Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Hormones imbalance wala sio ushoga, mimi nazungumzia ushoga. Kuzaliwa namna yoyote sio kosa. Mashoga wengi mnaowaona wala hawana hormones imbalance isipokuwa tabia tu za kujizoesha ndo zinawafanya wawe hivyo. So hakuna namna yoyote ya kuwatetea mashoga kwa hoja ya hitilafu za hormones.
Huna unalolijua, bora ukae kimyaa tyuuh.
 
Yaani mashoga wanakuja live kutetea USHOGA Ili uenee, Bahati Yao wamejificha nyuma ya keyboard,

Wajaribu kufanya hivyo hadharani waone impact yake.
Sasa huko hadharani mbna ndo wako wazi wazi na hawajifichiii, wanafanywa nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Keyboard warriors mna kazi kweliiiii.
 
Pale Uturuki Mungu kawaua Waumini 50,000 kwa kutumia matetemeko yake.

Au wewe unaongelea Mungu wa aina gani?
Ungenipa tafsiri ya nini maana ya KIFO, ningekuwa ktk position njema ya kukwambia nini kimetokea Kwa hao 50,000 unaowaita waumini.
 
Mwisho wa Maisha yaani the end.
Mtu ni ROHO, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI.

Maisha hayana mwisho,

Mwili ni vazi la Roho kama ilivyo suit ni vazi la mwili.

Kifo ni kuvua vazi la mwili na kwenda upande mwingine wa milele katika ADHABU kuzimu au milele Mbinguni.

So uwe na HAKIKA Turkey kama walikuwepo wa Mungu waliokuwa na kadhia hiyo, uwe na HAKIKA wanaendelea kuishi Mbinguni Raha mustarehe.

Bt kama walikuwepo waovu, wanaendelea kuhenyeka kuzimu hata sasa.

Mungu hakosei na Hana HASARA aamuapo jambo lake.

Amen
 
Najua kuna siku utashindwa kujizuia tu[emoji23] Kuna comment utaiona itaku-trigger[emoji23]
Km juzi kuna comment niliona, hadi nikawa natetemeka, nusu nianze kushusha mkeka tena wenye maneno ya shomboo, mara paapu kitu kikagonga kichwani, wee jiletee Ban inakutakaa sanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nli log out kwa muda, kupisha temper daaah
 
Km juzi kuna comment niliona, hadi nikawa natetemeka, nusu nianze kushusha mkeka tena wenye maneno ya shomboo, mara paapu kitu kikagonga kichwani, wee jiletee Ban inakutakaa sanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nli log out kwa muda, kupisha temper daaah
Kwani ukila ban nyingine ndo inakua mazima au vp[emoji23]
 
Mtu ni ROHO, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI.
Hizo ni stories tu zilioandikwa na Wanadamu hakuna ushahidi wa kuwa Mtu ana Roho na kua akifa roho inatoka inaenda sehemu fulani.

Hakuna Binadamu aliyekufa akazikwa na akarudi hakuna so enjoy now tafuta Shoga umuombe msamaha.
 
Kutokana na wimbi la ushoga na usagaji nchini kusambaa kwa kasi kupitia taasisi za elimu na ustawi wa jamii kwa maana ya vituo vya kulelea watoto hasa vinavyomilikiwa na wawwkezaji wa kigeni, natoa rai serikali ipitie mitaala na mbinu za ufundishaji, vifaa vya ufundishaji, matumizi ya vifaa husika, madawa, mafuta na vinywaji wanavyopewa watoto wetu maeneo yote ya kulelea watoto na shule zote nchini.
 
Back
Top Bottom