Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Tatizo unaujuaji usio na faida. Mi nazungumzia nature we unazungumzia mazingira.
Kwa kifupi ni kuwa nature haitegemei uwepo wako ili iexist, nature ipo hata mwanadamu asipokuwepo.

Ukitaka kuelewa mambo kuwa humble usikaze fuvu kana kwamba unajua kila kitu.
Kwa definition yako hii hii binadamu anaweza akawa kitu au akafanya kitu na kisiwe nature?
 
Jamani hivi huna akili au. Sijasema mimi mnyama. Nimeclarify fact ambao watu hujaribu kusema kwamba hamna wanyama mashoga. Wanyama mashoga hao hapo so mtoe sababu zingine za maana
Majibu yako yanakuvua Nguo. Chutama
 
Haya mambo yana uhusino mkubwa na sera hizi za kucopy kutoka mataifa ya kimagharibi.

Ukianzia mambo ya haki sawa yamechangia sana hili janga. Vijana wetu wanakutana na mabinti wanaowaonyesha viburi na jeuri hadi wanakosa mood ya kuwa na wanawake sababu ya kuepuka rejection na kero za kudeal nao wanaona watafute affection kwa wanaume wenzao.

Malezi especially ya single mothers. Wanawake wanalea watoto kimahaba sana. Mabusu kibao na kukumbatiana kama nyani muda wote. Mtoto wa kiume hii inamfanya awe laini na kushindwa kudevelop vizuri male traits ndani yao wanabakia kuwa soft ndani ya nafsi. So wakimiss yale mahaba ukubwani wanajikuta wanaliwa na wanaume wenzao wanaojua kubembeleza.

Mwanamke akilea mtoto bila baba around impact mojawapo ni kutoa picha ya uanaume katika akili ya mtoto yule. So akikua anakuwa hana ajualo kuhusu kuwa mwanaume kwa mwanamke wake so anajikuta anavutiwa na wanaume wenye traits za kiume.

Madogo wengi wa miaka hii hawajui tofauti ya kuwa mwanaume au mwanamke. Maana hata nguo za siku hizi wanavaliana wa kike na wa kiume. Tazama akina rayvan, wanavyosuka nywele kama dada zao. Sasa Madogo wa sampuli hizi umuweke meza moja na Mimi kwann asijiskie dhaifu na kuomba niwe mume wake.

Sera za kiserikali especially maeneo ya Afya na chakula napo ni pa kutazama. Chakula ni silaha nzuri sana ya kujenga taifa lolote.
Tokea miaka ya 1990s serikali na wizara husika wamekuwa very careless kuhusu raia wao vyakula wanavyokula, dawa wanazotumia, mambo ambayo yanachangia sana mabadiliko ya kitabia. Mfano Tazama vyakula vinavyotokana na mbegu za kisasa (GMO).
Tazama mabinti wanavyobwia P2 kila siku, hizi dawa zinawavuruga mzunguko halisi wa uzazi na kudisturb msawazo wa hisia.
Ndio Maana unaweza kushangaa mabinti wa siku hizi especially hawa kuku wa bloiler (mabinti wa mijini) wengi hawana hisia, Labda akuone na hela na hapo tamaa ya hela sio mahusiano.

Naturally vitu vinavyomvutia mwanamke ni Jasho, mchoro wa kidevu cha mwanaume, pua, kifua, gardenlove, sauti nzito, wingi wa ndevu, misuli ya mikono, etc. Ila mabinti wa kisasa hawapo responsive na hizo features wanataka mwanaume soft, mpaka poda, sauti, mwanaume ambaye hata Mimi nikimuona nadinda nataka nikamgegede, why wanaume sasa wasianze kulana na kundi kubwa wanaanza kulainika?!

Kuna mengi sana nyuma ya pazia ila yote inachangiwa na sera za serikali kwa raia.
Well narrated mkuu [emoji109]
Imegusa angle nyingi sana ambazo ni source kuu wa hili janga.
 
Yeye mwenyewe ni shoga na kafa hana marinda jery muro ndo.alikua basha wake
Jamani tuache kudhalilisha watu kwa mambo ya kubashiri.

Tunaowataja, wana ndugu, jamaa na marafiki humu. Kuna watu wako humu na wake au waume zao. Kuna watu wako humu wao na wazazi au watoto wao.

Tutaleta mitafaruku katika familia zao. Tujifunze kuwa na staha hasa katika masuala ya maisha ya faragha za watu.

Tumepitiliza mipaka ya uhuru wa kutoa maoni.

Kuna ubaya gani tukiyapuuza maisha yao au kama kuna haja ya kuwasema tukafumba basi.

Fikiri ndo unaanikwa wewe live hivi halafu katika mambo ya aibu kama haya na mbaya zaidi, hatuna uhakika nayo. Utajisikiaje?
 
Habari za Asubuhi wanajamvi na wapenzi wa habari moto moto. Si kwa ubaya au husda wala chuki ila ndio ukweli. Katika Utafiti wangu mdogo uliojumuisha kuchakata maoni ya wadau mmoja mmoja na maoni kwenye sehemu ya kutolea maoni. Ukifuatilia sana, wanawake wamekua watu ambao ushoga umekua sio kitu kinawaudhi wala hawakereki.. Kwanini nimewataja wanawake kuwa chanzo cha ushoga kushamiri.:
1. Jitihada za kunogesha tendo hasa hasa kuwaridhisha wanaume wao; Wanawake wamekuwa wakifanya mambo mengi sana ikiwemo kutumia vipipi na wakati mwingine kuwazamishia vidole waume zao wakidhani ndio njiq sahihi ya kufanya tendo liwe tamuu. Kufanya hivi kumepelekea baadhi ya wanaoingiziwa vidole kuwa addicted na hata kuanza kuitafuta raha hii huko nje kwa kutafuta midoli ya uume na hata wawe wanajiingizia ili wapate msisimuko wanaodhani ndio msisimuko wenyewe unaotakiwa.

2. Kuwalamba au kuwanyonya puru, wanawake hawachoki kuwaza namna gani amtulize bwana ake basi anaongeza mautundu kwa kunyonya sehemu za siri za mwanaume ikiwemo puru na kende wakidhani kuwa wanawaridhidha wanaume lakini kumbe wanawapeleka waume zao kibra.

3. Malezi ya baadhi ya akina mama, mwanamke anamlea mtoto kama mtoto wa kike. Mtoto wa kiume unamzoeza mtoto kucheza na watoto wa kike kitu ambacho kinamfanya mtoto wa kiume kukuwa na tabia za kike kike na hiyo inapelekea hadi anakua na muonekano wa kike kabisa. Lakini kuna hao akina mama wnaawapaka hadi make up watoto wa kiume kwa mfano mtoto wa Irene uwoya, ni ushenzi na upuuzi ambao haupaswi kuchekelewa. Mtoto wa kiume anatakiwa kuwa simple kama sio rough. Unampaka make up, wanja na unamfundisha ku pose kwenye picha kama mwanamke.

4. Kumnyima mtoto haki ya kulelewa na Babake kwa madai kwamba hahitaji chochote kutoka kwa mwanaume hivyo atamlea mwanaye bila Baba yake. Kuna wakati huwa nawaza, mtu unapokataa baba yake asimuone mwanae kabisa inakua ni unamkomoa Baba mtu au unamuumiza mtoto?? Wanawake acheni hizi mambo, Ni kweli hamuelewani na Baba mtu lakini magomvi yenu mtoto hyamhusu hivyo mpe nafasi baba yake ashiriki kwenye kulea. Baadhi ya siku muache mtoto ashinde na baba yake aambukizwe elements za uanaume. Lakini siku hizi imekua fasheni. Acheni hii tabia dada na mama zangu.

5. Kuwa karibu sana na mashoga, wakati naishi mwananyamala kulikuwepo na huyo shoga alikuwa na ukaribu na wadada na ndio walikuwa watu wakumpa support na ndio anaopiga nao story mwingi. Emotional support wanayopewa hawa mashoga na hawa akina dada kwenye masaluni ya kike huko na hata katika migahawa inafanya ushoga uonekane kitu cha kawaida na wakati mwingine mdada anaruhusu shoga kuwa karibu na wanawe. Huoo ni upuuzi, acheni kuwalea lea mashoga na mkiwatenga hizo tabia zitqpungua ila kwa sasa wanajiona wako na support ya kutosha hivyo ushoga unapamba moto.

View attachment 2627264

6. Malezi ya Single mothers, Akina mama waliotulea miaka ya nyuma ni tofauti sana na hawa akina dada wa leo. Mtoto analelewa na mama ki soft soft yaani, anafundishwa kazi za kike kike tu. Wakiwa wanaangalia muvi basi utaona anatazamishwa muvi za kishoga na mtoto muda mwingi anapewa vitu vya kike kike tu. Mtoto wa kiume anapaswa kulelewa kibabe na kurithishwa elements za kiume. Kuwa mwanaume sio kitu kidogo.

Kama we ni mwanaume wa kweli na uanaume wako haujapokonywa gonga like hapa na uache maoni yako ila kama wewe ulishaibiwa uanaume wako pita tu hatuhitaji maoni yako.

Friday for Positive Masculinity.
 
Hao ni Ke halisi kweli wanaokunyonya puru na kukuingizia vidole kwenye puru Me au shemele?

Mbona pamoja na kuzurura kwangu kote sijawahiona UPUMBAVU kama huo kwa Pisi Kali?

Huo ni uwongo tena huna tofauti na wale Me wanaosemaga wakiwa wanawanyadua Ke huhamishiwa mashine zao kwenye mitaro ya Ke.

Epuka uwongo maana ukweli utakuweka huru siku zote maishani.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom