Habari za Asubuhi wanajamvi na wapenzi wa habari moto moto. Si kwa ubaya au husda wala chuki ila ndio ukweli. Katika Utafiti wangu mdogo uliojumuisha kuchakata maoni ya wadau mmoja mmoja na maoni kwenye sehemu ya kutolea maoni. Ukifuatilia sana, wanawake wamekua watu ambao ushoga umekua sio kitu kinawaudhi wala hawakereki.. Kwanini nimewataja wanawake kuwa chanzo cha ushoga kushamiri.:
1. Jitihada za kunogesha tendo hasa hasa kuwaridhisha wanaume wao; Wanawake wamekuwa wakifanya mambo mengi sana ikiwemo kutumia vipipi na wakati mwingine kuwazamishia vidole waume zao wakidhani ndio njiq sahihi ya kufanya tendo liwe tamuu. Kufanya hivi kumepelekea baadhi ya wanaoingiziwa vidole kuwa addicted na hata kuanza kuitafuta raha hii huko nje kwa kutafuta midoli ya uume na hata wawe wanajiingizia ili wapate msisimuko wanaodhani ndio msisimuko wenyewe unaotakiwa.
2. Kuwalamba au kuwanyonya puru, wanawake hawachoki kuwaza namna gani amtulize bwana ake basi anaongeza mautundu kwa kunyonya sehemu za siri za mwanaume ikiwemo puru na kende wakidhani kuwa wanawaridhidha wanaume lakini kumbe wanawapeleka waume zao kibra.
3. Malezi ya baadhi ya akina mama, mwanamke anamlea mtoto kama mtoto wa kike. Mtoto wa kiume unamzoeza mtoto kucheza na watoto wa kike kitu ambacho kinamfanya mtoto wa kiume kukuwa na tabia za kike kike na hiyo inapelekea hadi anakua na muonekano wa kike kabisa. Lakini kuna hao akina mama wnaawapaka hadi make up watoto wa kiume kwa mfano mtoto wa Irene uwoya, ni ushenzi na upuuzi ambao haupaswi kuchekelewa. Mtoto wa kiume anatakiwa kuwa simple kama sio rough. Unampaka make up, wanja na unamfundisha ku pose kwenye picha kama mwanamke.
4. Kumnyima mtoto haki ya kulelewa na Babake kwa madai kwamba hahitaji chochote kutoka kwa mwanaume hivyo atamlea mwanaye bila Baba yake. Kuna wakati huwa nawaza, mtu unapokataa baba yake asimuone mwanae kabisa inakua ni unamkomoa Baba mtu au unamuumiza mtoto?? Wanawake acheni hizi mambo, Ni kweli hamuelewani na Baba mtu lakini magomvi yenu mtoto hyamhusu hivyo mpe nafasi baba yake ashiriki kwenye kulea. Baadhi ya siku muache mtoto ashinde na baba yake aambukizwe elements za uanaume. Lakini siku hizi imekua fasheni. Acheni hii tabia dada na mama zangu.
5. Kuwa karibu sana na mashoga, wakati naishi mwananyamala kulikuwepo na huyo shoga alikuwa na ukaribu na wadada na ndio walikuwa watu wakumpa support na ndio anaopiga nao story mwingi. Emotional support wanayopewa hawa mashoga na hawa akina dada kwenye masaluni ya kike huko na hata katika migahawa inafanya ushoga uonekane kitu cha kawaida na wakati mwingine mdada anaruhusu shoga kuwa karibu na wanawe. Huoo ni upuuzi, acheni kuwalea lea mashoga na mkiwatenga hizo tabia zitqpungua ila kwa sasa wanajiona wako na support ya kutosha hivyo ushoga unapamba moto.
View attachment 2627264
6. Malezi ya Single mothers, Akina mama waliotulea miaka ya nyuma ni tofauti sana na hawa akina dada wa leo. Mtoto analelewa na mama ki soft soft yaani, anafundishwa kazi za kike kike tu. Wakiwa wanaangalia muvi basi utaona anatazamishwa muvi za kishoga na mtoto muda mwingi anapewa vitu vya kike kike tu. Mtoto wa kiume anapaswa kulelewa kibabe na kurithishwa elements za kiume. Kuwa mwanaume sio kitu kidogo.
Kama we ni mwanaume wa kweli na uanaume wako haujapokonywa gonga like hapa na uache maoni yako ila kama wewe ulishaibiwa uanaume wako pita tu hatuhitaji maoni yako.
Friday for Positive Masculinity.