washukiwa wakapimwe sehemu za siri.
Mkuu
Unakosea sana. Polisi hawezi kukupekua utu wako bila hati ya kimahakama. Hata wanapokulazimisha waingie kwenye mawssiliano yako ninsharti wawe na ruhusa ya mahakama behind.

Kuhusu upelelezi kuna utaratibu wake ambao wanapaswa kuufuata na huwa hawaifuati na hilo limezalisha kizazi kama wewe mnaoamini polisi wanaweza kufanya lolote wakati kisheria ni watekelezaji wa sheria hususani zilizotafsiriwa na mahakama
 
Kuna siku nilitoa Uzi hapo Jukwaa la Sheria tunapoelekea na haya mambo tunaweza kujikuta hatujengi bali tunabomoa....

 
Ndo maana polisi wanafanya hovyo mitaani, kwa kuwa wanajua wananchi wao hawana uelewa wala ufahamu wa mambo.

Ndio wananchi wa Bongo, na wanajifanya wajuaji balaaa.
 
Ndo maana polisi wanafanya hovyo mitaani, kwa kuwa wanajua wananchi wao hawana uelewa wala ufahamu wa mambo.

Ndio wananchi wa Bongo, na wanajifanya wajuaji balaaa.
Washazoeshwa kukandamizwa ndo maana hawajishughulishi kujielimisha
 
Soma uzi uelewe, sijatete ushoga, nimeulizia vifungu vya sheria vilivyotumika...
Hawa nyumbu wanataka sheria zifatwe kwenye mambo ya siasa peke yake. Kwenye mambo ya ushoga wanaona sawa sheria zikipindishwa.
Hawatakuewa utapondwa mawe tu hapa.
Cha kushangaza ni wao wana waingilia watoto wa kiume wakiwa wadogo hadi kupelekea kuwa mashoga baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…